Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Pro-Chadema bana wanakubalia kila kitu kinachowafurahi hata kama ni udaku...
Mkuu naomba uondoke kwenye hii thread umesha ni sababishia ban zaidi ya Mara tano nipo chini ya miguu yako please!!!! Ingia mitini haraka iwezekanavyo Kama ilivyokuwa uchaguzi wa Arumeru