CHADEMA, kwanini Dr. Slaa hachukuliwi hatua?

Waulize kwa nini Mama Salma ana vyeo ccm baada ya kujipigia kampeni huko Lindi kwa kodi zetu na alimpigia kampeni mumewe uchaguzi wa 2010? JK KWANZA AWAJIBIKE KWA HILO.Nyani haoni -----_le

Pesa za CCM zile wewe, usifikiri ni kama MSHUMBUZI anayetumbua ruzuku ya chama kule JAPAN, ISRAEL, CANADA na UJERUMANI.
 
Wewe waliko kulaza unadhani kila mtu kalazwa huko we kama unamhitaji hamy-d mtumie pm akusaidie shida uliyonayo mama.

Mkuu, umemaliza. Huyu Mama ToTo sijui atakuwa ana shida gani?

Umempa ushauri mzuri sana!
 
kama hii ndio mipango ya CCM kutwa kucha.... sasa CCM imeishiwa kabisa, na nadhani ni Chama mfuuuuuuuuuuu

WanaJF!

Dhana hii ya kuwajibika na kuwajibishwa imekuwa ikielekezwa upande mmoja tu, nako ni CCM na serikali yake. Tena mara kwa mara mashinikizo yamekuwa yakitokea CHADEMA, kuwa serikali iwawajibishe viongozi wenye kasoro.

Lakini kama ilivyo ada, CHADEMA imesahau kwa makusudi kabisa katika kuwawajibisha viongozi wake hasa wale wenye muelekeo wa kukichafua chama.

Kwa mfululizo wa matukio haya yaliyo muandama Dr Slaa, kama CHADEMA kingekuwa chama makini basi kingemchukulia hatua Dr Slaa za kinidhamu kwa lengo la kulinda hadhi ya chama.

Mfululizo wa matukio yenyewe ni kama ifuatavyo;

1. TUHUMA YA KUKWAPUA MKE WA MTU. Hii tuhuma sio tu kwamba imemchafua Dr Slaa na Josephine, bali imechafua CHADEMA kwa kiasi kikubwa sana mbele ya jamii ya watu wenye heshima na wastaarabu.

2. TUHUMA YA KUMPA JOSEPHINE MAMLAKA NDANI YA CHADEMA. Hii pia imeshusha heshima ya CHADEMA kwani watanzania kwa sasa wanaona CHADEMA ni kama chama cha familia.

Haiwezekani mchumba wa katibu mkuu kupewa fedha za chama kwa ajili ya ziara za mikoani. Josephine ni nani mpaka akakague uhai wa chama mikoani?

3. TUHUMA YA KUJIKOPESHA FEDHA YA CHAMA. Hii tuhuma tangu imetolewa haijawahi kupatiwa maelezo, zaidi ya kupiga piga chenga. Hali iliyo pelekea CHADEMA kuonekana kama sio chama cha siasa bali ni 'saccoss' ya watu wachache.

Kwa tuhuma hizo na nyingine nyingi dhidi ya Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA, ingekuwa ni vyema kama chama kingechukua hatua za kinidhamu dhidi yake, hata kwa kumuondoa kwenye nafasi hiyo ili chama kiweze kurejesha hadhi yake kwenye jamii, ambayo kimsingi kwa sasa hadhi ya CHADEMA imeshuka sana kutokana na matukio haya ya aibu.
 
Kuwa na MKE ndio TATIZO? MBONA CCM inaoVIONGOZI kibao wenye hulka hizo na hawajajiuzulu?

Mfano ni Kiongozi wetu shupavu Mzee Rashid Kawawa alikuwa na wanawake sehemu Mbalimbali nchini lakini alikuwa anaimudu kazi yake ndani ya chama au serikalini vizuri sana

Mfano mwingine ni John Malecela alikutana na MBUNGE kijana Anna Kilango akatumia Uwezo wake na wako pamoja hiyo hauitki KUKWAPUA?

Mfano Mwingine Naibu Waziri Malima alipokuwa Guest Kisarawe... alikuwa na Mwanadada ambaye sio Mkewe unaona hiyo ni sawa?

Kama peza za CHADEMA zinakuuma --- kwanini za wana CCM walizobeba kupeleka USWISI hauziulizii? ni zaidi ya za SLAA
na zingeweza kukujengea GHOROFA la BARAFU...

big like mkuu
 
WanaJF!

