We bwana, wacha kurudisha watu nyuma, na kama walikosea so what? Why is it any of your busness? Watu zaidi hizi tunazungumzia future ya nchi yetu in terms of new constitution and change in NEC etc, wewe unarudi kwenye wagombea wenza; jamani how does this help? Walionitangulia wamekujibu vizuri; so if you wish, tusaidiane kwenda mbele na si kurudi nyuma. Kama kuna kasoro kwenye cmpaigns za CDM, waachie hao wapambana na challenges zao in future; plus wa CDM hawakuona kuwa hilo lilikuwa shortcoming, as the guy is capable politically. Mimi najua watu ambao hata shule hawajaenda na wanaongoza jamii kwa busara zaidi kuliko akina JK na group lake