CHADEMA kususia mkutano wa vyama vya siasa, mkutano umebuma kabla ya kuanza

Chadema gani ? Chadema ya Mbowe kilaza Mwenyekiti? Mtoro wa chuo ndio Katibu Mkuu? Na huyu Mwenye division Four ya 29 ndio Naibu katibu mkuu bara?
Wewe na division 1 yako umefanya nini? haya makaratasi yako ya kijinga yanakusaidia nini? Mnyika ni public figure wewe hata Mwenyekiti wa mtaa hakujui
 
Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
Hv wewe unaongea ujinga gani yani uchaguzi wa kipuuzi vile bado unauongelea
 
Kubwa (ambalo ndilo tatizo la dunia kwa sasa) ni U-turn aliyopiga jinsi ya kudeal na Covid, kuna mengineyo Mengi tu ikiwepo kufuta kesi za hovyohovyo
Mkuu, naomba uweke unazi pembeni kidogo halafu uniambie kama kweli amefanya la maana kuhusu COVID-!9. Linaloonekana katika jambo hilo ni tabia ile ile ya kujifanya anafanya jambo kumbe hafanyi chochote.

Si unaona wakubwa wanavyoendelea kutoa tahadhari watu wao wasitembelee hapa?

Chukua jambo lolote alilofanyia uamzi juu yake, halafu lichambue uone kama kweli kaweka dhamira ya kulitimiza. Angalia hata hilo la kufuta kesi unalolisemea hapa, akina Mbowe na wengi wanachama wa chama chake walioko magerezani huwaoni au kuwasikia?
 
Kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika, Chadema wamedhibitsha kuwa hawatashiriki mkutano ulioandaliwa na msajiri wa vyama vya siasa.

Mnyika ametoa sababu kuwa mkutano huo una ajenda tatu, Mgeni rasmi kuhutubia, kupiga picha na kufunga mkutano, hakuna nafasi ya vyama vya siasa kuongea.

Kama Chadema haitashiriki mkutano huu ni dhahiri huu mkutano umebuma kabla ya kuanza, Sasa Samia atawahutubia kina Dovutwa, Cheyo, Shibuda na Lipumba
CHADEMA itawakilishwa na Zito. Mzee wa fulsa kaweka agenda namba4.😄😃
Zito anajua sana unafiki ana mambo ya kirundi kabisa, kama Magufuli.
 
Hiyo historia ya rais imeonyesha tumejenga kilomita 11,000+ za lami kwa 60yrs, ukigawanya utaona ni chini ya 200km per year! Fedha za cdm zilitumika kuamsha wananchi kwenye usingizi mzito uitwao ccm, ndio maana sasa hivi bila vyombo vya dola ccm haitangazwi washindi.
Kumbe pesa yote ilitumika kujenga barabara peke yake? Elimu je? Afya je? Maji je? Nk.
 
Kijiji anachotaka baba yangu hakina dispensary wala maji safi au barabara ya lami, sasa hapo lipi la ajabu?
Wewe unaishi Dar es salaam yenye kila kitu, mpaka na barabara za gorofa; kwani tulipopata uhuru dar ilikuwa hivyo?
 
Wewe unaishi Dar es salaam yenye kila kitu, mpaka na barabara za gorofa; kwani tulipopata uhuru dar ilikuwa hivyo?

Kama kulikuwa na maendeleo ya maana sana, Dar ilipaswa kuwa zaidi ya sasa. Mtoto akianza kutembea akiwa na miaka kumi ni kweli anatembea, lakini alipaswa kutembea muda mrefu.
 
Kama kulikuwa na maendeleo ya maana sana, Dar ilipaswa kuwa zaidi ya sasa. Mtoto akianza kutembea akiwa na miaka kumi ni kweli anatembea, lakini alipaswa kutembea muda mrefu.
Maendeleo makubwa yametokea hata tukibisha mara nyingine tuone aibu. Transformation ya Dar ni kubwa na inakadiriwa kuwa ni moja ya megacities 40 itakapofika mwaka 2030
 
Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
Basi waeende act
 
Kwa akili yako ndogo, unadhani ni kwa nini waliwalaghai na kuwang'ang'ania akina Mdee bungeni? ukijua hilo tu ubongo wako unaweza funguka
 
Back
Top Bottom