CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Kwa hiyo serikali ya chadema ina dream
-kurudisha watumishi hewa
-kurudisha watumishi wa vyeti fake
-kurudisha wote waliotumbuliwa kwa tuhuma mbalimbali
-kurudisha biashara ya makontena hewa bandarini
-duuuuuuuu.
Basi sawaa
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.

Ndoto zingine bwana.
 
CHADEMA itakwenda Ikulu kwa kura za wananchi siyo eti kwa kuwa Magufuli kafanya hiki na kile hajakifanya.
Chadema ikafanyaje huko ikulu. Ikulu ni mahala patakatifu kamanda. Usidhani kila mtu tuu akitaka kwenda basi anakwenda. Mwananchi gani huyo atakubali umngoe Magufuli umpeleke fisadi ikulu. Stop dreaming
 
Tulishasema masharti ya kufuata kwa chadema kabla wananchi hawajaanza kuwa nanimani nayo. Kubwa lao ni kuwa ijivue magamba yaleee ya watuhumiwa wa ufisadi. Ile safisha ni danganya toto. Fisadi ni fisadi tuuu hata umpake rangi ya ukili. Vnginevyo chama hakiwezi rudisha imani kwa wananchi milelee
 
Hii mada siikatai kwa hali halisi unaoneka huku mtaani sisi wanaccm kujitambulia moja kwa moja ni ccm kwa sasa ni ngumu kwani maisha ni magumu na jitihada za mabadiliko ya uwafadhali wa maisha haupo kabisa zaidi ya siasa
 
Chadema mnayoyafanya huko kibiti mungu anawaona
 
Attachments

  • IMG-20170615-WA0054.jpg
    IMG-20170615-WA0054.jpg
    68 KB · Views: 25
Chadema itatutoa mstarini.kutoka kuelekea nchi ya viwanda na kuwa kuelekea nchi ya matumaini. Hahahahaha. Safari ya matumaini. Imani yako ndio itakayokuponya kamanda
Unamzungumzia viwanda vya makinikia?
 
Kutokana na hali ya kiuchumi kwa sasa kuwa ngumu, wanafunzi wa elimu ya juu kunyimwa .mikopo, wafanyakazi wa umma kufukuzwa hovyo bila utaratibu, bashite, milioni hamsini kwa kila kijiji imekuwa ndoto, watumishi wa umma kunyimwa maslahi yao ya msingi, kodi nyingi zisizo na msingi, kukamatwa wapinzani nankutishiwa, utekaji wa wananchi na mauaji ya wapinzani ref.Ben sa8
Kula rambirambi za wahanga wa matetemeko na ajali kule Arusha. CCM imebaki kuzikwa tu
 
May b mwaka 3500 mtangoja sana. Ndoto za alinacha hizo
 
thubutuuuuuu LOL

Magu kaanza kuteua wapinzani,hamjajua ni tactic ya kudhoofisha upinzani??muda ukifika wa kupiga kura,hakuna mgombea wa upinzani atakaesimama,lol wote watakua kwenye serikali yake,lol
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Huyu naye eti ni GT!!! Wonders shall never end!! Nakubaliana naye CDM itakwenda Ikulu ya Mangi Sina au Rindi lakini siyo Magogoni!
 
Wakati unaangalia mapungufu ya upande wa pili make sure na yako unayakumbuka.
Tunaambiwa chairman Mbowe anajilipa pesa za ruzuku, uteuzi wa viti maalum ni wa upendekeo(according to Bernson siyo mimi)

ACT WAZALENDO NDIYO CHAMA KITAKACHOCHUKUA NCHI 2020.
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Labda ikulu ya uchagani na mondul lkn sio hii ninayoijua Mimi ya magogoni
 
Wakati mnafikiria hivyo, nawashauri msome na maneno haya aliyoyasema Rais Putin wakati wa kipindi cha maswali na majibu huko nchini mwake, June,2017.
===
“I am prepared to talk to anyone whose goal is to improve people’s lives, to solve the problems that the country is facing, as opposed to use the problems, which always exists anywhere, to score political points, to profit from such problems while making them worse,” Putin said. “People suggesting solutions deserve utmost attention and deserve a dialogue with the government.”
 
Labda pale ufipa kale kaofisi ka chama ndiyo mgeuze ikulu yenu nani awape nchi matapeli ya kisiasa
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Kwa uandishi huu hauwezi kuwa CHADEMA. Hakuna mwanachadema mpumbavu, sema wewe ni CCM unaweweseka.
 
Back
Top Bottom