CHADEMA, kuweni makini na mtu huyu

CHADEMA, kuweni makini na mtu huyu

Yani hizi jitihada CCM wanazofanya kupambana na CHADEMA.....
wangezitumia kukabiliana na matatizo ya nchi hii, tungekuwa mbali sana!!!
ugumu wa maisha ingekuwa ni msamiati!!!
Kabisa!
 
Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.

Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini

Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.

Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.

Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.

Inkognito

Noted mkuu...
 
Nafikiri wahusika wameisoma hii taarifa japo kimya kimya...sasa ni muda wa kufanya action na kutafiti kama ni za kweli....na ikithibitika hivyo..piga chini huyu mamluki......
 
hadi hapo wameshafail,mabaya mtayaesma wenyewe kwa kudhurumiana hko,vihela mnavyopewa na kina Nape,zen mnakuja hapa mna act mnamapenzi na CDM KUMBE wanafiki wakubwa hamtafika mbali mtajitaja wenyewe haafu huku mkitulahisishia kazi yakufanya.
 
Kiongozi asante kwa taarifa, ni vyema kudumisha utamaduni huu wa kuwafichua mapandikizi ya magambaz. CHADEMA haina kulemba.
 
jimbo la kati wapi wewe? hii ni kanda ya kati kwa mujibu wa kanda kumi za cdm hapa tanzania
 
Namshangaa sana suzie,badala ya kuishambulia hoja yeye anamshambulia mtoa hoja na wote wenye mapenz mema na nchi hii,ni vema ukaelewa kuwa si kila anayechangia au kueleza au kutoa taarifa humu jamvini kwamba ni lazima aende ofisi za chadema,
 
Inkognito

Noted mkuu...

Tumaini Makene acheni kuendekeza hii tabia mkuu mnatudhalilisha wote jama, kwani hapa ndo pakupokelea taarifa za Chama? Unafikiri unajenga picha gani kati yako na anayeshutumiwa?huoni mtuhumiwa anaanza kujenga uhasama na HQ akiona watu kama nyie mmesapoti hizi allegations live? Punguzeni kulea haya masalia jamani mweeeh
 
Last edited by a moderator:
Hizi fitina zitaua chadema. Mnawavunja watu wenye bidii moyo namna hii.
 
Tumaini Makene acheni kuendekeza hii tabia mkuu mnatudhalilisha wote jama, kwani hapa ndo pakupokelea taarifa za Chama? Unafikiri unajenga picha gani kati yako na anayeshutumiwa?huoni mtuhumiwa anaanza kujenga uhasama na HQ akiona watu kama nyie mmesapoti hizi allegations live? Punguzeni kulea haya masalia jamani mweeeh

Perfect,
Huyu mleta tuhuma wajibu wake wa kwanza ni kujitambulisha yeye mwenyewe ni nani?
Majungu majungu haya hayafai.
 
Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.

Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini

Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.

Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.

Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.

asante kwa taarifa mkuu hope wahusika makene,mnyika na dr.slaa watalipa uzito wake.ccm wenyewe ndani ya moro wanazinguana mbaya mzeru kama amechanganyikiwa vile.chadema inabidi wajipange sana moro town
 
unaonaje kama huu ushauri wako ungeupeleka katika chama hapo morogoro? kwa hiyo humu jf ndo chadema? katika unakitakia mema chama kwa nn uogope kujulikana, ili chama kifanikiwe kuondoa hawa mamluki? kwa hapo naona wewe ndo mamluki na umelenga kupandikiza chuki
 
Namshangaa sana suzie,badala ya kuishambulia hoja yeye anamshambulia mtoa hoja na wote wenye mapenz mema na nchi hii,ni vema ukaelewa kuwa si kila anayechangia au kueleza au kutoa taarifa humu jamvini kwamba ni lazima aende ofisi za chadema,

Hujui kutofautisha hoja na umbeya au majungu? Hapa hatuko kujadili majungu tuko kuzikabili hoja. Kila mtu akija na fake ID za kina Tuntemeke na leo inkognito akamsema mtu mwingine bila evidence nasisi tukaanza kumshambulia unaona hapa tutakuwa tunajenga chama au tunabomoa. Nilimsapoti Ben na Mamuya sababu hawakuja kama kimvuli nathubutu kusema hakuna jasiri hapa JF kama wao, sio wewe unajificha alafu unaleta JF, peleka Kinondoni kule
 
Tumaini Makene acheni kuendekeza hii tabia mkuu mnatudhalilisha wote jama, kwani hapa ndo pakupokelea taarifa za Chama? Unafikiri unajenga picha gani kati yako na anayeshutumiwa?huoni mtuhumiwa anaanza kujenga uhasama na HQ akiona watu kama nyie mmesapoti hizi allegations live? Punguzeni kulea haya masalia jamani mweeeh

Alichofanya Tumaini Makene ni sehemu ya wajibu wake.Kama afisa habari ame Note hicho kilichozungumzwa ili kifanyiwe kazi,kuanza kumlaumu Makene kutatufanya tuamini kuwa hujafurahishwa na kitendo chake cha kunote na pengine ulitaka apuuze suala nyeti lenye maslahi kwa chama na wanaharakati wote wa kweli

Kuhusu kujitambulisha kwa mtoa mada nadhani sio hoja ya msingi,msingi wa hoja upo katika taarifa iliyotolewa,tusihame kwenye hoja kwa kuanza kujadili majina ya watu badala ya hoja

Kuwaita watoa mawazo na taarifa kuwa na mamluki ni njia tu ya kuipindisha hoja,nadhani suzie ningekuelewa iwapo ungekubaliana na makene,

Nakufahamu vizuri suzie,usitetee jambo hata kama lina ukweli kwa kukwepa changamoto zitakazojitokeza,mficha maradhi......
 
Last edited by a moderator:
cdm,kuweni makini sana,lisemwalo lipo km halipo linakuja!...
 
Huu upuuzi wa kila mtu kuleta jambo analohisi litatokea iwe kwa kuota, kuhisi, kunusa au kwa namna yoyote toka chadema limegeuzwa kiofisi kufanyikia hapa Jf?
Au ndo kusema vijana wa chadema wanapenda sana umbea?
Zilipita karne na hata dunia ichafuke haitatokea maji yakachanganyika na mafuta.. umeeleweka mkuu.
 
Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.

Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini

Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.

Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.

Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.

nashauri cdm tusidharau hoja yake bali tuombe atupatie taarifa kamili na pili tuifanyie utafiti taarifa hiyo ndipo tuje na majibu sahh? au hamjui baadhi ya mawakili ni usalama wa taifa wapo kulinda tabaka la watawala?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom