Chadema: Mabere Marando for 2015?

Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA

kwanza wewe ni mnafiki mkubwa..pili wewe ni kama popo ..CDM hatuhitaji watu wa aina yako na ushauri wako peleka UVCCM ...hauna hoja bali una ghiliba tu
 
nadhani kitu cha msingi cha kuelewa politics depends on each other. induvidual is important in art of politic. in the corse of politics ushirikiano unamchango mkubwa sana. tunamuona slaa ni mzuri kwasasbabu yupo kwenye umoja unaokubalika. mabere nae ni mzuri kwa sababu yupo mahali sahihi na wewe mtoa mada jiunge kweye umoja huu naamini utakuwa shaped na utaonekana mzuri.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA
umetumwa!!!,huu upendo wa ghafla umetoka wapi?
 
Hivi ni kweli Chadema munafikiria kumsimamisha Mabere Marando kugombea Urais Mwaka 2015. Marando huyu anayewatetea MAFISADI wanaoitafuna nchi hii??? Mmmh ama kweli mtu ukipenda, chongo huita kengeza.

Katika kiti cha Urais hakuna kengeza wala chongo. Mleteni hadharani muone kama Chadema kitasikilizwa na wananchi tena. Huu ni utani. Hivi nyie mukiona mtu kavaa suti na viatu vizuri basi munaona anafaa sana? Huenda anafaa kwa kipimo hicho lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa nchi.

Marando akienda Ikulu basi mujue kuwa akina Manji na kundi lake la Mafisadi watakuwa wanakunywa kahawa pale kila jioni. Wakitoka humo ndani, basi kila mtu atayewapitia mbele atakoma. Kwa wale walio karibu na Yusuf Manji naomba wamuulize kilichmkuta hivi karibuni pale alipoitwa "hekaluni".
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA

kama hamna mtu mwingine zaidi ya Marando basi bora nimpigie mgombea wa chama kingine. Huko ndio kuishiwa. Kama hakuna mtu mwingine nasema tena basi bora nimpekura yangu Lowassa
 
CHADEMA kumbe mnauchukulia urais kama cheo na sio jukumu?!

There is loooong way to go.

mtu akisoma mchango wako hapo juu akaja tena akaona mchango huu,ataelewa lengo lako. Mnatafuta kupima hoja za wanacdm ila hamtawaweza,si unaona alivojibiwa mleta mada? Hivi jirani naye anaweza kukuchagulia jina la kumpa mwanao? Sasa mleta mada si aendelee kwao ccm,cdm kafuata nini? Mgombea urais wa cdm ajaye bado hajulikani kiraisi ivo,msiwe kama wenzenu cjui Yuvisisiemu wanasema eti jina la mgombea ajae ccm analo jk,mmeuliza kwan urais umekuwa Usultan mpaka mmchague bila demokrasia? Mmeimaliza ccm,sasa mwataka pia kuikoroga cdm,hamtaweza! Kijana nakujibu kuwa ndio,urais ni cheo kinaitwa Presidential post kwa lugha ya watani wetu. Rais ni taasisi. Tangu lini urais ukawa majukumu? Urais ni cheo anachopewa rais na kukabidhiwa majukumu ya cheo cha rais. Usipoelewa utakuwa mgumu sana na hamna maneno mengine ya kiswahili yatakayokusaidia kwa ili labda niambie lugha yako ya kibantu nikueleza maana ya rais,urais,cheo na majukumu ndo uelewe vizuri maana najua unatapata taabu kuweka kwanza ktk lugha yako ndo ulete kwa kiswahili alafu ufanye kazi nyingine ya kuelewa. There is too longless way to go in this,may be 4u n u alone!
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA

Manji na Rostam watapeta tena.!! Kumbuka yuko close sana na fisadi papa Manji. Ama wimbo wa kupinga ufisadi unaanza kufifia Chadema? Haya yangu macho
 
nadhani kitu cha msingi cha kuelewa politics depends on each other. induvidual is important in art of politic. in the corse of politics ushirikiano unamchango mkubwa sana. tunamuona slaa ni mzuri kwasasbabu yupo kwenye umoja unaokubalika. mabere nae ni mzuri kwa sababu yupo mahali sahihi na wewe mtoa mada jiunge kweye umoja huu naamini utakuwa shaped na utaonekana mzuri.

unamtega bure mkuu. Huu mtihani Yesu alimpa mfuasi wake tajiri kuwa auze mali zote amfuate,jamaa kucheki mali akaona mhh vigumu! Sa uyu jamaa ufisadi amuachie nani? Cdm kugumu mkuu!
 
Ni ukweli usiopingika kwamba Mabere ndio mwanasiasa pekee aliyejasiri pale cdm,ni shupavu,makini na mahiri wa kujenga hoja bila kuteleleka kwa namna yoyote! tahaluma yake ya sheria inamfanya awe makini kutoa matamshi mbalimbali yaliyothibitishwa na sio kutoa uzushi au taharifa ambazo sio za kweli mbele ya jamii kama vile kiongozi mmoja mwandamizi wa CDM aliyezusha kifo cha mkuu wa mkoa wa shinyanga
kimsingi Mabere ni mmoja wa wanasiasa walioleta mapinduzi ya vyama vingi hapa nchini Tanzania wakati huo watu kama kina Slaa sijui walikuwa wapi?? Pia ni ukweli usiopingika Mabere ndio anawapa kiburi na ujasiri kina Mbowe na Slaa pia uwezo wa kuropoka chochote wakijua nyuma yao yuko mwanasheria kabambe atakayewasaidia,nilishangaa sana pale Dr slaa alipokuja kuomba udhamini pale moshi manispaa,wakati Mabere aliposimama kuongea umati mzima ulizizima kwa furaha kuliko hata Slaa aliposimama na watu wengine kuanza kusema kwanini huyu bwana hagombei maana anajenga hoja vizuri na anaonekana kujiamini!
Ushauri wangu wanaCDM tumpe nafasi bwana Mabere kwani yeye hana kashfa kama za viongozi wengine wa cdm na nisingepeda kurudiarudia hizo kashfa kwani kila mtu anazifahamu! MABERE ANAWEZA KUTUFIKISHA TUNAPOPATAKA

Kawaambie waliokutuma hatupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom