kombeo la daudi
Senior Member
- Apr 30, 2025
- 190
- 197
Aya ya kwanza umeanza kwa kujihami, ni Ishara ya kutojiamini. halafu kunakoendelea sio lazima nielewe, ila nitajitahidi nielewe.
Tate Mkuu unaheshimika sana JF, jiheshimu basi!Wewe bora ungeenda tu kuwa houseboy wa Mbowe badala ya kuishi maisha ya kutapatapa.
Anajali basi, long as wadhamini wake wanaendelea kumlipa hana habari.Uko sahihi mihemko ya kiuanaharakati ndo imekibomoa chama kwa kipindi hiki..... Na hii itamsumbua sana LISUU
Mkuu hakuna sehemu nimeeleza hilo..... Ila ntarudia kwako ukiona wewe mtoto wa masikini umeanza kufaidika kwa uanaharakati wa kuipinga dola kwa nchi yoyote ikiwemo hao mnaowaona wa mfano kwenu jua mauti yu nyuma yako.Kama ni kuteka na kuumiza watu ndo unaita "kubanwa angle moja" sawa 😎
Siasa chafu ndo unaizingumzia hapa 😎Mkuu hakuna sehemu nimeeleza hilo..... Ila ntarudia kwako ukiona wewe mtoto wa masikini umeanza kufaidika kwa uanaharakati wa kuipinga dola kwa nchi yoyote ikiwemo hao mnaowaona wa mfano kwenu jua mauti yu nyuma yako.
Mkuu... Kwa heshima yako kama siongelei usafiri wa viongozi hapa... Wao washalamba hadi posho zao kwa taarifa yako hao hawasafiri kama mzigo haupo mezani wanaolia ni sisi hukuLaki nane ulisikia wapi? Zile hard top kusafiri hadi mwanza hayo mafuta ni laki nane? Tuache kupotosha for cheap politics. Miaka yote jimbo ndio huandaa mikutano ila gharama za makao makuu ni kwa wale viongozi wao wanaokuja.
Move on mlishaondolewa kwenye uongozi acheni mabadiliko yachukue nafasi.
Tuheshimu uongozi uliopo hapo sasa unafeli,ni kweli hawanapesa ila wanaujuzi Kwa sasa chadema ndo chama Chenye ushawishi mkubwa tanzaniachadema wakae chini wabadili mikakati wabadili uongozi waanze upya, mnyika anapitia maisha magumu sana, mbowe arudi kwa wazee wautishe uchaguzi wapate viongozi wenye strategy
Viongozi wa CHADEMA wanalamishia wakamatwe, ndio staili yao wanajiona eti mashujaa. Any way, asingekamatwa unafikiri hela ya kuzunguka nchi nzima wanayo sasa🤣🤣Kama ni kuteka na kuumiza watu ndo unaita "kubanwa angle moja" sawa 😎
Rudia pia kusoma nilicho andika,, sitaki kueleza sana maana kama kuelewa utakuwa umeshaelewa.Soma tena na uelewe acha mihemko
Ushawishi mkubwa ni nini Mkuu? Sema CHADEMA wana wapiga jaramba mtandaoni. Wananchi wa kawaida wanawaogopa tu na makelele yaoTuheshimu uongozi uliopo hapo sasa unafeli,ni kweli hawanapesa ila Kwa sasa chadema ndo chama Chenye ushawishi mkubwa tanzania
Kuna wakati nawaza huenda jamaa anafurahi zaidi akiwa huko kuliko aibu ya nje.Viongozi wa CHADEMA wanalamishia wakamatwe, ndio staili yao wanajiona eti mashujaa. Any way, asingekamatwa unafikiri hela ya kuzunguka nchi nzima wanayo sasa🤣🤣
Mafanikio gani? Haina wanachama zaidi ya laki 1 tena wengi ni wale upande wa zanzibar.leo Zitto yuko na mafanikio
Chadema ni chama cha siasa ni taasisi ya kidemokrasia haina kikundi cha kigaidi kuitisha serikali. Hao PKK wana jeshi kabisa utalinganisha vipi na chadema?hawa wote hawakufanikiwa
Heche is here to stay na ndoo ataingiza chadema ikulukwa uongozi wa kishanba wa heche hamsjki popote
Kuumizwa Lissu kwa risasi ni urafiki?Upinzani sio uadui mkuu
Kwakee kuongea kwa ukali na mihemko ndo siasa acha panyeshe.... Itadumu kwa muda mfupi watageukana pia ni swala la muda tusiasa za Heche zilifanywa na magenge kama Black panther, black september, PKK, mafia group, wagner group, hawa wote hawakufanikiwa pamoja na uungwaji mkubwa kutoka makundi ya kijasisu.
Haya mambo Zitto aliwaambia Lissu akamtia fitina akamfukuza kwenye chama, leo Zitto yuko na mafanikio yuko suku na wako vizuri na hussain mwinyi, na mwakani anapata wabunge kutoka bara, covid19 wanatimkia act, G55nwanatimkia act.
kwa uongozi wa kishanba wa heche hamsjki popote