CHADEMA kuweni serious basi!

CHADEMA kuweni serious basi!

Tuheshimu uongozi uliopo hapo sasa unafeli,ni kweli hawanapesa ila wanaujuzi Kwa sasa chadema ndo chama Chenye ushawishi mkubwa tanzania
mkuu hawana ushawishi, ni afirmative action ambazo hazina tija, wana agitate vyombo vya dola waonekane active
 
Kuna wakati nawaza huenda jamaa anafurahi zaidi akiwa huko kuliko aibu ya nje.
Ndio, utamuona siku akitoka atatoa pozi mbalimbali za picha. Mwenzao ni zekomedi mamburula wapi serious. Ni huzuni kwa kweli🙉
 
Vurugu inaletwa na CCM na polisi siyo chadema Acha kujitoa ufahamu,maana wanapelekewa Moto wa siasa hadi wanashindwa kuvumilia
Brother think twice kuhusu moto unaouongelea je unaufahamu chanzo chake??? Unadhani LISSU au Maria Sarungi wanajali kuhusi katiba??? Kama unadhani hivyo jitafakari
 
Brother think twice kuhusu moto unaouongelea je unaufahamu chanzo chake??? Unadhani LISSU au Maria Sarungi wanajali kuhusi katiba??? Kama unadhani hivyo jitafakari
Kwani wanachopigania je ni kinyume na katiba?
 
Kuumizwa Lissu kwa risasi ni urafiki?
Vipi Mawazo wa kanda ya ziwa,ukiacha Ben Rabiu Saa8

Kuumizwa Lissu kwa risasi ni urafiki?
Vipi Mawazo wa kanda ya ziwa,ukiacha Ben Rabiu Saa8?
Kwa hiyo ndio apate haki ya kukinukisha! Mi nasemaje, mtu mmoja hawezi kuvuruga amani ya watu milioni 60. Ngoja ajitafakari huenda akitoka atajielewa.
 
Ukienda nao tofauti tegemea kutukanwa ,kama ni mfanyabishara wanawaambia watu wasusie bidhaa zako ...Jamaa wengi hamnazo wanapandikiza watu chuki kwa ujinga wao wa kuamini siasa.
 
Ukienda nao tofauti tegemea kutukanwa ,kama ni mfanyabishara wanawaambia watu wasusie bidhaa zako ...Jamaa wengi hamnazo wanapandikiza watu chuki kwa ujinga wao wa kuamini siasa.
🤣🤣🤣🤣 Tone Tone iligoma lawama zikaenda kwa Mtandao wa Simu... Wakatoa na muda au la wawaambie wafuasi wao wagomee mtandao

Ujinga wao bila kujua line zinatofautiana ukubwa wa kupokea na kutoa pesa
 
Mkuu... Kwa heshima yako kama siongelei usafiri wa viongozi hapa... Wao washalamba hadi posho zao kwa taarifa yako hao hawasafiri kama mzigo haupo mezani wanaolia ni sisi huku
Hivi kwenye kampeni mbona mlilalamika kuwa ruzuku/mapato ilikua haifiki majimboni na sasa mnalalamika kuwa hawa viongozi ndio wameleta haya.

Muwape muda viongozi wapya baada ya mwaka itakua rahisi ku assess uongozi wao. Ila miezi 3 pekee ni ngumu sana kutoa fair assessment. Let's be fair to them
 
Hakika.... Turudi hapa RAIS (sijui atakua nani) Akiwa naapishwa...
Acha aapishwe ila atakosa legitimacy...... maana tukishiriki tunaupa uchaguzi credibility. Hakuna haja ya kushiriki chaguzi na mshindi alishafahamika
 
Hivi kwenye kampeni mbona mlilalamika kuwa ruzuku/mapato ilikua haifiki majimboni na sasa mnalalamika kuwa hawa viongozi ndio wameleta haya.

Muwape muda viongozi wapya baada ya mwaka itakua rahisi ku assess uongozi wao. Ila miezi 3 pekee ni ngumu sana kutoa fair assessment. Let's be fair to them
Brother mimi sina shida na viongozi shida ni taasisi kiongozi ni binadamu na wala huna tofauti nae CHADEMA inapaswa kujiendesha kitaasisi na sio kutemea kiingozi.... Kiongozi afuate maono na mitazamo ya taasisi na sio yake binafsi
 
Back
Top Bottom