CHADEMA kuwapokea Lowassa, Rostam Aziz na Chenge

1. wewe unayewaambia wenzako kuwa wametumwa,yaelekea wewe huwa unatumwa humu ndani kwa ajili ya umbea tu.....acha ujinga huo.
2. hata wakija CDM ni vyema na ni haki yao ya kikatiba,but ni lazima watubu kwanza hadharani na kwa Mungu, kwa dhambi yao ya kubaka uchumi wetu.


Tarehe ya kujiunga.......29/04/2011....
 
Hilo likitokea hasira zangu zote nitazihamishia kwa SLAH na MBOWE.
Likitokea hilo utakuwa unafki mkubwa sana kwani CHADEMA ndiyo kimewafikisha hawa jamaa kwenye kutolewa kwao kama magamba.
Itaonekana wahuni wanachukiwa tu pale wanapokuwa nje ya CHADEMA.
Hawa wahuni hata watubu mara milioni sitawasamehe.
 
wakija chadema itakufa kifo cha mende, sema hii kitu haiwezi kutokea na ikitokea mimi najifuta JF
 
ila mtu akikosea jamani si anashtakiwa , kama akiwa proved guilt si anatumikia kifungo, then kama ccm waliona yupo safi, then chadema walimwita fisadi, so the best way nawashauri chadema kama kutunza uaminifu kwa wananchi wanao waamini kwa kiasi cha sailimia 30, then wawapokee na kuwapeleka mahakamani haaaaaaaa! i like to see that.....
 
lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. tunachotakiwa wanajamii kuwapa viongozi wetu wa chadema msimamo wetu iwapo wakitusali na kuwapokea hawa mafisadi wajue na mwisho utakuwa kabla ya ccm.

lisikushangaze kama mawakili wanawateteya mafisadi kwa kisingizio cha taluma zao hilo litashindikana?
 
Kuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?

Mods,

Reputation ya JF iko mikononi mwenu.Mko makini sana kuondoa mada nyingine za muhimu lakini mnaacha TETSI zisizo na vichwa wala miguu zikitawala hapa.Kwanini msiimrishe section ya TETESI badala ya kujaza Jukwaa la Siasa na News Alerts feki na crazy speculations zisizo na any supporting evidence?

Hii ishu ya mafisadi kuhamia Chadema ni sehemu tu ya mkakati wa kukichafua Chama hicho kionekane kuwa kipo desperate na majina badala ya wasifu wa viongozi.Any sane person would understand kwamba tuhuma za CCM kuwa Lowassa,et al ni magamba ZILIANZIA CHADEMA.Licha ya CCM kuzikanusha awali,Chadema imeendelea na msimamo huo hadi kesho.
 
Kuna tetesi kuwa baada ya kupewa barua zao Lowasa, Rostam na Chenge watapokelewa CHADEMA. Je kama ni kweli hizi tetesi wanajamii, huu si utakuwa usaliti tunaofanyiwa na hawa watu ambao sisi ndio tumewafikisha hapo walipo?

Naamini CDM inaongozwa na watu makini so this cannot be possible.Ila inasemekana kwamba CCM na CDM ni watoto wa baba mmoja and they have the same agenda.Kama hii ni kweli, than it is possible.
 
Naamini CDM inaongozwa na watu makini so this cannot be possible.Ila inasemekana kwamba CCM na CDM ni watoto wa baba mmoja and they have the same agenda.Kama hii ni kweli, than it is possible.
a
ni ukweli kabisa they have sama agenda uthibitisho ni gaZeti la leo tanzania daima
 
mbona uhakika wa Chenge, Lowasa na Rostum kufikishwa mahakani hamuongelei maana kuhamia chadema ata kuhamia hukutasaidia kuokoa wao kwenu lupango
 
