CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
34,116
2,000
Niwashauri chadema.NI BORA WANGEKAA NA KUACHA MUDA UAMUE.
nani amemuona bashar al assad wa syria?.
Hata kama anaumwa CHADEMA INAWAHUSU NINI?muacheni aumwe
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
5,256
2,000
John Mnyika yuko live

Anazungumzia suala la Rais kwa mujibu wa katiba.
CHADEMA waitaka Serekali kutoa tamko kuhusu wapi alipo Rais.
Hao ni wapumbavu wanalazimisha maneno ya mitandaoni ndo Ikulu na mamlaka iyabebe?

Chadema ni machokoraa tu
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,443
2,000
Tulishasema tangu awali kwamba CHADEMA ikikohoa nchi inatikisika , hatimaye NCHI IMEPATA TETEMEKO !
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,936
2,000
Hivi sera ya magufuli yupo wapi,inaweza kuwaongezea kura 2025?
Hawa jamaa UKAFA mbinu zao huwa ni zile zile tu....press conference ya Myika leo ilikuwa imetegeshewa izimwe na vyombo vya dola ili vichwa vya habari vya CNN, Aljazeera visomeke hivi: "Hofu kuhusu afya ya rais yatanda, vyombo vya dola vyazuia Chama kikuu cha upinzani kuongelea habari hiyo"
Kwa Uongozi wenye busara wa serikali ya awamu ya tano wakawapa Uhuru chadema wa kuacha kuzungumzia hatima ya wabunge wao nk na kuuliza rais wao ambaye kuna siku huwa vinapanda na kusema hawamtambui! Hongera sana polisi, na vyombo vya ulinzi na usalama kwa ujumla!
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,901
2,000
Kitila amesema CHADEMA walipendwa.
Bado wanapendwa na inajulikana. Kitila ni Agent kama walivyokuwa wengine. Anajuuikana toka akiwa Rais wa DARUSO baada ya yale machafuko ya 90s ikabidi ...... Niishie hapo
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,443
2,000
Hawa jamaa UKAFA mbinu zao huwa ni zile zile tu....press conference ya Myika leo ilikuwa imetegeshewa izimwe na vyombo vya dola ili vichwa vya habari vya CNN, Aljazeera visomeke hivi: "Hofu kuhusu afya ya rais yatanda, vyombo vya dola vyazuia Chama kikuu cha upinzani kuongelea habari hiyo"
Kwa Uongozi wenye busara wa serikali ya awamu ya tano wakawapa Uhuru chadema wa kuacha kuzungumzia hatima ya wabunge wao nk na kuuliza rais wao ambaye kuna siku huwa vinapanda na kusema hawamtambui! Hongera sana polisi, na vyombo vya ulinzi na usalama kwa ujumla!
Mtaji wa ccm ni watu duni kama wewe
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,901
2,000
Tulishasema tangu awali kwamba CHADEMA ikikohoa nchi inatikisika , hatimaye NCHI IMEPATA TETEMEKO !
Tena la 9.9. Mimi siyo muumini wa Siasa ila ninapenda amani, haki, Sawa, upendo, kuheshimiana n.k. Mambo ya chuki, utengano, utesaji wa aina yoyote ile siko nayo milele. I remain faithful Tanzanian nitumike na watanzania wote regardless of their political affiliation and origin
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,443
2,000
Tena la 9.9. Mimi siyo muumini wa Siasa ila ninapenda amani, haki, Sawa, upendo, kuheshimiana n.k. Mambo ya chuki, utengano, utesaji wa aina yoyote ile siko nayo milele. I remain faithful Tanzanian nitumike na watanzania wote regardless of their political affiliation and origin
Wengine wanadai nchi ina nyufa kutokana na tetemeko la Chadema
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,901
2,000
Kwenye nyumba ya kupanga ndo mnaita makao makuu halafu mkutano wa kimataifa!
Hata Mashirika ya Kimataifa Yaani International Organisations, NGOs wengi wamepanga. Rudi shule kasome. Unafikiria kutumia pua. Yaani hufikirii umbali zaidi ya pua yako.

Pili hata business Entities kubwa DUNIANI zimepanga. Mifano hata makampuni ya simu tajiri ulimwenguni yanapanga. Kampuni za madini, gas asili n.k wamepanga. Diggest your brain crude and reorient your wording.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom