Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Mkuu hayo ni maneno ya mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Bwana William Malecela, si maneno yangu.Mkuu, sasa huu umbumbumbu wako unaeneza ili iweje?
Nani hajui kuwa Zitto ajatimiza kigezo cha umri kama ambavyo rasimu ya katiba imependekeza?
Vile hakuna pingamizi kutoka kwenye vyama vya siasa na kwengineko kuhusu mapendekezo ya umri wa kugombea urais.
Zitto sio target acha kujidanganya.
Kama ni umbumbumbu ni umbumbumbu wa kiongozi wa CCM na ameubandika kwenye website yake
Blogu ya Wananchi: THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA GETTING DOWN ON POLITICS!!.
Waliompa ujumbe mbumbumbu huyu wavumilie tu akipost umbumbumbu wake kwa niaba ya chama chake.
By Mtu wa Shamba![]()
![]()
Kwani ile operation chaos aliyotwambia kada wa CCM William Malecela (Le Mutuz) imekamilika? Au ndio hii inaendelea?
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Source: Blogu ya Wananchi: THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA GETTING DOWN ON POLITICS!!