Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,024
- 285,558
Ndugu Hamidu , Dr Slaa hachafuliki , utazeeka bure kwa kuchokonoa usiyoyaweza , wasira alijaribu alichoambulia ni uhakika wa kupoteza jimbo 2015 , nape hivi sasa yuko mtaa wa ufipa anapiga goti apokelewe cdm , sembuse wewe mjumbe wa nyumba 10 !