Chadema: Mabere Marando for 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema: Mabere Marando for 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by itahwa, Mar 25, 2011.

 1. i

  itahwa Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
  kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
  Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA
   
 2. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnafiki tu mwenye uchu mkubwa wa madaraka.

  waulize kule Rorya watakwambia
   
 3. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Marando ni oportunist na mnafiki mkubwa sio mtu safi hata kidogo tuhuluze sisi tulioanza nae uhanarakati miaka ya 80s , pili marando mkono wake ushamwaga damu ni yeye ndie aliyemuua Tamim kama anabisha ajitokeze tumlipue.CDM tunaimani na Dr Wilbroad Slaa
   
 4. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kitanda usichokilalia kunguni wake..... ...
  Hii kazi tuachie sisi wanachadema. Hiyo ni kazi ya Vikao husika ambayo kwa sasa mimi ni moja wao - Baraza kuu na muda wake bado sana. Tuachie tuifanye hii kazi. Viongozi wetu wote akiwepo Mabere Marando na wengine tunawajua nani anaweza nini nani anafaa kwa nafasi gani.
  Sina hakika kama kutukimbiza kwako ndani kuna nia njema kwa Chama chetu.
   
 5. J

  Joblube JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hizo ni mbinu za kizamani kweli za kutaka kuichanganya CDM lakini ulewe kuwa Marando mwenyewe anakubali Dr Slaa kuwa ni machine kubwa kuliko mtu yeyote pale CDM kwa sasa ndio maana kwa maneno yake mwenyewe alisema nilimshawishi Dr agombee na mimi nipo tayari nitamunga mkono kwa kumpigia kampeni nchi nzima kutu ambacho alikifanya. Nikweli Marando ni mzuri kwa kujenga hoja naweza kusema ni mtu potential pale CHADEMA na ana mchango wake mkubwa. 2015 Tutaendelea kutodanganyika. Usilete uchuro CDM endelea na utapeli wenu huko hapa umekula kwenu.
   
 6. e

  ecolizer baba Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 40
  Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
  kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
  Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA
  HUO UNAFIKI WA CHAMA CHA MAFISADI -CCM USITULETEE HUKU CHADEMA. NA KWA TAARIFA YAKO TUSHAKUJUA KWANI ULIPOLALIA SISI NDIPO TULIPOAMKIA.
   
 7. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chadema ilianza, na ikasimama bila marando.
  Marando ni mtu alieingia kati kuipa nguvu, na sio kwamba yeye ndie bora kuliko wote
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Mtu ambaye ni almost bora ni ZK. Haya ni mawazo yangu, msijenitoa roho wandugu.
   
 9. m

  msosholisti Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo sahihi kabisa. hata Shibuda anafaa pia kwa 2015. kwani ameonyesha uwezo mkubwa wa kushinda akiwa chama chochote kile.
   
 10. J

  Joblube JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nasema hapana tena hapana. Si popo wala si ndege. Mpaka atakapo eleweka vizuri
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamani jamani kusema sana haina maana unaweza kuongoza..Ashakum sii matusi, wanawake husema mwanaume mwenye maneno mengi na majigambo huwa haiwezi kazi anapopewa uwanja....Hilo nalo neno!

  Mabere Marando na wasemaji wengine wote wana sifa kubwa au wamejipatia sifa ktk sehemu walizopo.. Na utawala au niseme serikali nzima ina nafasi nyingi sana zenye umuhimu mkubwa zaidi ya kiti cha Ikulu..

  Hawa wote watapewa ama watakuwa na nafasi zao ktk uongozi na ndipo kipimo halisi kitakapo onekana lakini sii kwa maneno..
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mtoa mada unachokisema, maana yeye Marando ndio anaempa kiburi Fisadi Manji.
   
 13. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  CHADEMA hatugawani vyeo ila tunagawana majukumu kulingana na wakati na uwezo wa kila mmoja katika kuitumikia nafasi hiyo .
   
 14. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,267
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  CHADEMA kumbe mnauchukulia urais kama cheo na sio jukumu?!

  There is loooong way to go.
   
 15. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Umesoma wapi hayo? soma upya ulichonukuu.
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Mabere Marando yupi? huyu anaemtetea fisadi dhidi ya Mengi au kuna mwingine.
   
 17. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,826
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Haya mautumbo yako peleka hukohuko kwa kina makamba,sio CHADEMA.hiki ni chama makini chenye watu makini,sasa hv wanafanya kazi ya kujenga na kukiimarisha chama na si kuhangaikia nani wa kugombea urais 2015.Hiyo ni mipango ya chama chenu,si unasikia wanavyo chafuana?
   
