CHADEMA, Lowassa apewe onyo mara moja

True. Kujihakikishia kugombea urais 2020 ni kuiweka demokrasia ya chama mfukonj mwake...
 
Kama hadi leo hufahamu kuwa chadema ni chama cha kitaifa , sio kosa lako tatizo ni chama chako kukunyima elimu.

Na sisasa zako za maji taka. Pandu kificho wewe.
Pole sana, naona kaskazini wanapanga safu yao, mzee mtei keshabariki
 
Kwani ushasahau mara hii kuwa alikinunua jumla jumla na alikabidhiwa na risiti anayo, pia na 18% ya kodi alilipa.
 
CDM naamini sasa mmeanza kuuona upuuzi uliokataliwa na ccm eeeh? Basi bado upuuuzi mkubwa zaidi huo mdogo mbona subirini muda ndo jawabu la kila kitu.
 
lakini na wale mamea walisikika wakisema bila lowasa wasingefika pale walipo mkuu,nadhani kuna kidudu mtu amevamia UKAWA
 



INAELEKEA MNAUMIA HATA LOWASSA AKIKOHOA TU.

HEBU TULIENI.
 
Huyo ametumwa na nani
 
Na huyu mwingine anaposema 'Serikali ya Magufuli....' badala ya Serikaki ya Chama Cha Mapinduzi amewahi kuonywa na nani?
 
Umemsikia yeye anatamka hayo maneno au unaleta habari zenu za uchokonozi na ushambega usio kuwa na tija kwa wananchi. Kama "Ame" wewe inakuhusu nin na itakusaidia nini akisha fukuzwa? Fanya yako ya CDM wachie wenye CDM.
 
Ongeza na hili "nitawafukuza wabunge na madiwani wote mizigo "

Mengine mnayaongeza kwa maslahi yenu. Nilimsikiliza jana hii haikutoka mdomoni mwake. Alisema chama kitawafukuza uanachama
 
wewee kamanda acha kutoa mapovu! kwani hujui mzee alishakinunua chama? kwani haya malalamiko yanazungumwa kila siku kwamba chama kimeuzwa unadhani ni ya kutunga? ? khaa! !! chadema ni Lowasana bila Lowasa hakuna chadema. ingesha jifia kuleee. mhimili mkubwa wa chadema ulikuwa Dr Slaa tuu. ndie aliyekuwa walau amenyooka na itikadi. lakini hao wengine waliobakia ni walaji wapigaji na wafanya biashara zisizoeleweka. Mbowe alihamisha madolari sijui malaki mangapi kwenda ughaibuni kwenye akaunti zake huko. unajua zilikuwa zinafanya biashara gani. na marufuku kuulizia hizo pesa maana ni za mkubwa.!!!! wajinga ndio waliwao wewe bado umezubaa namna hiyo? ?? jiangalie mara mbilimboki
 
Hawez kuwa, hadema huyu . Kada wa chadema anayejitambua Hawez andika hivyo .
kamanda watu wamestukia mchezo zamanii. hakuna cha nini wala nini ,watu wanatafuta fursa ya kupiga mahela tuu kwa kutumia migongo ya watanzania masikini na wale wapumbaf na malofa. huyu ni kati ya wale wanaojitambua kwa sasa. wamechoka na utapeli
 
kamanda naona unalenga palpale. unasaidia kukumbusha watu walio na akili za kusahau! wanakalia ushabiki tu.
ukisikiliza hii clip,
-ukasikiliza clip ya Tundu lissu alivyomteuaga Lowasa kwenye List of shame
-ukasikiliza clip ya Mbowe alikuwa akisema Lowasa ni bubu ndani ya bunge na kuwa hafai kuwa kiongozi
-ukasikiliza clip ya Mchungaji msigwa anayosema' atakayemshabikia lowasa anatakiwa akapimwe akili' maana atakuwa lazima ni mwendawazimu
-ukasikiliza clip ya Dr Slaa kuhusu ufisadi wa Richmond
-ukapitia magazeti ya Kubenea tangu mwaka 2008 mpaka mapema mwaka jana 2015 yaliyokuwa yakimkashifu Lowasa na ufisadi
-ukasikiliza na hotuba ya mbunge wa Arumeru, wakati wa kampeni kipindi chake cha kwanza!
yaani hutakaa uiamini chadema na ukawa tenaaaaa! !. kama ni siasa tupa kule fanya mambo mengine.
 
NI NANI ANA UBAVU WA KUMPA ONYO LOWASA NA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA. NANI? ?? MNAJUA KIMEMGHARIMU PESA NGAPI MPAKA CHAMA KUFIKIA HAPA KILIPO? ?. MNAJUA WAASISI WAMESHA LAMBA KIASI GANI ! NANI MWENYE NGUVU HIZO.
kamanda acha ndoto za mchana. uliza kwanza uambiwe. hivi hata mitandao nayo husomi
 
Ubinafsi
Uchu wa madaraka umemjaa sana huyu mzee

Eti tutawafukuza

Atawapeleka mbio sana mlikua hamjui eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…