mwanaone acha majungu,lakini tuseme ukweli,mmoja kwamba kama serikali ya ccm itawatosa RACHEL bila kuwafungulia mashtaka watakuwa wamejimaliza wenyewe na itawacost sana.lakini lililodhahiri ni kwamba hao wote uliowataja hawawezi kuhamia CHADEMA .
Kupewa barua na kufunzwa ccm ni adhabu nashauri kama wakija cdm tuwapokee kama watakuwa wametubu
Si waanzishe chama chao!! Wasije huku, pesA za c**fu hatuzitaki.
Tukiwapokea tuwapokee kama wanachama na sio kwa ajili ya pesa zao
Itakuwa ndo kiama cha nchi hii, ccm hakurudki na chadema kutakuwa hakukaliki, Dawa itakuwa ni kuwapiga mawe slaa na mbowe popote pale tutakapowaona. Km hawaamini wajaribu kucheza na akili na za watanzania haiwezekani cc tunajitotelea kwa hali na mali katika kuleta ukombozi halisi halafu wao watuletee upuuzi, Hapa nimepandwa na hasira kwa ki2 nanachojua si kweli je ingekuwa kweli?
Punguza hasira anaye tubu msamehe, anayetenda kosa katika nchi anafungwa/pewa adhabu tukiamini ile ni adhabu na itam-badilisha tabia
kama wakitubu tusiwakatae. tatizo la ccm si RACHEL ila mfumo wa kifisadi walio nao. RACHEL wakija chadema bado wanaweza kufit ni sawa na kumfuga simba hawezi kuwinda swala tena.
Tupo pamoja
Chadema haiwahitaji Lowassa, Chenge wala Rostam na kunaonekana wazi kwamba kuingia kwa haya majambazi ya ccm ni kuuliwa kwa wananchi Tanzania na kufa kwa Chadema. Ushahuri mzuri kwa hawa mafisadi ni kuanzisha chama chao na kutoa watu umo umo ccm. Chadema we don't care what's ccm are doing. Let them kill themselves for the best of the country.
Punguza hasira
1. wewe unayewaambia wenzako kuwa wametumwa,yaelekea wewe huwa unatumwa humu ndani kwa ajili ya umbea tu.....acha ujinga huo.
2. hata wakija CDM ni vyema na ni haki yao ya kikatiba,but ni lazima watubu kwanza hadharani na kwa Mungu, kwa dhambi yao ya kubaka uchumi wetu.
Wote mnalengo moja hamuhitaji kupeana maneno ya kijeli na dharau ila mpeane ukweli
Wajiunge cdm?Ushindwe! na ulegee! Hao mapacha watatu(r.a,cheng,e.r) nawashauri waanzishe Bourgeoisie party,wampe ft karamag.tutawaenz kama waasisi wa hicho chama.
Haaa haaaa haaaa
 
Hivi mtu kama akitubu akaamua kurudi kundini na kuwa mwaminif kwa nini asikubariwe? Biblia inasema Makahaba na watenda dhambi wengine watatutangulia kuingia mbinguni. Hebu kumbukeni yule mama aliyekamatwa anazini wakampeleka kwa Yesu ili wapate kibali cha kumpiga mawe? Kilitokea nini?........ Watubu mbele ya Umma halafu waje CDM.
 
hilo ndio la kujiuliza. na kama ni kweli kwa kweli mimi nitajitoa ktk kushabikia chama chochote cha siasa kwani huu itakuwa ni usaliti mkubwa.

Ahaa kumbe we ni shabiki! Nilidhani we ni mwanachama! Kashabikie cha Dovutwa au Chamtikila, cdm ni kisima cha machipuko ya fikra mpya za ukombozi wa tz!!! Umetumwa upime upepo! Haya rudisha ripoti!!
 
Chadema haiitaji mafisadi na haiwezi kutenda kosa kubwa la kupokea mafisadi kwani viongozi wake ni wasikivu. Chadema hakiwezi kuwafichua wezi halafu kiwakumbatie.
 
Teh teh teh, Leo CCM wanahaha wanaomba kuchwa Vyama Vya Upinzania vivae Magamba yeke ha ha haaaaaa
 
Nalikumbuka shairi hili la Lowasa,aliloghani bungeni mwaka 2006.Tupo tumejaa tele, viongozi mashujaa,Tupo mstari wa mbele, vyema tumejiandaa,Twatenda bila kilele, katu hatukuzubaa,Tupo tumejaa tele.Tupo tulio adilifu, tuso doa wala toa,Tusoyapenda machafu, matendo yaso murua,Twakemeya uhalifu,ufisadi na hadaa,Tupo tumejaa tele.Tupo tupendao watu, kwa huba na kuwajali,Tunaothamini utu, na kupinga idhalali,Dhuluma ni mwiko kwetu, haki hushinda batili,Tupo tumejaa tele.Tupo tulo waungwana, viongozi majasiri,Wenye mipango mwanana, iliyopangwa vizuri,Yenye tija na maana, ya fursa kwa mafakiriTupo tumejaa tele.
 
Chadema haiitaji mafisadi na haiwezi kutenda kosa kubwa la kupokea mafisadi kwani viongozi wake ni wasikivu. Chadema hakiwezi kuwafichua wezi halafu kiwakumbatie.
Tuwe makini siasa ni ngumu
 
Hivi RA yupo? Sijamsikia au ndio amehamisha deal zake Costa Rica? Namsubiria uchaguzi wa Kenya mwaka huuu
 
Back
Top Bottom