CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,757
Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
 
Sio tu CHADEMA. Nadhani hakuna wapinzani serious kwa sasa wanaotaka kupambana kiukweli na CCM.
 

Attachments

  • 1736663437258.jpg
    1736663437258.jpg
    46.5 KB · Views: 18
Wahafidhina wapo madarakani kwa nguvu ya power bank.
 
Bila ridhaa ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Chama pendwa watashikaje dola?
Jeshi la Wananchi lilinde mipaka, Polisi walinde raia na mali zao, Magereza walinde wafungwa, uhamiaji wahakikishe viongozi wetu ni raia, kila chombo kifuate majukumu ya kuanzishwa kwake kwa mujibu wa Katiba.

Vyombo vya ulinzi na usalama sio kazi yao kuingia kwenye Siasa watuachie sisi WANANCHI tuamue tunataka viongozi wa aina gani.
 
Back
Top Bottom