CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

Kweli upinzan mna matatizo ya kufikiria kisa vyeti feki na bashite ndo muingie ikulu achen propaganda tafutan agender zinaweza kuwasaidia
 
Mwaka 2015 mlisema saa nne tu mtakuwa mmemaliza kila kitu,acheni cheap politics mtapata presha buree,jipangeni kwa hoja mtashindwa vibaya sana
 
Ni kweli mafisi labda waibe hii wana pigwa chini wafanyakazi 9000 hakuna wa kuwapa kura wanaasira na kipara
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Chadema mnasubiri matukio yafanywe na serikali ndio mufanye mtaji,kwa hilo mtasubiri sana huko kwenye upinzani,kwa sasa ni sawa na fisi anayesubiri mkono wa msafiri udondoke kuja kutahamaki msafiri anaingia nyumbani kwake(2020)na kupokelewa kwa shangwe,Chadema hii lazima intafia Mbowe Kim Il Sung
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.

Kweli mawazo ya kinyumbu ni shidaah na kuna nyumbuz wamempa like!!!
 
Yeah sisi chadema hatuungi kufukuza awafanyakazi walioko kazini kwa sababu ya tofauti ya vyeti..sisi tungewambia wajiendeleze taratibu kufikia kiwango kinachotakiwa.
Hivyo mnaunga mkono utapeli?hii kali aisee.
 
Ina maana UKAWA ndio imekufa hivyo au maji yakiwa shingoni ndio mnakumbuka kuna muungano wa vyama?
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,, 0 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Hiki kitakua chama cha ajabu sana kuwah kutokea duniani. Chama kuhalallisha matumiz ya vyeti vya kufoji. Lakini anyway tunajua sera za hiki chama tuna uzoefu nacho. Kukumbatia madudu na mauchafu yote ambayo yapo ili mradi tu kuvuta wanachama. Chama hakina sera iliyosimama. Mafisadi kuwasafisha wao ,wakwepa kodi wao, wafanyakazi hewa wao, wanafunzi hewa wao, na kila aina ya madudu wao ndio watetezi wakuu. Wako very strategic.
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Kwa maelezo haya uliyoeleza! Kama yametoka chadema na wwwe ni mwanachama basi hiki sio chama! Kinakwenda kufa kibudu. Kimekosa uhalali wa kuwa chama cha siasa
 
Huo ni ujinga wa hali ya juu sana.
Kwa hiyo ninyi mnakumbatia UHUNI uliokuwa ukifanywa na baadhi ya watu wasio waaminifu katika nchi hii.
 
Ndiyo maana mnakumbatia MAFISADI na WAUZA MADAWA YA KULEVYA.
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Kama kweli Wewe uliyeandika ni greater thinker ninakukumbusha "No Research no right to speak", Naomba utuambia chanzo cha takwimu hizo(asilimia za watumishi,wafanyabiasha, vijana nk) na uthibitishe.
 
M

Mgombea wa dakika 3 hawezi kwenda Ikulu kamwe!!
 
Back
Top Bottom