Tupo imara tunajenga taifa letu tumethubutu,tukaweza,tunazidi kusonga mbele,kwa jinsi slaa alivyo na chuki na kwa vile ludovick aliibua uozo wao slaa hataruhusu kijana yule atoke but all in all yai litawatobokea tu.
Kijana wa Bavicha katelekezwa, Chadema mna jopo la wanasheria msaidieni huyu kijana.
Mkuu, binadamu apaswi kuhukumu hivyo. Sisi wote ni wakosefu, ni Mungu tu ndiye alietakasika. Kwanini binadamu tuwe na jeuri ya kuhukumu kwa namna hiyo?
Ndio maana Kikwete kwa kutambua hilo, a-support suala zima la hukumu ya kifo. Ndio maana ameweka kauzibe kwenye kusaini ili wahukumiwa kuuwawa wasifanywe hivyo.
Huu sio udhaifu, bali ni utu.
Mkuu ulizaliwa kwenye mtalo wa maji machafu? Jaribu kujitazama tatizo lenu bavicha mnatumika mpaka hamjitambui mtakufa kwa kutumika.Bun ndio tunda gani wewe mbulula!! nenda shule badala ya kukimbilia hapa JF kueneza umbeya wakati hata kuandika hujui, hebu wahi kule jukwaa la elimu panakufaa ukishaelimika ndio uje hapa.
kama HUyu jamaa hata ndugu zake hawa mmind, sasa Dr. afanyie nini?
Mkuu yeye hakupenda uharifu uliokuwa unafanywa na chadema.mkuu kimya kitambo! bt kimya chako hakina mshindo nakushauri ukipewa kazi kama hii na mwigulu usiifanye hata chembe. namwonea kijana huruma sana na nahisi anajuta na atajuta kushirikiana tena na mwigulu ktk harakati kama hizi. hiv kes yake dhamana ya 48,500 inafaa? maana ndio ujira aliopewa
Mkuu ulizaliwa kwenye mtalo wa maji machafu? Jaribu kujitazama tatizo lenu bavicha mnatumika mpaka hamjitambui mtakufa kwa kutumika.
Mkuu huyu kijana alienda kuombwa kwao na lwakatare na akaja kukabiziwa kwa slaa.Mkuu,
Hiyo siyo maana yake, ndugu zake hawaendi mahakamani sio kwamba hawam-mind, hapana, ila wengi wao wapo Bukoba na wana hali mbaya kimaisha.
Unatarajia wataweza kusimamia dhamana kweli? Dr Slaa alirudishe moyo wake na akumbuke fadhira za kijana Ludo katika kukijenga chama. Haya yote amejisahaulisha?
Labda nikuulize tu swali dogo, ni nini nafasi ya Ludovick Chadema pengine sielewi
Na unaweza kutueleza yeye na Maggid Mjengwa wana uhusiano gani au alikuwa anafanya nini na Maggid?Ok, Ludo kipindi yuko UDSM-DUCE alikuwa ni miongoni mwa vijana wana harakati wa kukijenga CDM, hasa kupitia jumuiya ya CHASO ambayo Mwampamba ni mwasisi wake.
Kijana huyu alivyo maliza masomo yake akaacha vyote, na kwenda kukitumikia CDM makao makuu, hii sacrifice sio ndogo mkuu.
Pale makao makuu, alikuwa chini ya uangalizi wa Lwakatare katika majukumu yake, pia alikuwa mtu wa muhimu sana kwa Dr Slaa hasa katika masuala ya intelligence.
Mkuu, hapa bado ujaona nafasi ya huyu kijana ilivyo nyeti na muhimu kwa chama?
Mkuu HAMMY-D, ingekuwa CDM wamekurushia wewe 50,000/- ili umrekodi Mwigulu, by now ungekuwa huna kucha ,huna meno ya mbele na pengine ungekuwa ushatumbukizwa kisimani!
Na unaweza kutueleza yeye na Maggid Mjengwa wana uhusiano gani au alikuwa anafanya nini na Maggid?
kujenga chama si hoja, siunajua umammruki? umewasahau juliana mwambapa? wanafiki ni wakarim kuliko watu wema.Mkuu,
Hiyo siyo maana yake, ndugu zake hawaendi mahakamani sio kwamba hawam-mind, hapana, ila wengi wao wapo Bukoba na wana hali mbaya kimaisha.
Unatarajia wataweza kusimamia dhamana kweli? Dr Slaa alirudishe moyo wake na akumbuke fadhira za kijana Ludo katika kukijenga chama. Haya yote amejisahaulisha?
Anafamilia kama timu ya mpira buku7 za lumumba hazitoshi inabidi akakalie mbao kwenye magorofa..Zemarcopolo Yuko wapi ? Aachane na Slabs za magorofa kuna wa china siku hizi
WanaJF!
Leo ni siku ya kesi ya bwana Lwakatare kusikilizwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, lakini kesi imehairishwa mpaka July 22, 2013.
Pamoja na hayo, mshitakiwa na.2 bwana Ludovick Rwezaura ameshindwa kupata dhamana kwa sababu ya kutokamilika kwa nyaraka za dhamana, ingawa dhamana yake iko wazi kabisa.
Bwana Ludovick akiwa nje ya mahakama, ameonekana akiwa mnyonge na alikuwa akilia sana kwa uchungu huku akilalamika ndugu zake (ambao hawakufika mahakamani) hawafatilii dhamana yake.
Kwa hali kama hiyo, kijana Ludovick anaendelea kusota gerezani na kuzidi kuangamia, kwani wote sisi ni wanaadamu na tunajua makali ya maisha ya gerezani.
Rai yangu kwa CHADEMA; haijarishi kijana Ludovick kama alikuwa mwajiriwa wa CHADEMA kimkataba ama alikuwa volunteer, jambo la msingi ni kwamba alikuwa ana kitumikia CHADEMA kwa moyo wake wote na nguvu zake zote. Ludovick alijitoa kwa CHADEMA kwa namna yake, ni kijana ambae alikuwa bega kwa bega na Dr Slaa kiutendaji na vile vile alikuwa kama mtoto kwa Dr Slaa.
Katika hali kama hiyo sikutarajia kama CHADEMA kinaweza kumtema na kumkataa kabisa bwana Ludovick Rwezaura. Kwani wote tunafahamu kuwa, kosa aliadhibiwi kwa ubaya, bali kosa dawa yake kukosolewa. Sasa kwanini CHADEMA wana muadhibu kijana Ludovick kwa ubaya? kwanini wasimsaidie hata kwa dhamana ili aweze kutoka kwenye 'jehanamu' ya duniani?
Maamuzi haya ya kumtupa mkono kijana Ludovick katika hali hii mbaya inayo mkabili, inajenga wasiwasi mkubwa kwa vijana wengi walio CHADEMA juu ya hatma yao endapo wakikosea jambo. Je, chama kitawasaidia kwa lolote? Ni wakati vijana wakawa makini sana na namna ambavyo CHADEMA na viongozi wake wana shughulikia nidhamu na makosa ya wanachama wao, hiki anacho fanyiwa Ludovick, hakina tofauti sana na walicho fanyiwa Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
View attachment 101283Kijana Ludovick akionekana amenyong'onyea leo mahakamani, pembeni yake ni bwana Lwakatare wakiwa na askari magereza.