Dhana hii ya kuwajibika na kuwajibishwa imekuwa ikielekezwa upande mmoja tu, nako ni CCM na serikali yake. Tena mara kwa mara mashinikizo yamekuwa yakitokea CHADEMA, kuwa serikali iwawajibishe viongozi wenye kasoro.

Lakini kama ilivyo ada, CHADEMA imesahau kwa makusudi kabisa katika kuwawajibisha viongozi wake hasa wale wenye muelekeo wa kukichafua chama.

Kwa mfululizo wa matukio haya yaliyo muandama Dr Slaa, kama CHADEMA kingekuwa chama makini basi kingemchukulia hatua Dr Slaa za kinidhamu kwa lengo la kulinda hadhi ya chama.

Mfululizo wa matukio yenyewe ni kama ifuatavyo;

1. TUHUMA YA KUKWAPUA MKE WA MTU. Hii tuhuma sio tu kwamba imemchafua Dr Slaa na Josephine, bali imechafua CHADEMA kwa kiasi kikubwa sana mbele ya jamii ya watu wenye heshima na wastaarabu.

2. TUHUMA YA KUMPA JOSEPHINE MAMLAKA NDANI YA CHADEMA. Hii pia imeshusha heshima ya CHADEMA kwani watanzania kwa sasa wanaona CHADEMA ni kama chama cha familia.

Haiwezekani mchumba wa katibu mkuu kupewa fedha za chama kwa ajili ya ziara za mikoani. Josephine ni nani mpaka akakague uhai wa chama mikoani?

3. TUHUMA YA KUJIKOPESHA FEDHA YA CHAMA. Hii tuhuma tangu imetolewa haijawahi kupatiwa maelezo, zaidi ya kupiga piga chenga. Hali iliyo pelekea CHADEMA kuonekana kama sio chama cha siasa bali ni 'saccoss' ya watu wachache.

Kwa tuhuma hizo na nyingine nyingi dhidi ya Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA, ingekuwa ni vyema kama chama kingechukua hatua za kinidhamu dhidi yake, hata kwa kumuondoa kwenye nafasi hiyo ili chama kiweze kurejesha hadhi yake kwenye jamii, ambayo kimsingi kwa sasa hadhi ya CHADEMA imeshuka sana kutokana na matukio haya ya aibu.

Unataka awajibishwe kwa TUHUMA zilizotolewa na Hamy dimpoz? Mtasubiri sana Meli airport huku Dr.Slaa na CHADEMA wakiendelea kuwabana mbavu hadi mjue kuwa Tanzania na rasilimali zake ni mali ya watanzania na sio ya wauza unga flani wanaopenda madaraka. Afu vipi mshawahi kufikiria kumwajibisha mwenyekiti wetu kuhusu alichoifanyia familia ya nguza kisa demu wa sinza..!? Anzeni na hilo kwanza
 
[h=2]JamiiForums Message[/h]You have been banned for the following reason:
Read Forum Rules - hamy-d= mwigulu / nape
Date the ban will be lifted: 10th July 2013, 12:00

WanaJF!

Dhana hii ya kuwajibika na kuwajibishwa imekuwa ikielekezwa upande mmoja tu, nako ni CCM na serikali yake. Tena mara kwa mara mashinikizo yamekuwa yakitokea CHADEMA, kuwa serikali iwawajibishe viongozi wenye kasoro.

Lakini kama ilivyo ada, CHADEMA imesahau kwa makusudi kabisa katika kuwawajibisha viongozi wake hasa wale wenye muelekeo wa kukichafua chama.

Kwa mfululizo wa matukio haya yaliyo muandama Dr Slaa, kama CHADEMA kingekuwa chama makini basi kingemchukulia hatua Dr Slaa za kinidhamu kwa lengo la kulinda hadhi ya chama.

Mfululizo wa matukio yenyewe ni kama ifuatavyo;

1. TUHUMA YA KUKWAPUA MKE WA MTU. Hii tuhuma sio tu kwamba imemchafua Dr Slaa na Josephine, bali imechafua CHADEMA kwa kiasi kikubwa sana mbele ya jamii ya watu wenye heshima na wastaarabu.

