KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Mkuu hiyo ya Dr. Slaa si sahihi hata kama Rais alichaguliwa kwa kura laki 2 huwezi kumtoa kwa sahihi za watu milioni 8. Hilo ni tatizo la kikatiba. Lakini pia ni vigumu kwa Rais kujivunja na kuitisha uchaguzi mpya katika hali kama hii ya kisiasa ambayo inaonekana CCM inapigwa pembeni kati kulia na kushoto. Labda Rais na chama chake wawe hawajitaki!
mimi siku zote nimekua na mashaka sana na kiwango cha ufahamu cha huyu mzee,mbona maadui zake ndani ya chama wanampoteza kirahisi namna hii bila yeye kushtuka,hii sijui kaitoa wapi,wachagga wakikuzunguka hata ofisini unakua hatarini sana,namuone a huruma huyu mmbulu wa watu