CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

Kuna contradiction kiasi fulani juu ya lema kugombea ubunge hata kama hajafungiwa miaka mitano,lema usikate rufaa kama ulivyoahidi kwani wananchi wa A city tutasugua benchi kinoma.Wakati unafight against hii hukumu ktk kipengele ambacho hata ivo c jinai tunaomba Dr wilbrod slaa aje 2mpe ushindi wa hasira zetu dhidi ya ccm 2kae nae miaka mitatu alafu kamanda urudi 2015.mimi ni liverpool..na pia ni lema Partisan.LEMA..U WILL NEVER WALK ALONE KAMANDA.
 
Yule jaji kituo chake ni Sumbawanga mkoa wa Rukwa,
kuna rafiki yangu ni HAKIMU ARUSHA kaniambia kuwa jaji kituo chake cha kazi ni RUVUMA SONGEA na sio kweli kuwa anakimbia ARUSHA baada ya hukumu ya LEMA na kuwa anahofia maisha yake
 
Kinachonishangaza ni ccm kulitaka hili jimbo by any means sijajua lina nini hasa, wanashindwa kusoma hata alama za nyakati kuwa hawakubaliki hata kwa punje wakikataa kuamini uchaguzi ukirudiwa ndo watadhihirishiwa na hata kama wataendelea na michezo yao michafu

Wellsaid mkuu.wamsimamishe Tendwa au Kiravu!
 
Toa ushuzi wako hapa,rufaa kwa manufaa ya nani?ama umepitwa na wakati kwamba kiongozi bora atatokana na wananchi wenyewe na si kupitia mahakama?

Lema aliwekwa na wananchi na hukohuko kwa wananchi atarudi kuwauliza kama wameridhika na mahakama za CCM ama watoe maamuzi yao kwa wamtakae ambayo yataheshimika ulimwengu mzima.Mahakama zenu hukohuko kwenu ,sawa??hapa ni uchaguzi tu acheni ilambe kwenu na tayari ishakula tena bora mkamwombe Lema msamaha vinginevyo mtajifanya wajanja mtapoteza nguvu zenu nyingi na bado daima mtaendelea kuwa wapinzani Arusha

Wana wa Arusha wanawasubiri kwenye sanduku la kura ili wale tuela twenu na kura kwa Lema,pelekeni hizo pesa si mnajifanya mnazo?na mie nakuja kupata walau hiyo ya bure kisha tuendelee kuwafutilia mbali


Tunataka Arusha-Moshi iwe free zone
 
Lema asipokata rufaa watamfungulia kesi ya udhalilishaji.

Ikiwa Batilda atafungua kesi ya udhalilishaji atamfungulia Lema na sio CHADEMA. Yesu aliteswa na kuuliwa ili awakomboe wanadamu kutoka dhambi ya asili (kama wakristo wanavyoamini) na Lema atafanya hivyo kwa chama chake na wananchi wa Arusha. Lema na CDM wasikate rufaa mahakamani bali wakate rufaa kwa wananchi ambao haki yao imenyakuliwa na mahakama. Na ushindi wa CDM Arusha katika uchaguzi wa marudio utaiweka CCM katika jeneza tayari kwa mazishi yake 2015. Kama CCM wnadhani hii ni wishful thinking wasubiri waone.
 
...confirmed, jaji amechezewa mchezo mchafu. Nimeongea na kiongozi mmoja wa ngazi ya juu wanadai hawatamlipa jaji.
 
Mods plz mtendeeni haki hayati mwalimu Nyerere!
Post za kipumbavu kama hzi ni matusi na dharau kwa mwalimu.
Kumlinganisha Lema na mwalimu,huku mwalimu akiwa hana fursa ya kujibu si tu ni kutumia uhuru wa jf vibaya,bali ni KUKOSA ADABU!
Foolish mtoa mada...
Nakuunga mkono Mkuu.
 
mtenga hoja nimemkubali ameleta,mawazo mazuri kwa jinsi ninavyoona ,ila ni mwombe tu kwamba asiogope chadema arusha ukiitishwa uchaguzi baada ya siku tisini kuisha cdm itashinda,ccm hawana afya wanautapia mlo wa kisiasa hawana mvuto tena kwa wananchi wanatapatapa.subiri watakavyo anza kugombana kwenye kura za maoni kumtafuta mgombea ndani ya chama chao ,kwa kuangalia lipi gamba zuri angalau likagombee arusha .chadema ,wanachadema na wananchi wapenda maendeleo neno langu ni hili kwenu nyote .nawasihii msikate tamaa giza huwa nene zaidi kabla ya mapambazuko leo hii tumzungukwa na giza nene baada ya hukumu ya mahakama ,lakini naamini kabisa kwamba kutapambazuka .hatuna budi kwaamini kwamba njia ya kutupatia haki itapatikana kamanda lema atarudi kupambana tu.Namwomba Lema ajivike ushujaa zaidi kumtumaini mungu kama Dr King martin Luthera aliyesema hivi baada ya vitisho vilivyomkabili wakati wa kupigania haki za watu weusi huko marekani.baba nipo hapo hapa ninajaribu kupigania haki ,lakini sasa ninaogopa .watu wangu wanataka niwaongoze ,lakini nikisimama mbele yao bila nguvu na bila ushupavu ,nao pia watasitasita.nimeishiwa na nguvu.siwezi kuendelea peke yangu.
 
Si walifanya makusui basi na sisi tufanye makusudi yale yale. Nataka CCMwaje Arusha wahukumiwe na wananchi kwa kuendekeza ujinga wao.

Hapana, wao wamefanya makosa, Chadema lazima wayarekebishe. Hii hukumu ni mbaya na isiyokubalika kwa hali yoyote ile. Na inamadhara makubwa kwa demokrasia ya nchi yetu. Kurekebisha hili Chadema wakate rufaa.
 
Katika maisha ya kiroho hasa kwa dini za Rwakibalira, usipende kuwafanya watu wakuongelee. Maneno ya watu ni uchawi tosheleza. Umewahi ona akina mama wakimsingizia binti mzuri na mwaminifu mtaani kwenu, kwamba huyu hata mwaka hauishi lazima awe na mimba na ikatokea? Au huyu binti hataolewa ng'o, na kweli ikatokea? Haijalishi hao watu ni wacha Mungu au shetani, lakini maneno yao huwa sumu. Kuna kifungu nimekisahau kipo agano la kale, ambapo watu fulani miongoni mwa Israel walikuwa wanajipanga kupambana na wenzao kupitia maneno. Wengine wanasema maneno huumba. Sasa yote wanayosema watu dhidi ya mheshimiwa judge yanaweza mtokea.

Proverbs 12:18
There is one whose rash words are like sword thrusts, but the tongue of the wise brings healing.
Proverbs 18:21
Death and life are in the power of the tongue, and those who love it will eat its fruits.

 
Back
Top Bottom