2. TUHUMA YA KUMPA JOSEPHINE MAMLAKA NDANI YA CHADEMA. Hii pia imeshusha heshima ya CHADEMA kwani watanzania kwa sasa wanaona CHADEMA ni kama chama cha familia.

Haiwezekani mchumba wa katibu mkuu kupewa fedha za chama kwa ajili ya ziara za mikoani. Josephine ni nani mpaka akakague uhai wa chama mikoani?

3. TUHUMA YA KUJIKOPESHA FEDHA YA CHAMA. Hii tuhuma tangu imetolewa haijawahi kupatiwa maelezo, zaidi ya kupiga piga chenga. Hali iliyo pelekea CHADEMA kuonekana kama sio chama cha siasa bali ni 'saccoss' ya watu wachache.

Kwa tuhuma hizo na nyingine nyingi dhidi ya Dr Slaa kama katibu mkuu wa CHADEMA, ingekuwa ni vyema kama chama kingechukua hatua za kinidhamu dhidi yake, hata kwa kumuondoa kwenye nafasi hiyo ili chama kiweze kurejesha hadhi yake kwenye jamii, ambayo kimsingi kwa sasa hadhi ya CHADEMA imeshuka sana kutokana na matukio haya ya aibu.

pumba tupu
 
Munaacha kulala munaandika ujinga. CCM inakubalika wapi kila siku maelfu ya watu wanakikimbia hadi watoto wenu wanawaza kukihama hata nyie munataka kukihama ila munaona aibu leo munajifanya kuona ya Slaa yakwenu ambako hakuna msafi hata mmoja
 
Ni ukweli usiopingika kuwa CDM haiwezi kumchukulia Slaa hatua yoyote ile kwa kuwa Slaa kwa CDM ni kama Mungu mtu.

Sasa kwa hali hiyo hata iweje, hawamfanyi lolote lile, ingawa katiba ya chama na maadili ya uongozi amevivunja.
 
Imefika wakati Chadema kujisafisha mbele ya jamii kuchukuwa maamuzi mazito.
SLAA na MBOWE wanaogopwa sana wewe. Mashujaa pekee wanaoweza kukabiliana nao ni wale wanaoamua kuondokana na utumwa na kuhama chama kama akina SHONZA, MWAMPAMBA na wengine.
Makubwa hayo.

Msameheni bure kwani hamjui kuwa mwenzenu alichelewa kuoa sababu alikuwa kazini?
Slaa ndani ya chadema ni hakimu na nimahakama kwa hiyo hakuna mtu wa kumgusa ila yeye akimwalia mtu lazima ataondoka.

mfano zito kwa sasa utadhani mkimbizi ndani ya chadema yote ni mpango wa slaa.
Lukolo,

Mishahara ya serikali? CHADEMA inatengenezeza hela zake yenyewe? wewe hujui kwamba serikali hiyo hiyo inatoa kiasi cha Tshs. 200 milion kila mwezi?

Ndio maana uwa mnakuwa wakali eti kwanini tunaongelea CDM, basi jibu umeshapata. CDM inapokea pesa za walipa kodi kwa namna ya ruzuku, mimi kama mlipa kodi nipo concern na huyo anaepewa pesa ya serikali.

Dr Slaa ni kiongozi wa kitaifa kwa sasa, mimi nina ndugu na jamaa ambao ni wanachama wa CDM lakini sauti zao haziwezi kusikika ingawa tuhuma dhidi ya Dr Slaa wamezisikia na wamekiri zinashusha hadhi ya chama. Kwanini mimi mwenye uwezo wa kuwika nisiwike kwa ajili yao?

Kama ulitaka ufanye siri basi ndio hivyo tena.
kwa uzoefu wangu , Laana kubwa ambayo Mungu hutoa kwa watu walioasi wito(MAPDRE, MASISTER, WACHUNGAJI, MASHEHE n.k) ni ngono kwa sana, kwa hiyo sishangai. Hebu angalia tangu SLAA aache upadre tayari kishakuwa na wanawake watatu(CECILIA PARESO, ROSE KAMILI na JOSEPHINE MSHUMBUZI), hao ni wanaojulikana.
Leta mada tuhangaike nao, kwa sasa mada iliyoko hewani ni ujangili wa SLAA lazima ujadiliwe.
Pesa za CCM zile wewe, usifikiri ni kama MSHUMBUZI anayetumbua ruzuku ya chama kule JAPAN, ISRAEL, CANADA na UJERUMANI.
Ni ukweli usiopingika kuwa CDM haiwezi kumchukulia Slaa hatua yoyote ile kwa kuwa Slaa kwa CDM ni kama Mungu mtu.

