dr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.Si kweli mkuu, kijana yuko gerezani ananyea debe tu. Inasikitisha sana kwa hatua aliyofikia.
Mkuu, inaonekana hujui au unavika upofu kuhusu uchakalikaji wa kijana Ludo kwa CDM.
Kijana Ludo kwa Dr Slaa alikuwa ni lulu, kijana aliaminiwa na Dr Slaa mpaka akamfanya private secretary.
Kwanini wamteme hivi?
Dah inasikitisha sana we hav to think before. Nitabaki tu kuwa neutral mambo haya ni magum sana. Siasa ni mchezo mchafu.
Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.
Mkuu wala sibishi, matatizo ni sehemu ya maisha, lakini kama yakinikuta kwa usaliti, hiyo itakuwa ni haki yangu, na watu hawatasikia uchungu, lakini kama itanitokea nikiwa katika nia njema, wata watanililia na watanitolea dhamana.Ipo siku na wewe yaweza kukukuta kama haya tuwe na huruma na tuthamini mchango wake ktk chama.
Mwigulu hana habari tena na Ludovic, anachofanya sasa kila anapokuwepo Kikwete anataka awe ubavuni mwake. Hapa anasakata kandada uwanjwa wa taifa kama kipeperushi cha Yanga.
lumumba imeongea saana! Mlipoteana pale mawasiliano yenu ya kuhujumu cdm na kumuhujumu kibanda yapowekwa wazi na marando iatusikii tena kauli za "jinuaini bonafide" mwajili wa mwisho wa Ludo ni mwigulu na mpaka anaingia ktk misukosuko alikuwa akifanya kazi ya mwigulu!dr SLAA ni mtu aliyelelewa na kukulia seminary. amesoma dini huyu mtu na mwishowe imani ikamshinda kwa tamaa za kidunia.
nilidhani labda kuna mabaki ya ubinadamu ndani ya moyo wake yalyotokana na malezi mema ya kanisa lakini kumbe nilikosea kudhani hivyo!!. hakumbuki jinsi alivyomtumia huyu kijana katika mambo yake binafsi(machafu na masafi), amesahau jinsi alivyokuwa anayaweka rehani maisha ya huyu kijana kwa kumpa maagizo ya utekelezaji wa mambo ya hatari yaliyokuwa yanapangwa na kuratibiwa na makao makuu. amesahau jinsi alivyokuwa msiri wao na kufanikiwa kuficha siri nyingine ambazo hata mwenyekiti mbowe alikuwa hajui!!!!!
kma kosa lake lilikuwa ni kuibua siri ya mikakati ya kishetani ya CHADEMA dhidi ya waandishi wa habari, basi nadhani kuna siku mwanga wa mungu utamuangazia kwa sababu alifanya vile kwa maslahi mapana ya taifa.
kinachonifurahisha kuhusu hili sakata la lwakatare ni jinsi wana chadema wanavyojiumauma na kujikanganya kuhusu ile video. naona sasa wamehama kutoka kwenye'' VIDEO FAKE'' mpaka kwenye 'LUDOVIC MSALITI'''.
Mwisho wa hili sakata uko wazi.. LWAKATARE ATAFIA JELA KAMA MFUNGWA na LUDOVIC atasalimika.
just stay tuned
Tupo imara tunajenga taifa letu tumethubutu,tukaweza,tunazidi kusonga mbele,kwa jinsi slaa alivyo na chuki na kwa vile ludovick aliibua uozo wao slaa hataruhusu kijana yule atoke but all in all yai litawatobokea tu.Mkuu, karibu tena, nili-notice absence yako mkuu.
Ila naamini umekuja na kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya!
Ipo siku na wewe yaweza kukukuta kama haya tuwe na huruma na tuthamini mchango wake ktk chama.
Bun ndio tunda gani wewe mbulula!! nenda shule badala ya kukimbilia hapa JF kueneza umbeya wakati hata kuandika hujui, hebu wahi kule jukwaa la elimu panakufaa ukishaelimika ndio uje hapa.Mkuu hamy.d nilikula bun kidogo nimerejea tuendelee kuwaelimisha hawa ndugu zetu wasiolewa,kijana huyu wamefanya naye mambo mengi mabaya yamebuma wanamuona taka.
tatizo mnaweza kumuweka kitako, hapo hapo akatoa filamu nyingine, kwmba mlikuwa mnataka kumnyonga baada ya kuvujisha siri. aina ya watu hawa ni kuwaweka mbali sana. dakika tano nyingi. kila dakika anawazia kutumika ili apate angalau kutibu njaa ya sikuMkuu, ni CDM tu na vyama vingine ndio vyenye kuweza kumtupa mwanachama wao. CCM uwa hatutupi mtu, bali tunakoso, tena kamati za maadili zipo kwa ajili ya kazi hiyo.
Sasa sijui Ludo kama aliwekwa kitako na kamati ya maadili kuhusu hizo tuhuma anazo tuhumiwa nazo kuwa amesaliti chama, au ni ubabe tu ndio umetumika.
Ila mpaka sasa nasema ni ubabe, kwakuwa CDM hawakusikiliza hoja zake kuhusiana na sakata hili.
Mkuu, unataka kusema muda wote huo bado tu hajajua kuwa kijana yuko mahabusu, tena amekongoroka vibaya! CHADEMA imuangalie jamani, kiubinadamu tu.
"Ukiua kwa upanga, nawe utakufa kwa upanga"
Jaribu kulinganisha alivyoitumikia chadema hapo ndipo utaingiwa na huruma,halafu mkuu mwita unakumbuka kipigo cha mianzini nadhani huna hamu kabisa.Kwanini ccm haimuangalii kiubinadamu? wakati mwigulu nchemba anamtumia alifanya hivyo kwa manufaa ya ccm kwanini sasa huo moyo wa ubinadamu umewatoka na kuvaa moyo wa mnyama?...