CHADEMA lazima itashinda uchaguzi 2015 - Maige

CHADEMA lazima itashinda uchaguzi 2015 - Maige

huyu anaota kama wanacdm,sisi tayari tunajua ni majimbo gani yatakua ya ccm na rais atashinda kwa kura ngapi. Tanzania ina wenyewe jamani.
 
Maumivu ya kichwa uanza taaarati, maige anaweuka taratibu, ila magamba lzm wampeleke mahakamani ili kuonyesha kuwa wanawajibika
 
Mbunge wa Msalala CCM Ezekiel Maige amekitabiria ushindi mkubwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Maige amesema hiyo inatokana na vita ya makundi ndani ya chama hicho ambacho baadhi ya wanachama wananyooshea vidole wanachama wenzao kwamba ni mafisadi.

Ametoa mfano katika jimbo lake mwenyewe la Msalala kwamba ana uhakika jimbo hilo litachukuliwa na CDM kutokana na chuki na fitina za wanaCCM wenyewe.

SOURCE: NIPASHE JUMAPILI
ndoto za alinacha hizo
 
huyu jamaa ameamua kumwaga ugali baada ya mboga yake kumwagwa
 
Huyu maige ni mnafiki tena popo na ndumilakuwili mkubwa sana aliyekubuhu, haiwezekani kipindi ambacho ulikuwa kwenye madaraka haukusema hivyo sasa iwaje leo baada ya kuchomolewa unaanza fitina zako kwa chama chako CCM! Watu kam nyie ndio sample ya shibuda ambaye alipokosa fedha za kampeni kutoka CDM leo anaanza uropokaji, mwanasiasa unatakiwa usiwe ndumila kuwili bali unatakiwa uwe certain na specific eneo, Huo si utabiri bali huo ni ukweli ila unajifanya unatabiri gamba la kobe ww ili upate air time na mavyeo baada ya CDM kuchukua nchi!
CHADEMA HATUTAKI UTABIRI MAFISADI.

Maige@mnafiki.gamba.com
 
Maige ana Stress huyo!! Anahitaji Msaada! Anafikiria mijihela iliyokua inatiririka mikononi mwake kutoka kwa wawekezaji wa vitaru lazima awehuke!! Hivi kwa nn hasemi kuhusu twiga pia??
 
Huyu maige ni mnafiki tena popo na ndumilakuwili mkubwa sana aliyekubuhu, haiwezekani kipindi ambacho ulikuwa kwenye madaraka haukusema hivyo sasa iwaje leo baada ya kuchomolewa unaanza fitina zako kwa chama chako CCM! Watu kam nyie ndio sample ya shibuda ambaye alipokosa fedha za kampeni kutoka CDM leo anaanza uropokaji, mwanasiasa unatakiwa usiwe ndumila kuwili bali unatakiwa uwe certain na specific eneo, Huo si utabiri bali huo ni ukweli ila unajifanya unatabiri gamba la kobe ww ili upate air time na mavyeo baada ya CDM kuchukua nchi!
CHADEMA HATUTAKI UTABIRI MAFISADI.

Maige@mnafiki.gamba.com

Uh! Kumbe Shibuda alinyimwa pesa za chadema?? Kha!!
 
Jamaa alishinwa kusema ukweli wakati yupo kundini kanyofolewa uwaziri kaanza kuweweseka, CDM ni chama makini hatutaki aje huku atatuharibia abaki na magamba yake:lock1:
 
Huu ni ushahidi mwingine wa kudhihirisha uhuru na demokrasia ya kweli CCM.

Nina uhakika angekuwa ni mbunge wa CDM, angeundiwa TUME
 
Jamaa alishinwa kusema ukweli wakati yupo kundini kanyofolewa uwaziri kaanza kuweweseka, CDM ni chama makini hatutaki aje huku atatuharibia abaki na magamba yake:lock1:
Mkuu, ukiwa waziri huwezi kutoa siri za serikali sababu kule kuna uwajibikaji wa pamoja.
Kosa lae ni pale alipojua kuwa kutumika katika nafasi ile inabidi uvumilie uovu wote, na akaamua kutulia kwa vile na yeye alifaidi matunda ya uhuru, kama alikuwa na uchungu na watanzania angejiuzulu na haya anayoropoka wakati huu tungeyapa uzito.
Asipojiangalia atamfuata Kolimba; just a matter of time.
 
cdm waweza kushinda urahisi kama wafuatao watajiunga cdm; Dr Magufuli, Ama Lowassa kwa vile sidhani kama cdm kwa sasa wana kiongozi mwenye sifa ya kuwa Rais wa nchi
 
Graet! katabiri vema, ila hamtaki kwetu. hatutaki wezi sisi. CDM sio chama cha mafisadi.
 
cdm waweza kushinda urahisi kama wafuatao watajiunga cdm; Dr Magufuli, Ama Lowassa kwa vile sidhani kama cdm kwa sasa wana kiongozi mwenye sifa ya kuwa Rais wa nchi

Mkuu ZZK kidogo anafaa ila sema umri ndo kikwazo
 
Namshauri ajiwahi mapema kuhamia CDM la sivyo jimbo lake Msalala liko rehani!!!!!!ingawa ajiandae kupambana na kesi toka kwa magamba hawatamuachia hivi hivi!!

Atatushibuda huyu akipewa akipewa nafasi yakugombea hilo na chadema
 
Back
Top Bottom