Sasa kwa hali hiyo hata iweje, hawamfanyi lolote lile, ingawa katiba ya chama na maadili ya uongozi amevivunja.
mkwara wa Nape umewakurupusha, hahahahahahaha!
jana mlilazwa njaa kwa kukosa buku 7.
 
HAMY-D bwana!
Dr. SLAA amechafuka siyo?!
Hivi unajua kwamba SALMA KIKWETE huwa anasomewa taarifa za maendeleo ya wilaya na mikoa?!
Pamoja na hilo sina uhakika kama Josephine anatumia hela ya CHADEMA bila utaratibu wa katiba ya chama!
CHADEMA siyo CCM kwamba ufisadi ni uti wa mgongo wa kuwepo kwake!
Ufisadi wa mali ya umma, fursa, vitisho na ubabaishaji!
 
Nashukuru xana kwa kuweka wazi kuwa yooote uliyo ya ainisha hapa ni TUHUMA tu, kwani ninahakika HAZIJA THIBITISHWA kuwa ndio UKWELI wa mambo ulivyo.
 
wewe kucha kutwa ubongo wako umejaa chadema. inaelekea hata wazazi wako ukiwasalimia unawaambia shikamoo chadema
 
Mchukulie kwanza hatu yule mbaka wanafunzi, ukimaliza hapo nenda kwa Lowassa kwa kuzaa na yule mkosa ubunge wa Arusha mjini, ukimaliza uende kwa Mwigulu kwa kuzini wakati ana mke wake, halafu husisahau kupitia kwa Sitta maana alinyanyasa yule mke wake wa ndoa mpaka mauti yanamfikia, halafu husisahau yule aliyetoka kufiwa na kajukuu kake mitaani kwetu. pia pitia kwa "theki yuu vere machi, muulize wale watoto babao ni nani pia muulize na mama yake na Nape atwambie nani baba wa Nape.. list ni ndefu ukishamaliza hao njoo kwa Dk Slaa.

Tuseme nini basi hebu weka ka break kidogo tusubiri wajibu kwani ukiendelea watakimbia!!!!!!
 
Kamsafishe baba yako na chama chenu ndo ugeukie upande wa pili wa shilingi
 
HAMY-D bwana!
Dr. SLAA amechafuka siyo?!
Hivi unajua kwamba SALMA KIKWETE huwa anasomewa taarifa za maendeleo ya wilaya na mikoa?!
Pamoja na hilo sina uhakika kama Josephine anatumia hela ya CHADEMA bila utaratibu wa katiba ya chama!
CHADEMA siyo CCM kwamba ufisadi ni uti wa mgongo wa kuwepo kwake!
Ufisadi wa mali ya umma, fursa, vitisho na ubabaishaji!

Siyo hivyo tu Salma akifika mkoa fulani ofisi zote kuanzia za mkuu wa mkoa huwa busy mpaka siku atakapoondoka. Ataenda kupokelewa na mkuu wa mkoa na wilaya na RPC na then kupewa taarifa mbalimbali. Nilifika siku moja pale Halmashauri ya Wilaya ya Hai nikawakuta watu wakilalamika kwani mkurugenzi alikuwa amekwenda KIA kumpokea huyu mama KIKWETE huku huduma zikisimama. Walisema yeye ni nani hata ujumbe mkubwa namna hiyo ukampokee na kutakiwa kumwandalia taarifa? Hawakuwa comfortabke kabisa.
 
Mkuu i advise you to go back to school ili ujue tofauti kati ya tuhuma na propaganda. una uhakika gani km kweli Josephine alikuwa anatumia gharama za chama kuzunguka mikoani? Mimi km kamanda nimewahi kuchangia moja ya ziara kwa kutoa gari langu binafsi na makamanda wengine wakatoa mafuta. Unaposema Josephine alikuwa anatumia hela za chema you are dull.
 
Back
Top Bottom