Habari ambazo sijazidhibitisha ni kwamba mnataka kumsimamisha Makongoro Mahanga kugombea jimbo la Segerea nawapa taadhari huyu mtu hatumtaki na hatashinda so kuweni makini na uteuzi,mwaka 2010 pamoja na kuchakachua matokeo bado alisema kashinda kwa nguvu ya hela zake hicho kitu kimewakaa watu moyoni mpaka leo hivyo msijaribu kumrudisha jimbo litapotea