Bendera ya Bati
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 279
- 363
Nimependa sana hicho Kiswahili; TETESI halafu tena hapohapo ni UHAKIKA, jitahidi sana!!!!!!!
Hahahahaha,KWELI UWEZO UNAO!!!!!!!!!!!!!
Nimependa sana hicho Kiswahili; TETESI halafu tena hapohapo ni UHAKIKA, jitahidi sana!!!!!!!
mbona mlipokea shibudaHata kama wanasema hawamkatai mtu yeyote kujiunga na CDM, lakini kwa kuwaruhusu Lowassa, 'Vijisenti' na Rostam ni kukiua chama.
Mwambie akapost twiter au facebookAcha mzaha mkuu...kwenye hii forum tunategemea watu wenye umakini wasio na mzaha,nakushauri kama una thread si lazima upost hapa JF..hata kusoma thread na post za wenzako ni heri pia..........
Shibuda ni inoccenti we unafikir isingekua msafi angepokelewa?mbona mlipokea shibuda
wajiunge cdm?ushindwe! Na ulegee! Hao mapacha watatu(r.a,cheng,e.r) nawashauri waanzishe bourgeoisie party,wampe ft karamag.tutawaenz kama waasisi wa hicho chama.
chama sio chako leonard na kina katiba wewe ni nani?!!!!!!!!
itakuwa ndo kiama cha nchi hii, ccm hakurudki na chadema kutakuwa hakukaliki, dawa itakuwa ni kuwapiga mawe slaa na mbowe popote pale tutakapowaona. Km hawaamini wajaribu kucheza na akili na za watanzania haiwezekani cc tunajitotelea kwa hali na mali katika kuleta ukombozi halisi halafu wao watuletee upuuzi, hapa nimepandwa na hasira kwa ki2 nanachojua si kweli je ingekuwa kweli?
kuna kila dalili kuwa cdm damu moja na mapacha watatu kuthibitisha hilo someni tanzania daima ya leoKuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?
haiweztokea CDM wakawapokea MAFSADKuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?
kuna kila dalili kuwa cdm na mapacha watatu ni damu kuna makala zaidi ya tatu kwenye gazeti la leo nia na maudhui ya hizo makala ni kuwatetea mapacha watatuHakuna ubishi wowote kuwa CCM wameazisha mkakati wa kupangua hoja hapa jukwaani. Isisumbue wajadilifu wanapoona hoja zimekaa kiaina. Wasameheni, wapuuzeni na tusonge mbele tukomboe taifa letu.