Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,976
- 32,379
Last edited by a moderator:
Acheni kuwahadaa wananchi yaani ruzuku ya chama mikoani imesitishwaa kwa ukosefu wa fedha leo unasema unahelcopter4.watanzania watakuja kugundua huo upuuzi watawasusa.
wananchi wanahitaji Elimu kwanza ya kusimamia rasilimali zao na sio vimiradi vya wizi kama serikali ya ccm inavyowafanyia kwa miaka 50Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.
CDM wana trilioni ngapi kwenye bank za uswisi?Mkuu Katavi, Chadema wanasema wao wanakuja kuwakomboa watanzania sababu CCM ni mafisadi sasa Chadema wakifanya mambo yao halafu wanatafuta CCM mbona wamefanya hivi ili wao wapate excuse kutakuwa hakuna tofauti yoyote kati ya CCM na Chadema.
Since day one kabla ya kuchangisha pesa hizi iliwekwa wazi matumizi yake na hichi kinachofanyika ndicho kilichokusudiwa.Am sorry to say that this seems too much spending, investing where no tangible and visible return. M4C haina tofauti na mwenge! Both share common goal, leaving alone things such as fraud...
M4C ibadili approach, nashauri ilenge kuanzisha na kuendeleza miradi ya maendeleo ili kuwaonesha wananchi kuwa CDM wanaweza, kwa kupitia hiyo hiyo michango ya wananchi. Hii itatusaidia kuona udhaifu dhahiri wa CCM.
Ila kama CDM itaenda na mwendo huu huu, wananchi hawataona tofauti kati yake na CCM... at the end of the day M4C will seem mwenge "B"
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA sasa wanaongeza idadi ya matumizi ya helkopta hadi nne na idadi ya magari kwa ajiri ya kampeni ya Sangara maalufu kama M4C ili kufika sehemu zote ambako miundo mbinu ni dhaifu.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA sasa wanaongeza idadi ya matumizi ya helkopta hadi nne na idadi ya magari kwa ajiri ya kampeni ya Sangara maalufu kama M4C ili kufika sehemu zote ambako miundo mbinu ni dhaifu.
wananchi wanahitaji Elimu kwanza ya kusimamia rasilimali zao na sio vimiradi vya wizi kama serikali ya ccm inavyowafanyia kwa miaka 50
Mkuu Katavi, Chadema wanasema wao wanakuja kuwakomboa watanzania sababu CCM ni mafisadi sasa Chadema wakifanya mambo yao halafu wanatafuta CCM mbona wamefanya hivi ili wao wapate excuse kutakuwa hakuna tofauti yoyote kati ya CCM na Chadema.
Elimu gani ambayo inaitaji helkopta? kuna vyombo vya habari kama TV Chadema wanaweza kununua airtime kila mwezi wakatoa hiyo elimu ikawafikia watanzania wote kuliko kuruka na helkopta ambayo ni gharama kubwa kwa chama kichanga kama Chadema.
Since day one kabla ya kuchangisha pesa hizi iliwekwa wazi matumizi yake na hichi kinachofanyika ndicho kilichokusudiwa.
Kusudio hili ni kukiwezesha chama kuwafikia watanzania wote mpaka wa vijijini na wale waliopo kwenye miundominu migumu.
Watanzania wakiwa wajinga wasiojua umuhimu wa mabadiliko wataendelea kuwa mtaji wa CCM.
Kila pesa inayochangwa itatumika kwa kusudio husika, na kila mchangiaji anajua kusudio la mchango wake kabla hata hajachanga pesa yake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
TV?????? Kweli Ritz unadharau kupitiliza!!!!! yani mwananchi anayeishi kwenye mbavu za mbwa unamuulizia TV? kwanza hajui atakula nini!!! barabara za kupita hamna. mbunge wakae hajawahi kumuona halafu unasema CDM itengeneze vipindi vya Redio na TV wakati Helkopta ni tangazo tosha kuwakusanya hebu acheni ujinga mwaka huu mtalia sanaElimu gani ambayo inaitaji helkopta? kuna vyombo vya habari kama TV Chadema wanaweza kununua airtime kila mwezi wakatoa hiyo elimu ikawafikia watanzania wote kuliko kuruka na helkopta ambayo ni gharama kubwa kwa chama kichanga kama Chadema.
mimi ni mmoja wa wachangiaji wa M4C,nataka pesa zangu zitumike kusambaza elimu ya uraia ikiwemo na kukodi hizo choper.kazi ya kujenga visima na barabara ni kazi ya serikali maana tunalipa kodi zetu kwa ajili yake.kawashauli hao magamba wezanko wawe na matumizi mazuri na raslimali zetu,mambo ya Chadema tuachie sisi.Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.
Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.
Anhaa... Ni sawa vyema na haki, ila my opinion is, ibadilike! Through kufanya hiyo miradi kama nilivyopendekeza, itasaidia sana pia ku-raise awareness. Helkopta nne ni matumizi makubwa sana, ambapo fedha hizo zingeweza kufanya kitu mbadala, through cost cutting, ambacho ni cha manufaa ya moja kwa moja kwa wananchi.
Filipo,
Kujenga visima vya maji kujenga madarasa ni elimu tosha kwa raia kuliko kuruka na helkpota.