CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

Kwani ccm imewaomba lini radhi watanzania Kwa kuwacheleweshea maendeleo , ufisadi , rushwa Kwa miaka zaidi ya 54?
 
Mkuu hoja yako ina mashiko na ni ya msingi kabisa. Ila naona bado hujajibu the key concerns za uzi huu.

Failures of CCM are not 'justification' to Failures of CHADEMA!

Uzi huu unahusu down-sides (political hypocrisy) za CHADEMA in line with the Admission of Lowasa, and not otherwise.

As such, please naomba ujikite moja kwa moja kwenye zile concerns tano nilizohoji.

Let the Truth prevail.

-Kaveli-

Kwa hiyo wewe unaamini nini? Lowassa ni fisadi au sio fisadi? Kama ni ndio mbona hakamatwi? Je alipotoka madarakani ufisadi uliisha?
 
Ndani ya miaka nane na zaidi wananchi tumeimbishwa na kuaminishwa usiku na mchana kuwa Lowasa ni Fisadi mkubwa wa uchumi wa Tanzania.

Na mbaya zaidi mkasema mnaushaidi wa ufisadi wa Lowassa kama anabisha aende mahakamani.

Wengi tuliamini na mpaka sasa tumesimama kwenye misingi ya uaminifu kuhusu Chadema kuwa Lowasa ni Fisadi na hafai kupewa nchi.

Lakini wengi wetu mmeshindwa kutushawishi kwa hoja kwa nini Lowassa awe msafi sasa.

Ni vema mtuombe radhi hadharani kuwa ndani hiyo miaka mlikuwa mnatudanganya na kutulaghai ili kuwalaghai na ccm wamteme Lowassa.

Bado nipo kwenye misingi ya awali ya Chadema kupinga ufisadi na mafisadi na naamini Lowassa ni fisadi mpaka pale viongozi wa Chadema mtakapokiri wazi kuwa mlitupotosha Lowassa sio fisadi na ushahidi mlikuwa hamna.
SAWA NA SHETANI KUOMBA RADHI KWA KUUDANGANYA ULIMWENGU.
NEVER

WAMESHAZOEA VYA KUNYONGA
 
Nimesikitishwa sana na CDM kumpokea Lowasa, kuna wengi sana tunadhana tuliyoaminishwa na CDM kuwa Lowasa ni FISADI.

Lowasa ni JEMBE lakuua upinzani, MPINI ni CCM. Kwasasa hatutoliona hili kirahisi kutokana na ushabiki uliopelekea UPOFU WA FIKRA, ila baada ya uchaguzi ndio yataeleweka haya yote.

Ishu sio CCM ina mafisadi wangapi ila hoja ni KWANINI NA KWA LIPI TUIAMINI CHADEMA KUSHIKA DOLA IKIWA WALITUDANGANYA KUWA LOWASA NI FISADI??

......Ishu sio CCM ina mafisadi wangapi ila hoja ni kwanini na lipi tuiamini CDM kushika dola. Kwako miaka 50 kupita bado tu unataka tendelee kujaribu jaribu. Tumejaribu jaribu mpaka almasi zimeisha. Tukajaribu jaribu tena dhahabu inaelekea kwisha. Tukajaribu weeeeee tembo wameisha. Unataka tuendelee kujaribu tena? Huyo kadanganya moja huyo unayemtetea kadanganya mangapi? Anadanganya na kuibia mpaka wagojwa wa ukimwi! ni aibu.
 
Wewe umewahi kusikia mahali popote kwamba CHADEMA imebadili sera zake!? Kama jibu ni ndiyo tuwekee ushahidi hapa wa kuonyesha kikao cha kubadili sera kilifanyika lini na wapi? Hukusikia CHADEMA kuzuiwa Bungeni kujadili ufisadi wa bilioni 37 Bungeni!? Na huyo aliyedai kujitoa kafara kupambana na ufisadi nchini mbona hakutaka hata kuitaja Lugumi na akapanga mikakati ndani ya Bunge ili kulipotezea suala la ufisadi wa Lugumi? Unadhani kwanini aliikwepa kwa kila hali Lugumi?

s

Niambie tangu mwanzo Sera ya CDM ilikuwa ipi na sasa wanapigania nini? Au nikuulize kwamba hivi ile LIST OF SHAME bado ipo kwenye tovuti ya CDM?
 
Wewe umewahi kusikia mahali popote kwamba CHADEMA imebadili sera zake!? Kama jibu ni ndiyo tuwekee ushahidi hapa wa kuonyesha kikao cha kubadili sera kilifanyika lini na wapi? Hukusikia CHADEMA kuzuiwa Bungeni kujadili ufisadi wa bilioni 37 Bungeni!? Na huyo aliyedai kujitoa kafara kupambana na ufisadi nchini mbona hakutaka hata kuitaja Lugumi na akapanga mikakati ndani ya Bunge ili kulipotezea suala la ufisadi wa Lugumi? Unadhani kwanini aliikwepa kwa kila hali Lugumi?
Jibu swali wewe au huelewi Kiswahili. Shida tupu. Endelea na huo UKUTA!
 
Tatizo la sisi watanzania ni kumkubali mtu zaidi kuliko ukweli wa yule mtu. Mambo hayo waliyatamka wao wenyewe kwa vinywa vyao, leo hii wanatufanya sisi ni wajinga, bila aibu wanaanza kumsafisha mtu yule yule waliyetuaminisha kuwa ni fisadi. LEO HII NENO "UFISADI" HUJI KUSIKIA WAKILITAMKA. Hilo ndilo linalowagharimu na litaendelea kuwagharimu mpaka siku ya mwisho.
Hawataki kukiri wazi kuwa maamuzi yao yalikigharimu Chama, Chadema lilikuwa tumaini la kweli kwa wasomi Na wanyonge wa Tanzania.!
 
