Kaka Jambazi
Member
- Dec 23, 2012
- 99
- 7
Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.
Na wewe tutaliongeza jina lako kwenye yale majina ya Al-badir kama tunavomfanyia boss wa LUMUMBA!
Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.
Lakini mbona swali la kuwepo udini au la pale UDOM halijajibiwa? Badala yake anashambuliwa mtoa hoja?Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.
Kwa sisi tusio na vyama kiukweli hii CDM inatupa shida sana tena sana hasa ktk masuala haya ya dini ya Kiislam na mitazamo yao. Sehemu yyt ya kazi kiongozi wake akiwa Mwislam wanasema kuna udini ss je kwa hili CDM ina maana ni chama chat kabisa au kipo kutetea maslahi ya Wakristo tu? Bahati mbaya iliyoje members wake hapa Jf badala ya kujibu hoja wanakuja na matusi, dharau, kero ambazo hazijengi bali zinaharibu taswira nzima ya chama! Mfano mwingine halisi WANASEMA RAIS J.M KIKWETE MDINI ss maswali haya ukiwauliza sidhani kama utapata jibu zaidi ya kashfa: Maswali hayo ni:
1. Nini maana ya kusema mtu mdini?
2. Vigezo vipi vinavyothibitisha mtu ni mdini?
3. Ushahidi gani unaothibitisha mtuhumiwa ni mdini?
4. Je kama ni mdini na una concrete evidence kwa nn usimshtaki sehemu husika?
5. Kwa nini ofisi au nafasi anayoshika Mwislam tu ndo kuna udini na Si dini nyingine?
Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.
Kwa sasa, kwa bahati mbaya, tuhuma za udini zipo kila sehemu yenye mikusanyiko ya watu wenye dini tofauti, zipo katika kila chuo, zipo sekondari kama ilivyotokea kwenye sekondari ya Bagamoyo na pia zipo Shule za Msingi. Karibu vyuo vyote vya serikali mambo haya yanalalamikiwa lakini kunyooshea chuo kimoja, hapa ndio Selasini alipoleta tafsiri mbaya kwa jamii.
Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.
Huo aliotoa ndio msimamo wa CDM wala usihangaike kuwaza,hiki ni chama cha kikatoliki 100% usisahau MTEI waislam wengi kwenye tume ya katiba unadhani alikusudia nini?
Hapa watakushambulia kwa kejeli matusi na kashfa lakini jibu litapatikana 2015 mungu tupe uhai,
Freedom of speech
CCM haina tatizo la udini katika kusimamisha wagombea. walianza na nyerere (mkristo), wakaja na Mwinyi (muislam), akafuatia Mkapa (mkristo) na mwisho Kikwete (muislam). yaani huku wawili na kule wawili. hawa wote kumbuka ndio waliokuwa wenyeviti wa CCM. haya tueleze CHADEMA tangu kimeanzishwa ni muislam gani amewahi kuwa mwenyekiti au katibu mkuu wa chama?
Chadema wamejiweka pabaya sana kwa jamii ya Kiislam tasfri ya udini kwao mtu kuwa Muislam.