 18. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndio amekutuma upime upepo jf ? Tutole ushushushu waka na huyo shushushu mwenzio! Try again letter!
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  FREDDY SUMAYE HEBU WAPELEKE NA HAWA HUKO ULIKOSOMA MAJUZI NAO WAPATE KUBADILIKA NDIPO URUDI TUKAJADILI WEWE KUTAMANI KUWA RAIS WANGU

  Kwa watu makini, hata bila kumona uso kwa uso huyu aliyekua Fundi Mitrekta Freddy Sumaye aliyeishi siasa zetu chafu hapo kipindi cha nyuma na ukachukua wala dakika chache kumlinganisha na Mheshimiwa Fredrick Sumaye tuliemsoma moja kwa moja akiripotiwa na Invisible kwenye Press Conference aliyojiitishia pale Courtyard Hotel basi bila shaka utagundua kwamba kweli darasa bila DESA imetusaidia kwa kiasi kikubwa kupangusa uzuri kopo ambalo sie wengine tulishalitupa kwenye jalala la kule Vigunguti na sasa lafaa kuchotea tena maji ya kunywa kumpelekea mgeni rasmi (wapigakura) sebuleni!!

  Kwa msingu huo nilitamani hata naye huyu Fisadi wa Kimaasai tukimpeleka tu shule huko ma-Ughaibuni mbona hizi siasa za fitina fitina na kutembeza senti tano mitaani ataziacha tu!!

  Ila hili lingine ambalo akimuingiza mtu kwenye BLACK BOOK yake basi mpaki kifo ndicho kije kuwapatanisha nasema hata tungempeleka shule za kule nchi ya ya Mzee Shaaban Robert (Kusadikika) wala huo ukoko wa sias za Chuki, Visasi, Vinyongo, Umimi, Upwani, na mambo mengine kama hayo kamwe hayawezi kumtoka.

  Shule hutakasha bwana usiombe; hebu muone yule Fundi Mekanika wa mitrekta aliyesome SUA, Freddy Sumaye, leo hii MBA ya ukweli ilivyompiga jiki kichwa na kuondoa yale mi-oili chafu yote ya mitrekta mbovu; hata anapozungumza siku hizi mtu unaweza ukapata cha kwenda kumsimulia mtu wa pili na wala hana tena ile LUGHA YA MAFUNDI tuliokua tumzoea nayo huko nyuma.

  Mhe Sumaye, japo kwenye mahesabu yetu ya kuwa rais wa nchi hii na wewe wala haumo lakini hebu chonde mfanyie mpango huyu ndugu Eddu wa Monduli naye aende huko ulikoenda kula Kitabu walau akabadilike. Maana, kwa kusema ukweli, mtu ukimtazama kwa karibu Ndugu Lowasa, Mrema Augustino, Rostam Aziz, Seif Shariff Hamad, Nchimbi, Malisa, Ridhiwani Kikwete, Makamba Junior, Hussein Mwinyi, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe ... na wengine wengi tu hapa nchini na kweli kabisa utakuta ni watu wenye uwezo mkubwa sana tu ambao taifa letu limebahatika kuwapata isipokua tu wanakosa sana kati ya mambo haya matatu:

  (1) PERSONAL ETHICS AND LEADERSHIP INTEGRITY

  (2) SOUND EDUCATION BACKGROUND, VISIONARY & READINESS TO LEARN AT ALL TIMES, and

  (3) EXPOSURE FAR BEYOND THEIR OWN NEIGHBOURHOODS

  Hivyo nasema hapa kwamba laiti viongozi wetu wangelikua ni watu wa kukosolewa wakakosoleka, wasikivu na wenye kujitathmini wenye tu japo hata mara moja katika ngazi ya nafsi yake mwenyewe, basi ni kwamba mtu utagundua kuna mikasoro ya kufanyia kazi. Lakini pale ambapo mwanasiasa ni ni Mbumbumbu (hata kama kapata vijidarasa vichache tena kwa KUDESA TU OPEN UNIVERSITY pale Kinondoni) na kwamba hana habari kama kweli yeye ni mbumbumbu, na kwamba bado yuko tayari hata kutafuta umbumbumbu wake huo kwa kutumia VIJISENTI MITAANI ili umbumbumbu wake huo uonekane kwamba ina mng'ao sawa tu na Almasi zetu toka kule Mwadui, basi hadi hapo ndipo taifa zima mjue kwamba tunalo MZIGO MKUBWA SANA TENA GUNIA LA MISUMARI YA MOTO kuubeba wakati wote mgongoni.

