CHADEMA: Kuweni makini na jimbo la Segerea

Nimeshawaambia viongozi wa Chadema kama wanataka Bona Karuwa awe mbunge basi wamsimamishe na Makongoro.

Kwa sasa Makongoro hachaguliki Segerea wasituletee mambo ya kihanithi.

Cc: Molemo
 
Last edited by a moderator:
hii tetesi yako inaukakasi tusubiri taarifa maalum (official) kutoka ukawa/chadema.
 
Kama ni mtu wa Lowasa basi wasubiri Lowasa achukue nchi atampa ubunge wa kuteuliwa
 
Makongoro hawezi simama kwa nafasi ya chadema hakupitia kura za maoni wenzao waliwahi Ester Bulaya na Lembeli waliojidai wamechelewa
 
No research,no right to speak!
Kura za maoni jimbo la segerea zilishamalizika na
mgombea kupitia chadema yupo standby tena ni mwana mama!!!!! Sasa ninyi mnaosema ati makongoro
mahanga atagombea ubunge jimbo la segerea tupieni facts zenu hapa!!
 
Wakimpitisha makongoro jimbo linapotea kabla ya uchaguzi na madiwani tunakosa jimbo lote.... wasituleteee uhuni....aliyepita ni kamanda dada anatropia katibu wa jimbo sasa kuna fitina zinafanywa na mwenyekiti na viongozi wengine wa jimbo wameahidiwa milions of money na makongoro wampitishe yy kwa kisingizio cha kwambq uchaguzi wa awali aukufuata vigezo
 
Kweli kama kuna mtu anaweza kufikisha ujumbe uende haraka sana mahanga ni big no segerea hata aje na chama gani hapana hapana hapana kabisa
 
Back
Top Bottom