Usiulize swali la kipumbavu halafu utegemee nilijibu kipumbavu. Huna ushahidi wa kuonyesha kwamba CHADEMA imebadili sera zake. Sasa kwanini uulize swali la kitu ambacho hakipo na huna ushahidi wa kuweza kukithibitisha kwamba kipo. Tafakari kwa kina kabla ya kukurupuka na maswali yako ya kipumbavu.

Jibu swali wewe au huelewi Kiswahili. Shida tupu. Endelea na huo UKUTA!
 
Ndani ya miaka nane na zaidi wananchi tumeimbishwa na kuaminishwa usiku na mchana kuwa Lowasa ni Fisadi mkubwa wa uchumi wa Tanzania.

Na mbaya zaidi mkasema mnaushaidi wa ufisadi wa Lowassa kama anabisha aende mahakamani.

Wengi tuliamini na mpaka sasa tumesimama kwenye misingi ya uaminifu kuhusu Chadema kuwa Lowasa ni Fisadi na hafai kupewa nchi.

Lakini wengi wetu mmeshindwa kutushawishi kwa hoja kwa nini Lowassa awe msafi sasa.

Ni vema mtuombe radhi hadharani kuwa ndani hiyo miaka mlikuwa mnatudanganya na kutulaghai ili kuwalaghai na ccm wamteme Lowassa.

Bado nipo kwenye misingi ya awali ya Chadema kupinga ufisadi na mafisadi na naamini Lowassa ni fisadi mpaka pale viongozi wa Chadema mtakapokiri wazi kuwa mlitupotosha Lowassa sio fisadi na ushahidi mlikuwa hamna.
Ukija gheto mimi binafsi nitakuomba radhi na siyo kuwaomba radhi maana umetumia wingi na hitaji ni lako peko,njoo tu usijali.
Zaidi ujue siasa ni mchezo usihitaji hasira ndiyo maana wanaotoa mapovu unawaona wanavyo teseka na kuweweseka na ndoto za mchana mara huyo kaongea hivi mara yule kaongea hivi hakuna kauli yenye umoja kwa wote.
Kauli zao ni kama za yule nyoka wa makengeza,wakina Msindai ,Mpendazoe,Mwapachu n.k.n.k.
 
Usijali nitakuja....ila sita kufanya tu ila pia nitakufanya uwe mwanamke bora uachane Na maisha ya gheto.!
 
Kumbe wewe ni wale ambao tunawapiga vita viongozi wadini,serikali na wananchi.
Sitaki dhambi ya kutouona ufalme mbigu na Makonda kawapiga marufuku bado tu hamtaki kuachana na tabia zenu.
 
Ndani ya miaka nane na zaidi wananchi tumeimbishwa na kuaminishwa usiku na mchana kuwa Lowasa ni Fisadi mkubwa wa uchumi wa Tanzania.

Na mbaya zaidi mkasema mnaushaidi wa ufisadi wa Lowassa kama anabisha aende mahakamani.

Wengi tuliamini na mpaka sasa tumesimama kwenye misingi ya uaminifu kuhusu Chadema kuwa Lowasa ni Fisadi na hafai kupewa nchi.

Lakini wengi wetu mmeshindwa kutushawishi kwa hoja kwa nini Lowassa awe msafi sasa.

Ni vema mtuombe radhi hadharani kuwa ndani hiyo miaka mlikuwa mnatudanganya na kutulaghai ili kuwalaghai na ccm wamteme Lowassa.

Bado nipo kwenye misingi ya awali ya Chadema kupinga ufisadi na mafisadi na naamini Lowassa ni fisadi mpaka pale viongozi wa Chadema mtakapokiri wazi kuwa mlitupotosha Lowassa sio fisadi na ushahidi mlikuwa hamna.
 
Ndani ya miaka nane na zaidi wananchi tumeimbishwa na kuaminishwa usiku na mchana kuwa Lowasa ni Fisadi mkubwa wa uchumi wa Tanzania.

Na mbaya zaidi mkasema mnaushaidi wa ufisadi wa Lowassa kama anabisha aende mahakamani.

Wengi tuliamini na mpaka sasa tumesimama kwenye misingi ya uaminifu kuhusu Chadema kuwa Lowasa ni Fisadi na hafai kupewa nchi.

Lakini wengi wetu mmeshindwa kutushawishi kwa hoja kwa nini Lowassa awe msafi sasa.

Ni vema mtuombe radhi hadharani kuwa ndani hiyo miaka mlikuwa mnatudanganya na kutulaghai ili kuwalaghai na ccm wamteme Lowassa.

Bado nipo kwenye misingi ya awali ya Chadema kupinga ufisadi na mafisadi na naamini Lowassa ni fisadi mpaka pale viongozi wa Chadema mtakapokiri wazi kuwa mlitupotosha Lowassa sio fisadi na ushahidi mlikuwa hamna.
Katika nchi zinazozingatia utawala wa sheria kabisa, mbivu na mbichi za kinachoitwa ufisadi wa Mh. Lowassa zingekuwa zimekwisha julikana mahakamani in those 8 years.
Katika ile list of shame, hao waliobaki ni chama gani kitahitajika kuwaomba radhi wananchi??!!!
 
Kwenye biashara, board of trustees inaweza kukaa kuamua kubadili, mkurugenzi au muelekeo wa biashara wakati wowote watakaoona inafaa..hiko ndo kilichotokea 2015 ndani ya chadema..
 
Back
Top Bottom