CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

CDM kweli wamefulia, yaani mkutano una mic tatu tu!! Kama kuna dhambi mlitenda huko nyuma mkatubu
1631011788765.jpeg
 
Natamani muujiza utokee siku moja wasimame na kuwa chama bora cha upinzani kama ilivyokua 2005 kurudi nyuma
Ila walivyo wabishi sasa.....🙄🙄🙄🙄 ngoja tuendelee kuwaombea

Erythrocyte anajua😆😆
Hata Wewe unajua kwamba ‘fitina’ za ccm zimefikisha upinzani hapa ulipo, na kama siyo nguvu ya wapinzani wa kweli, kama Mbowe, tusingekuwa na upinzani nchi, kama alivyo taka shujaa mwa kupoteazake!
 
Tangu Lini CCM ukampenda Mnyika?
Nadhani wewe ni mmoja wa wale wanaoitwa “nyumbu”. CCM inaingiaje hapa?

Kwamba Mwanachadema hawezi kutoa mawazo yake huru kabisa ambayo yanaweza kuwa sio ya kusifu na kuabudu?
 
Sasa CHADEMA mnaongelea Corona wakati hamchanjwi, Si siasa hizo jamani?
Uongo huo. Nakumbuka kuwa CHADEMA wali ishauri serkali kuwa chanjo iwe ya lazima. Unapo sema uongo ili usambaze chuki basi bora uwe na kumbukumbu.
 
Hata Wewe unajua kwamba ‘fitina’ za ccm zimefikisha upinzani hapa ulipo, na kama siyo nguvu ya wapinzani wa kweli, kama Mbowe, tusingekuwa na upinzani nchi, kama alivyo taka shujaa mwa kupoteazake!

Sema ukweli mkuu maana Msema kweli mpenzi wa Mungu

Mbowe angekua mpinzani wa kweli asingethubutu kumpa Lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chadema🙄🙄🙄
 
Uongo huo. Nakumbuka kuwa CHADEMA wali ishauri serkali kuwa chanjo iwe ya lazima. Unapo sema uongo ili usambaze chuki basi bora uwe na kumbukumbu.
Uongo upi?

Kama chadema wanaona umuhimu wa corona na chanjo kuwa ya lazima mbona hadi sasa ni watu laki nne tu wamechanjwa?
 
Yawezekana wengi wao ni wa CHADEMA. Unapo fanya appointment ya kuchanja sijaona sehemu inayo dai chama unachotoka. Wanauliza umri, kitambulisho cha NIDA au PASPORT au KITAMBULISHO CHA KURA. Angalia katika jamii unyo ishi. Ni wangapi wamechanja na ulizia wametoka chama gani.
 
Uongo upi?

Kama chadema wanaona umuhimu wa corona na chanjo kuwa ya lazima mbona hadi sasa ni watu laki nne tu wamechanjwa?
Na tuki assume hao wote laki nne ni wanachama wa chadema ni aidha haina wanachama ndio maana hawashindi chaguzi au wanachama wao wamedharau kauli zao zisizo na akili na wameamua kuungana na timu magufuli.
 
Sema ukweli mkuu maana Msema kweli mpenzi wa Mungu

Mbowe angekua mpinzani wa kweli asingethubutu kumpa Lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chadema🙄🙄🙄
Lowasa alitengeneza mazingira ya kukuza upinzani, Lakini raisi aliye shinda akaanza na Lowasa kisha CHADEMA kwa ujumla! Mbowe hana kosa kumkaribisha Lowasa, kwa sababu Lowasa ni Mtanzania, aliye kuwa na sifa zote za kuwa raisi wa Tanzania!
 
Chadema 2005 - 2014 😃😃😃😃 halafu eti Mbowe hana makosa🤣🤣🤣🤣
20210724_195112.jpg
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom