mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,852
Kasema lini?Kitila amesema CHADEMA walipendwa.
Kwani mwenyekiti wa CCM YUPO wapi nowDuuh hicho chama mwenyekiti yupo Dubai, makamu wake ubelgiji na ofisi Zipo nje ya jiji la Dar.
Hao ni wapumbavu wanalazimisha maneno ya mitandaoni ndo Ikulu na mamlaka iyabebe?John Mnyika yuko live
Anazungumzia suala la Rais kwa mujibu wa katiba.
CHADEMA waitaka Serekali kutoa tamko kuhusu wapi alipo Rais.
Usipanic Mkuu, ndio zilikuwa measures za kujinusuru na janga la kiroba...... pumbavu!
Hawa jamaa UKAFA mbinu zao huwa ni zile zile tu....press conference ya Myika leo ilikuwa imetegeshewa izimwe na vyombo vya dola ili vichwa vya habari vya CNN, Aljazeera visomeke hivi: "Hofu kuhusu afya ya rais yatanda, vyombo vya dola vyazuia Chama kikuu cha upinzani kuongelea habari hiyo"Hivi sera ya magufuli yupo wapi,inaweza kuwaongezea kura 2025?
Bado wanapendwa na inajulikana. Kitila ni Agent kama walivyokuwa wengine. Anajuuikana toka akiwa Rais wa DARUSO baada ya yale machafuko ya 90s ikabidi ...... Niishie hapoKitila amesema CHADEMA walipendwa.
Mtaji wa ccm ni watu duni kama weweHawa jamaa UKAFA mbinu zao huwa ni zile zile tu....press conference ya Myika leo ilikuwa imetegeshewa izimwe na vyombo vya dola ili vichwa vya habari vya CNN, Aljazeera visomeke hivi: "Hofu kuhusu afya ya rais yatanda, vyombo vya dola vyazuia Chama kikuu cha upinzani kuongelea habari hiyo"
Kwa Uongozi wenye busara wa serikali ya awamu ya tano wakawapa Uhuru chadema wa kuacha kuzungumzia hatima ya wabunge wao nk na kuuliza rais wao ambaye kuna siku huwa vinapanda na kusema hawamtambui! Hongera sana polisi, na vyombo vya ulinzi na usalama kwa ujumla!
Tena la 9.9. Mimi siyo muumini wa Siasa ila ninapenda amani, haki, Sawa, upendo, kuheshimiana n.k. Mambo ya chuki, utengano, utesaji wa aina yoyote ile siko nayo milele. I remain faithful Tanzanian nitumike na watanzania wote regardless of their political affiliation and originTulishasema tangu awali kwamba CHADEMA ikikohoa nchi inatikisika , hatimaye NCHI IMEPATA TETEMEKO !
Wengine wanadai nchi ina nyufa kutokana na tetemeko la ChademaTena la 9.9. Mimi siyo muumini wa Siasa ila ninapenda amani, haki, Sawa, upendo, kuheshimiana n.k. Mambo ya chuki, utengano, utesaji wa aina yoyote ile siko nayo milele. I remain faithful Tanzanian nitumike na watanzania wote regardless of their political affiliation and origin
Hata Mashirika ya Kimataifa Yaani International Organisations, NGOs wengi wamepanga. Rudi shule kasome. Unafikiria kutumia pua. Yaani hufikirii umbali zaidi ya pua yako.Kwenye nyumba ya kupanga ndo mnaita makao makuu halafu mkutano wa kimataifa!
Stay that way bruda/sister.I remain faithful Tanzanian nitumike na watanzania wote regardless of their political affiliation and origin
Mule muleCdm ya siku hizi tegemea kusikia pumba za mnyika, hawana akili ya kuzungumzia maswala ya uchumi. Hapo ni kifo cha mbowe na alipo jp
Mna kiwango cha chini sana cha intellegensia ya chama, kwani mnashindwa hata kuvizia kumuona akifanya mazoezi saa 12 asubuhi?Mtaji wa ccm ni watu duni kama wewe
Kwani sisi tumefanyaje ?Mna kiwango cha chini sana cha intellegensia ya chama, kwani mnashindwa hata kuvizia kumuona akifanya mazoezi saa 12 asubuhi?
Hata kupata unywanywa wa wahudumu wa chakula kama alikuwa mchana .