MwanzoMugumu
Member
- Jan 27, 2012
- 24
- 22
Sidhani kama ndio utaratibu. Ngoja kina Mzee Mwanakijiji waje watueleze. Kuna thread alianzisha, nadhani lazima bunge livunjwe kwanza na kuwe uchaguzi mpya...
Tunatakiwa kulilia rais avunje bunge wote warudi kwa wananchi
Tunatakiwa kulilia rais avunje bunge wote warudi kwa wananchi
Safi sana Dr Slaa, it is a good move japo sijui kama ina legitimacy kisheria.Dr, Slaa amesema kama mchakato wa kumg'ona Waziri Mkuu uatachakachuliwa bungeni CDM itawaongoza watanzania kupiga kura kwa kusaini sahihi milioni 8 za kumuondoa Rais madarakani. Ameyasema hayo Jijini Mwz katika mkutano wa hadhara maeneo ya Sahara. Amesena Rais alichaguliwa kwa kura milioni 5 tu hivyo milioni 8 zinatosha kumuondoa madarakani
Hii inawezekana kweli??
Tunatakiwa kulilia rais avunje bunge wote warudi kwa wananchi
tunatakiwa kulilia rais avunje bunge wote warudi kwa wananchi
Umechanganyikiwa wewe na kenge wako unayemkumbatia!Inaonesha kyna watu wamechanganyikiwa.
Labda sio Rais wa Tanzania anaongelea Rais wa Karatu.
Dr, Slaa amesema kama mchakato wa kumg'ona Waziri Mkuu uatachakachuliwa bungeni CDM itawaongoza watanzania kupiga kura kwa kusaini sahihi milioni 8 za kumuondoa Rais madarakani. Ameyasema hayo Jijini Mwz katika mkutano wa hadhara maeneo ya Sahara. Amesena Rais alichaguliwa kwa kura milioni 5 tu hivyo milioni 8 zinatosha kumuondoa madarakani
Sidhani kama ndio utaratibu. Ngoja kina Mzee Mwanakijiji waje watueleze. Kuna thread alianzisha, nadhani lazima bunge livunjwe kwanza na kuwe uchaguzi mpya...