CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Uchakachuaji upo ni vigumu CCM kuacha uchakachuaji wake
 
CHADEMA itakwenda Ikulu kwa kura za wananchi siyo eti kwa kuwa Magufuli kafanya hiki na kile hajakifanya.
Na wananchi watampa kula Magufuli na CCM yake AU Chadema na makamanda wake kwa kuangalia hiki na kile ambacho Magufuli na CCM yake wameshindwa au wamefaniki kukifanya Vema.
 
Chadema mpaka wampe Lissu uwenyekiti..la sivyo movie la kihindi
 
Yaan chadema sijui wakoje. Ni sawa na chizi anayesubiri chungwa chini ya mti wa mnazi lianguke apafe kula. Yaan chama kinaelekea kufa bado wana ndoto za kwenda magogoni
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Labda muende Ikulu ya sultani kimweri-vuga,au Ikulu ya Chifu Mkwawa Kalenga
 
Yaan chadema sijui wakoje. Ni sawa na chizi anayesubiri chungwa chini ya mti wa mnazi lianguke apafe kula. Yaan chama kinaelekea kufa bado wana ndoto za kwenda magogoni
Mafisi bila polisiccm ni kama mkate ndani ya chai unavyea na kuteketea
 
Yeah sisi chadema hatuungi kufukuza awafanyakazi walioko kazini kwa sababu ya tofauti ya vyeti..sisi tungewambia wajiendeleze taratibu kufikia kiwango kinachotakiwa.
Mh kilwete aliwapa mda wa kutosha mbona watu wamesoma qt sana
 
Maneno hayo tumeyasikia sana walishindwa chini ya umoja wa ukawa wataweza peke yao?
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
HOVYOOOOO. Hujui political analysis. MTASUBIRI SANA ILA NAKUHAKIKISHIA MAGUFULI ATASHINDA TENA 2020 na ATATAWALA HADI 2025. CCM ni chama dola na hakiwezi kushindwa Uchaguzi. Thats for sure
 
Bahati nzuri kuota ndoto ni haki ya kiasili ya binadamu.

Kila binadamu ana uwezo wa kuota bila kujali ni mchana au usiku. Ndoto ni ndoto tu.
 
Mkuu ukitaka iwe hivyo tunatakiwa kuhakikisha tunapata tume huru ya uchaguzi na katiba kabla ya uchaguzi wa 2020. Vinginevyo ni ndoto labda tuingie mtaani.
Tulete majigambo na kujiamini kwa ngazi za ubunge, udiwani etc but sio kiti kikuu.
 
Kwa hiyo wafanyakazi wenye vyeti feki mtawaajiri? Nyinyi hamna hoja uzi kama huu ni wa kupuuzwa tu nani awape kura wahuni
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
We unachekesha kweli. Chadema ipewe ikulu ili iturudishe nyuma tena! Khaaaaaa. Hata Mungu atatulaani. chadema hii iliyosheheni watuhumiwa wa ufisadi ambao wao wenyewe walikuwa wanasema hawasafishiki. Leo wamewasafisha wenyeweeee. Weupeee peee kama theluji. Chadema hawa. Over my dead body
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Unadhani kura zinapatkana kwa style hii. Kamanda ukitaka kura jivue magamba hayoo ya watuhumiwa wa ufisadi kwanza. Hatuwez tena kumkabidhi nchi yetu mifisaadi kama h.i.i
 
Chadema itatutoa mstarini.kutoka kuelekea nchi ya viwanda na kuwa kuelekea nchi ya matumaini. Hahahahaha. Safari ya matumaini. Imani yako ndio itakayokuponya kamanda
 
Back
Top Bottom