Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,381
- 7,448
NYIE ccm mlio serious mnaogopaje tume huru ya Uchaguzi?, Yaani mnaogopa kushindana kwa haki na chama ambacho hakipo serious ?, Chama amabcho hakina rasila fedha while ccm ina mabillion yakutosha!!.
Chadema ya Lissu na Heche ni imara kwa SIKU chache walizopo kuliko miaka 20+ ya mbowe amabaye amekuwa mkwamisha mabadiliko ya kweli ya Nchi!.
Mbowe amefanya nini toka amekuwa kiongozi wa chadema?, Ni kipi anaweza kujivunia mbelee ya wanachadema akasema jambo fulani amefanya yeye kama yeye zaidi ya kupigiwa debe na vijana wake wenye njaa!.