CHADEMA, kuweni makini na mtu huyu

CHADEMA, kuweni makini na mtu huyu

Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.

Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini

Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.

Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.

Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.
hii na yenyewe ni habari ama hoja ya kuletwa hapa jamvini????
pimeni kwa makini implication ya hoja kama hizi, nitashangaa sana kuona kiongozi yyte wa cdm aki-like hii post.
 
Tunashughulikia hilo...lakini niwahakikishie kwa moto huu wa CDM hata kama taarifa zingeenda kwa JK, hawauwezi huu!!
 
Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.

Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini

Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.

Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.

Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.

ukiangalia kwa upande mwingine, unaweza sema huyo Tarimo anahujumiwa. maana hapa ni Afisa usalama VS Adv Tarimo nani anaaminiwa hapa? Mimi niliwahi kuishi Morogoro pale kuna watu wana degree za fitina hasa kwenye siasa
 
Acheni kufanya mambo kwa hisia.
Tarimo amejitolea sana kwa chadema. By the way, Tarimo hana shida ya pesa ndogo ndogo...

Kibanga ampiga mkoloni kama hili hapa linatetea kila kitu ----- tu hili liko kazini posho hiyo
 
Nitakuja na ushahidi hapa jamvini siku si nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja yangu,nawashukuru wote wenye mitazamo tofauti na hoja iliyo mbele yetu,
 
Nitakuja na ushahidi hapa jamvini siku si nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja yangu,nawashukuru wote wenye mitazamo tofauti na hoja iliyo mbele yetu,

Ushahidi ndio ulipaswa kuwa kitu cha kwanza. Sasa hapa umeshamvunja adv. Tarimo moyo wa kukitumikia chama.
 
Alichofanya Tumaini Makene ni sehemu ya wajibu wake.Kama afisa habari ame Note hicho kilichozungumzwa ili kifanyiwe kazi,kuanza kumlaumu Makene kutatufanya tuamini kuwa hujafurahishwa na kitendo chake cha kunote na pengine ulitaka apuuze suala nyeti lenye maslahi kwa chama na wanaharakati wote wa kweli

Kuhusu kujitambulisha kwa mtoa mada nadhani sio hoja ya msingi,msingi wa hoja upo katika taarifa iliyotolewa,tusihame kwenye hoja kwa kuanza kujadili majina ya watu badala ya hoja

Kuwaita watoa mawazo na taarifa kuwa na mamluki ni njia tu ya kuipindisha hoja,nadhani suzie ningekuelewa iwapo ungekubaliana na makene,

Nakufahamu vizuri suzie,usitetee jambo hata kama lina ukweli kwa kukwepa changamoto zitakazojitokeza,mficha maradhi......

Ninachoweza kukujibu ni kwamba siku zote mambo ya ndani yanaishia ndani kupiga kelele barabarani haisaidii kutatua tatizo bali ni kulizidisha.
 
Nitakuja na ushahidi hapa jamvini siku si nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja yangu,nawashukuru wote wenye mitazamo tofauti na hoja iliyo mbele yetu,

Hata huo ushahidi hatuuhitaji hapa JF kwanini usipeleke ofisini kwao? huoni kama unazidisha tatizo badala ya kulipunguza au kulimaliza?
 
Majungu tu, Tarimo yuko mstari wa mbele katika CDM Morogoro. Mipango ya kuwabomoa makamanda wa CDM haiwezi kufanikiwa. CDM ina mtandao unaojitosheleza.
 
CDM ilianza na Mungu,inaenda na Mungu,na itamaliza na Mungu.magugu katikati ya mazao yatajulikana tu iwe anasingiziwa au ni kweli anatumiawa na CCM itajulikana tu hilo halina ubishi.
 
Ahsante kwa taarifa. Zitafanyiwa kazi. Sio za kubeza ngoja tumfuatilie.
 
Mbona alishajulikana zamani.
Hakuna usingizi CHADEMA kama unavyozania.Muda wake ulishahesabika zamani na mwenyewe anafahamu.TULIZENI BOLI VIJANA WANA CDM
 
Mchaga hawezi kuwa Masalia hata siku moja.Watakupigania hadi Toni la mwisho la damu Yao.
 
Unachonitatiza ni kimoja tu je hapa JF ndio ofisi za CDM? Hujajifunza kwa yaliyotokea? Sisi hapa ukileta habari za ndani ya chama humu jamvini tunakuona kama mnafiki maana sasa hapa unataarifu CDM au unataarifu na wabaya wake wajiweke tayyari. Hata siwaelewi nyie vijana na hii mitandao siku hizi

WanaCDM wengi wanaamini kwamba JF ni baraza la CHADEMA. Kwa hiyo huleta shida zao hapa bila kujali kwamba akina Ritz, Chama, Rejao na wengine wengi ni wanachama wa JF na siyo CDM. Yaani CDM isiposhughulikia hili suala la kulipuana kwenye mitandao, kutakuwa na chuki kila mahali. Lakini nashukuru kwa taarifa kwani na sisi tusiokuwa wanachama wa CDM tunapata ya ndani ya CDM kupitia JF.
 
Inkognito wewe ni mnafki tu na pengine unapenda kuwa usalama wa taifa. Kwahiyo stori yako yoooote umeona utaje na usalama wa taifa ili iaminike. We mseeeeeeeenge tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom