Ni muda wenu kujikanyaga yeye mleta mada kishafikisha ujumbe, mkipenda mmeze na mkipenda mteme.
udini umekujaa wewe pamoja na jamaa yako mleta mada.
mpuuzi na mbwege huonekana hata kwa mazungumzo yake tu na si kwa vitendo vyake pekee.
kweli nimekuwa nikiambiwa na watu wengi bila kuamini wayasemayo kuwa wale wana wa alkaba "dini ya upande wa pili" mara nyingi huwa ni akili kuambiwa na hivyo huzinyima fursa bongo zao kuwa na uwezo wa kupambanua na kufikiria mambo kwa kina.
Naanza kushawishika kuamini kuwa hawa jamaa " ukiwemo na wewe" kuwa, ni kichwa box tupu ambalo likivishwa bomu hubeba na kwenda kujilipua pasi hata kuonja faida ya jasho lake ktk kujitwisha bomu kwani hata yeye binafsi huyaonja mauti kwa kisingizio mufilisi cha kupata thawabu.
Kosa gani lililofanywa na waheshimiwa wabunge lema,msigwa, wenje pamoja na selasini kwa kulizungumzia tatizo kubwa linaloaanza kujitokeza la masuala ya udini ambalo kimsingi serikali yako ya ccm kupitia waziri wake mh. wasira inakiri uwepo wa masuala hayo ambayo kwa namna moja au nyingine nchi imekuwa ikishuhudia mauti kwa baadhi wa wananchi, viongozi wa dini na pia uchomaji wa makanisa.
Nani asiyejua uwepo wa mgogoro wa kuchinja baina ya dini mbili?
Au mwenzetu kufa kwa jirani yako kwako wewe ni send off?
Acha unafiki na chuki za udini uliokujaa kwa kupandiza chuki za kidini na kutaka kuwafanya viongozi wa kisiasa wasiyazungumzie masuala haya hata kama yanapelekwa ndivyo sivyo na baadhi ya wanajamii pamoja na viongozi wake wa ngazi na kada zote ktk nchi.
Uyafanyayo sasa ni ubwege mkubwa ulionao kichwani na unafaa kuitwa shetani mwenye ndimi saba.
wewe ni mtu hatari sana hufai hata kuendelea kupewa pumzi ulizonazo.
Na laiti kama mungu angekuwa mtu basi angeshahesabu idadi ya siku za pumzi yako ili kuondoa ghasia iliyokujaa moyoni mwako.
hufai hata kuitwa mtu kama ilivyo sasa.
shame on you, an imbecile person!!!