  Ningeendelea sana kuomba Shule alikoenda yule Fundi Sumaye na lugha / fikra za kwenye mi-gereji tu kichwani hadi leo hii karudi nyumbali mtu ambaye si lazima akutangazie kama kaongeza darasa bali kwa nidhamu tu ya lugha yake, direction thabiti kwenye maelezo yake (japo mie sijayanunua bado) na kwenda kwa stepu bila uswahili na fitina mingi ni dalili tosha kwamba kweli mwenzetu huyu kapata shule BILA KU-DESA na kwamba shule hiyo hakika imemkomboa hivi sasa!!

  Jamani kiongozi wa ngazi yoyote akiwa na walau sifa hizo tatu hapo juu basi kazi huwa ni nyepesi mno lakini the vice versa ni kiama. Ndio maana wataalam wetu wote wanaofanya kazi chini ya madiwani katika jiji, manispaa na halmashauri mbalimbali nchini KIKUKWELI NAWAHESHIMU MNO maana mazingira yao ya kazi ni ngumu kupita kiasi kwa sababu mabosi wao ambao ni madiwani waliowengi ni watu ambao ni MBUMBUMBUMBU WA KUDUMU KWA KUJICHAGULIA!!!

  Na wala usiniulize kwa nini Mambumbumbu wa jiji la Dar es Salaam nao waliona kero sana baada ya CCM nacho kuligundua tatizo hili ninalolizungumzia na kuamua kuwaletea diwani PhD Masaburi na watu tukasikia in a chorus mambumbumbu wa jiji wakigoma kabisa kumkaribisha huyu mtu aliyeona mwanga, kusafiri sana ila kama anayo personal ethics na leadership integrity bado nasubiri kwa hamu kuona PRACTICAL RESULTS jijini na wala si mi-ripoti mizuri mizuri na takwimu yasio na maana yalioandaliwa kwa utaalam mkuba.

  Mhe Sumaye, wahimize wanasiasa waende shule zisizoendekeza KUDESA, WACHANJE MBUGA MBALI NA VIJIJI WALIKOZALIWA ILI WAJUE KWAMBA KUMBE KWINGINEKO KUNA MPISHI MZURI ZAIDI AMBAYE WAZAZI WETU WANGEENDA NAO KUJIFUNZA. Chonde wasaidie maana katika hizo points tatu hapo juu viongozi wetu wamegawanyika katika mix ambazo ni so interesting.

  Kwa mfano, na ninasema kwa nia njema kabisa, Zitto Kabwe anayo good education background bila DESA ila hana personal ethics wala leadership integrity.

  Mheshimiwa Lowassa anayo very UNIQUE IN-BORN TALENT of both Social and Business Enterpreneurial Mind lakini hajaruhusu ikapigwa msasa hii talanta imekua naexcesses nyingi mno katika jamii. Jambo ambalo linatushawishi ku-question his genuine education background so far, na his personal ethics and leadership integrity is REALY WANTING.

  Mheshimiwa Mrema ni mtu mmoja ambaye otherwise ni LULU KWA TAIFA LETU. Watu wa aina yake huwa hawazaliwi wengi sana ndani ya kipindi kifupi. Watu wa aina yake ambao nao ni lulu ni akina Mwalimu Nyerere, Dr Ali Mohamed Shein, Salim Ahmed Salim, Everist Kaigaruki, Magufuli, Moringe Sokoine, Mama Nkya ... lakini a mark of an UNTRACEABLE SOUND EDUCATION background inamuangusha sana ila Personal Ethics ni Average na Leadership Integrity imesimama mpake arudi kwa muumba wake.

  Julius Mtatiro anayo personal ethics and leadership integrity ya hali ya juu (hata kama bado hajajaliwa fedha wala haonyesha uharaka wa kuzikimbilia), huyu bwana kwa UDSM pale wenzake waliosoma naye wanamheshimu kitaaluma ila dosari yake kubwa ni kwamba hajui lolote zaidi ya mipaka ya Tanzania basi!!

  Mhe Sumaye wasaidie wenzio waenda NDANI YA DARASA ulikoenda wewe (japo swala la wewe kuwa rais wangu tutaujadili siku nyingine) ili wakome kuwa miziko yetu kifikra na matendo yao!!!

  [​IMG] Originally Posted by Ntemi Kazwile [​IMG]
  Dah kumbe shule nzuri bwana, tangu amalize MBA yake siku hizi Sumaye anaongea point, nimeshitushwa kidogo maana nilizoea kumsikia akitoa point zilizokuwa tata sana enzi za uwaziri mkuu wake.

  Hongera Sumaye
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  crap crap
   
Loading...