ni vizuri pia makamanda wetu wakatuambia ni lini watawaondoa mafisadi waliopokelewa wakaua ajenda ya chama na sasa chadema haina mwelekeo. haijulikani inasimamia nini kwa sababu imepoka sera ya kusafisha mafisadi.Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinatarajia kuanza mikutano ya hadhara na ya ndani nchi nzima ili kujenga na kuinua uhai wake kuanzia juni mwaka huu.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Daktari Vicent Mashinji alipoongea na waandishi wa habari jiji Dar es salaam.
Chanzo - Mwananchi .
WITO - ni vema CHADEMA ikatumia mikutano hiyo Kuanika ukweli wote kuhusiana na sakata la sukari .
Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki UKAWA .
Mfate canada ukale naye hongo aliyopewa na CCM.HASHITUI WALA HAIVUTII-- BILA SLAA MMMMM
Mbna mpaka leo magufuli anafanya kampain?Hivi ile sheria ya kuweka ukomo wa shughuli za kisiasa bado haijatungwa tu?
Imekuchosha mwenyewe. Hebu jiongelee wewe usisemee wengine.To be Honest...CHADEMA ishatuchosha
Wakija tutawapigia deki barabara na kama kawaida magu akija lazima akutane na oooooooooooh za kutosha kama alizokuwa anakutananazo kipind cha kmpain.Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Watz sio wajinga ndyo maana wengi hawakuipigia CCM kura kama unabisha kamuulize lubuva.CHADEMA Kuna wafuasi wa mzee mamvi(Ulipo Tupo).,Kuna waliokuwa wafuasi wa Dk.Slaa na Sera za kupinga mafisadi (wengi wamehama),na Kuna wanaopinga CCM tu bila hoja maalum(50/50),na Kuna wanaompinga JPM kwasababu binafsi za ukabila,dini etc.. Ukijumlisha na kutoa Kwa awamu hii ya tano,idadi ni ndogo sana,kumbuka CCM ilipata kura nyingi na wabunge kutoka sehemu za watu wa hali ya chini.., Kwa kukosa Sera mpaka kuongelea Sukari suala lililoanza march katikati.,waangalie wasipigwe mawe na wananchi wenye hasira.. Zamu hii hawazungushi mikono tena., subiri uone kama kutakuwa na mafuriko tena,waTZ sio wajinga.. Don't under estimate them!!
Kwa mfano ni kijiji gani unachokifahamu wewe ambacho kimepelekewa dawa kwa sababu majipu yametumbuliwa ?Kuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Unaogopa nini wakati miezi 6 imeisha kukiwa hakuna lolote ?Chadema niwaombe mvute subira kufanya mikutano ya hadhara. Ya ndani fanyeni. Hiyo ya nje anzeni mwakani mwezi wa 6.
tupo wengi mi mwemyewe imenichoshaImekuchosha mwenyewe. Hebu jiongelee wewe usisemee wengine.
Wangapi?tupo wengi mi mwemyewe imenichosha
12,643,896,698,436,523,623,023Wangapi?
Acha kubwabwaja hapa Magu mwenyewe ni jipuKuna sehemu vijijini wakienda watapigwa mawe.. Watu wana hasira dawa hazifiki,ela za maendeleo zimekuwa zikiliwa na wachache,.. JPM kaanza kutumbua majipu wanasimama bila aibu wakiongozwa na mzee wao mamvi,Lissu na wengine wanatetea majipu,Huo ndo upinzani?.. Watu hawadanganyiki tena,ndo maana mamvi alisema Upinzani ukishindwa 2015 itawachukua miaka 50 kuchukua nchi.. UKAWA bye bye
Jipu ni fisadi EL najua wazungusha mikono a.k.a nyumbu bado mna imani nalo., lenyewe limeshasanda na mwisho wa Siku mtabaki 2% nchi nzima,watu wameshawashtukia na zigo lenu hilo[emoji2] [emoji3]Acha kubwabwaja hapa Magu mwenyewe ni jipu