malecela naona bado una stress za mamilioni uliyo yatoa uliushinde ubunge wa afrika mashariki.. Je unataka chadema kihoji hata pale haki inapotondeka? Au unataka tuandamane kuwa pongeza noooooooooo ni jukumu lao kuhakikisha haki inatendeka na si vingevyo halafu kumbuka chadema ni chama cha siasa, ukitaka kuona utumbo unaofanywa na mahakama zetu chukua hukumu ya godblless lema na ya huyo mwizi mwezeko, nikuhakikishie kati ya kesi zilizo kuwa wazi kabisa ni ya huyu fisadi mwenzako ni afadhali sumbawanga mngetuchakachua......- kuhoji unaposhindwa tu kwa chama kikubwa cha siasa kama cha chadema, inaleta maswali mengi sana kuliko majibu on nia na madhumuni yao kwa taifa!
William.
- Kuhoji unaposhindwa tu kwa chama kikubwa cha siasa kama cha Chadema, inaleta maswali mengi sana kuliko majibu on nia na madhumuni yao kwa Taifa!
William.
Tatizo kwa Chadema ndio hilo, nimeliona na linanikera, huwezi kuendesha nchi kwa kulazimisha mambo, na kuwa na mitazamo ya kudhulumiwa kila wakati..sioni sababu ya kuandamana wakati kuna room for appeal..inafikia wakati siasa ziwekwe pembeni wa watu tu argue on facts..hii nchi ipo kama vile uchaguzi bado unaendelea wakati ulishamalizika 2010 na Rais tumeshampata..
Mimi naomba watu tufanye kazi za kujenga taifa letu..kuna mambo ya msingi mno ya kuyafanyia kazi kuliko kuandamana kila siku..inatia aibu chadema sometimes..kila siku mikutano ya kisiasa..upande wangu mimi..naona serikali yetu iwe serious nayo japo kidogo..
Hivi majuzi..tumeambiwa kuwa kule kagera kuna wahamiaji haramu kutoka Uganda zaidi ya 30,000 lakini serikali ipo kimya..hawa jamaa wanatafuna rasilimali zetu bila aibu..nenda mahospitalini..kunanuka..vitanda vimechakaa..dawa hakuna..hakuna mashine za vipimo vikubwa ..hali ni mbaya mnoo..naipenda ccm..lakini kwa staili hii ya kuendesha nchi sio kabisa..kuna ulazima gani wa kuwa na magari ya milioni 200 wakati kunayo magari mazuri tu kama rav 4 ambazo zingeweza kutumika na mawaziri..posho za safari na vikao..
Kila siku semina kwenye mahoteli makubwa makubwa..fedha zinapelekwa kwenye semina badala ya kujenga shule na kuchimba visima..mnatupeleka wapi..kwangu mimi..nabakia ccm kwakua bado sijapata mbadala wake , maana chadema are very naiive and only seeking for public liniency rather than being a real option for ccm, i believe we can make necessary changes in our party if and only if..watu kama sisi ambao hatuna majina ya mwisho kama yenu tutapewa kuleta some impact in our country..
LET US BUILD OUR BELOVED COUNTRY and not only chasing women and drinking beers!!
Wanabodi siyo kila thread inayoanzishwa na William ni Nzuri. kwanza huwa zinatia hasira ambayo mwishoni inapelekea kupata ban nakama hamjagundua hawa magamba nia yao kubwa ni waitawale JF kwa kupunguza wachangiaji wa CDM kwani wengi wao watakuwa wamepata ban kutokana na hayo mathread yao yanayo kasirisha nafikiri ifikie wakati thread kama hizi tuzidharau na kupita tu ili zisifike mbali
- Waheshimiwa Zitto, Januari, na Mbowe walisema maneno kama yangu, je na wao walishindwa ubunge wa EAC? I mean where is a common sense japo kidogo tu?
William.
Bora ulivyowapa ukweli, Wameshushuka. Shuuuuu!. Mkishindwa mahakamani si mjipange tena kukata rufaa?. Mnalalama ili iweje?
- Wengi wetu tunaotaka mabadiliko ya kweli kwa taifa letu, huwa tunawachukulia Chadema seriously kama chama as the best alternative from CCM, lakini pole pole au kwa kasi sana wamekuwa wakijenga imani potofu sana among wananchi kwamba kila wanaposhindwa, either iwe uchaguzi au kesi za uchaguzi, basi haki inakuwa haikutendeka na kwamba nchi haiwezi kutawalika.
- Imean, kwenye kila ushindani kuna kushinda na kushindwa, depending on how much politics you have in you kushindwa kunaweza kuwa ni kushinda, lakini unapoanza kujenga mazingara ya kwamba ukishindwa tu haki haikutendeka na hasa kwenye siasa, unajenga a very fragile political base, ambayo Mungu jalia ukija kushika madaraka itakuja kukumiza wewe mwenyewe, maana itawaruhusu uliowashinda ku-claim your conflict theory ya kutokea kwamba haki haikutendeka!
- Ujumbe wangu kwa Chadema ni kwamba some of us are taking you very serious, sasa huu msingi mnaoujenga wa haki kutendeka pale tu mnapokuwa mmeshinda, ni hatari sana kwa siasa za mbele kwa taifa, jaribuni kuweka taifa mbele kama sisi wengine.
MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William @DSM City!