CHADEMA kususia mkutano wa vyama vya siasa, mkutano umebuma kabla ya kuanza

Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
Hivi kwanini maccm wengi kama wewe ni mabogus??
 
Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
". Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani."

Umesahau kuhesabu vile viti 19?
 
Hehehe hicho kikao wao wafanye sisi hatuna muda nacho.
Kwani chadema iko kwa ajili ya kujenga nchi au kutumika na mabeberu ili ikiwezekana waingie madarakani kwa faida yao. Ukweli wameambia wasihudhurie na mabwana zao halafu mnyika anajidai wameungwa mkono na nje eti wasihudhurie😂😂
 
". Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani."

Umesahau kuhesabu vile viti 19?
Si vile maalum vya sadaka kwa akina mama? Mimi nimehesabu vya kuchaguliwa na wapiga kura.
 
Chadema ikipuuza jambo basi ujue nchi nzima itapuuza jambo hilo
Acha uongo wewe. Chadema hujidai na kurudirudia uongo wao hadi wenyewe wanaamini uongo wao ni kweli. Hata hao wafadhili wao wanajua ni waongo ila kwa faida yao wanajidai uongo wa chadema ni kweli.
 
Misaada imefungwa kuanzia lini Chief? Si juzi tu wamechukua more than 1t? Na juzi tena Mwigulu kasaini 7t Misri? WB nao wameamchia 900b mwezi mmoja tu uliopita? Au misaada ipi unazungumzia?
Tofautisha misaada na mikopo makaalio wewe
 
Kwani chadema iko kwa ajili ya kujenga nchi au kutumika na mabeberu ili ikiwezekana waingie madarakani kwa faida yao. Ukweli wameambia wasihudhurie na mabwana zao halafu mnyika anajidai wameungwa mkono na nje eti wasihudhurie😂😂
Hiyo kitchen party yenu fanyeni. Kwanini roho inawauma sisi tusipohudhuria?
 
Maendeleo makubwa yametokea hata tukibisha mara nyingine tuone aibu. Transformation ya Dar ni kubwa na inakadiriwa kuwa ni moja ya megacities 40 itakapofika mwaka 2030

Sijabisha bali nimesema ilitakiwa izidi hapa ilipo, au jibu langu halijakuacha na raha nini?
 
Back
Top Bottom