macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,423
- 61,129
Huyo msalitiwa siku nyingi aliyekuwa analishwa na msajili wa vyama ndiyo anakupa wewe taarifa? Au wewe ndiye yeye?Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.
"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.
Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.
Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa
Chanzo: Michuzi TV
Bado athari za Uchaguzi uliomuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti zipo.Tatizo ni akili zenu fupi.
CHADEMA mtafanikiwa kuifarakanisha na wananchi endapo wanachama wake watakuwa wameshapata option B.
Mbali na hapo mtahangaika sana bila mafanikio.
Wahi buku 7 yako Lumumba
Kwanini atajwe yeye na sio mtu mwingineAcha ujinga
Hamna hoja hapo zaidi ya hadaa za fitna na utoto
Wadau hawajui akaunt za chama Hadi waweke kwenye akaunt ya Heche
Heche ndo anafunga mahesabu ya Chama au mtunza hazina
Rasrimali zipi za chama zimetumiwa vibaya...?Shutuma zimekuwa nyingi sana kuhusu matumizi ya rasilimali za chama
Kiongozi kwanza Nashukuru sana kwa kufuatilia Mada yangu.Rasrimali zipi za chama zimetumiwa vibaya...?
Nani kazitumia vibaya na kwa namna gani..?
Unajua nini Mmawia...?
Wewe na wenzako mu wajinga. Hivi ndivyo ninavoweza kuwa - describe. I am sorry ukihisi nimekutukana. Hata hivyo, hivi ndivyo mlivyo...!
Kwa sbb mtu anayekubali kuhongwa vipesa ili akamseme mtu mwingine kwa uongo, obviously huyo mtu ni mjinga tu kwa kuwa anakuwa hajui afanyalo na athari zake..!
Mnatengeneza ujinga na upumbavu wenu huku na kuuita "kashfa dhidi ya John Heche" mkidhani kuwa Watanganyika wa Leo wanaweza kununua ujinga wenu. NO WAY...!!
Binafsi, nafahamu kuwa John Heche (Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Tanganyika), Makamu Mwenyekiti CHADEMA - Zanzibar na Katibu Mkuu John Mnyika ndio nguzo kuu za CHADEMA kwa sasa wakati Mwenyekiti wa chama hiki Tundu Lissu akiwa gerezani...
Nafahamu pia kuwa ili CHADEMA isambaratike na iwe rahisi kukubali matakwa ya watawala hayawani wa serikali haramu chini ya CCM na Samia ni lazima itafutwe njia yoyote kuwafarakanisha hawa watatu ndipo mlango ufunguke...
Tunamfahamu fika kuwa mmeshakwenda kwao na mabilioni ya fedha za hongo ili wamsaliti Mwenyekiti wao aliyeko gerezani, wamekataa na hivyo mpango mzima kubuma...!
Sasa mnakuja na propaganda za kijinga, kitoto na upumbavu mtupu ambao kila aliye timamu wa akili akisoma au kusikiliza, anatambua mara Moja kuwa hakuna kitu hapa, ni matango pori tu...
Kuanzia fahamuni kuwa, waliochaguliwa kuongozwa chama hiki (CHADEMA) katika uchaguzi halali, huru, wazi na wa haki ni Tundu Lissu (M/Kiti), John Heche (M/M/Kiti - Tanganyika) na Said Issa (M/M/Kiti - Zanzibar) sambamba na utendaji uliotukuka wa secretariat makini chini ya Katibu Mkuu John Mnyika...
There's no way unaweza kuihonga timu hii na wasalitiane na kukirudisha matopeni tena chama hiki muhimu kwa mustakabali wa nchi na taifa la Tanganyika..
Ujasiriamali wa kisiasa wa Freeman Mbowe na chawa wake ulifikia ukomo wake 21/1/2025. Tunawahakikishia kuwa, there's no turning back...!!
Rasrimali zipi za chama zimetumiwa vibaya...?

Mimi Mmawia nilikuwa ni mwanachama mtiifu sana Kwa cdm.Kabisa
mchome si ni wa kile chama cha ubwabwaTujadili umbeya.chama ambyo haina ruzuku imepata wapi hzo fedha.chadema ni mpango wa MUNGU mtajaribu kuchafua lakin bdo ipo ndan ya mioyo ya watanzania
Ok na Mimi nakutaja wewe ndo unakula pesa za chama chako Cha ccmKwanini atajwe yeye na sio mtu mwingine
Demokrasia inataka ufikiri kabla ya kuitumia.Mkuki kwa nguruwe. Hata Heche aliwatuhumu Sigrada na Salome bila ushahidi wowote. Mchome ana haki ya kusema lolote. Chama nacho kina haki ya kukataa ushauri wake. Ndio demokrasi.
Amandla....
Mleta mada ni team mboweMkuu naona hujaelewa kilichoandikwa pia naona humjui mleta mada