CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

Upo sahihi sana ila ni vyema sana kuanza kulijadili hilo maana hata mbuyu ulianza kama mchicha
unataka watu wajadili udaku.
leo hii mtu x atajirekodi huko uchochoroni na kusema Mmawia ni choko, unataka ndugu zako waichukulie habari hiyo seriously?
haujui kwamba watu wanaweza kuandika au kuongea chochote wanachojisikia hata kama ni cha uongo.
 
Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.

Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.

Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.


Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
Mmawia na wewe uwe na akili japo kidogo. Hii si habari ya kuleta hapa. Kwanza huyo jamaa ni nani?
 
Mmawia na wewe uwe na akili japo kidogo. Hii si habari ya kuleta hapa. Kwanza huyo jamaa ni nani?
Mkuu kwako habari inayotakiwa kujadiliwa ni ipi?
Hujui kuwa kwa kuanzisha mijadala kama hii inawafanya hao wanaotuhumiwa kujirekebisha?

Tunahitaji kujipambanua chama nje na ndani ya chama
 
Shutuma zimekuwa nyingi sana kuhusu matumizi ya rasilimali za chama
kuna kipindi heche aliwahi kulalamika gharama kubwa TRA za kulipia Crown kutoka ng'ambo.

wengi walifikiri anawatetea wao kumbe ni yeye kashindwa kuikomboa Crown yake TRA kutokana na ukata wa pesa aliokua akiupitia.

wakimchunguza,
watagundua baadhi ya pesa kalipia Crown na mikopo yake ya kausha damu mitaani.

kwasababu pesa alizopewa na wafaddhili wa chadema ni nyingi, hata msiba wa mfanyakazi wake majuzi watu hawajui tu uhusika wa heche ila malipo ni hapa hapa duniani 🐒
 
Kila mwana ccm anaweza kukaimu nafasi ya mzee wasira?
heche ni fisadi,
hawezi kudumu kwenye nafasi aliyonayo hivi sasa kwa zaidi ya miezi miwili ijayo, atabanduliwa na Joseph Selasini anakwenda kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa 🐒
 
Huyo alishatimuliwa Chadema
 
Wewe unamwamini mtu aliyeenda kushitaki chama kwa Msajili kifungiwe ?
 
Wahi buku 7 yako Lumumba
 
heche ni fisadi,
hawezi kudumu kwenye nafasi aliyonayo hivi sasa kwa zaidi ya miezi miwili ijayo, atabanduliwa na Joseph Selasini anakwenda kua kaimu mwenyekiti wa chadema taifa 🐒

Fisadi kwa ela gani? Ela wanapata wapi? Njia zote ziko blocked,

Au hizo mia tano mia tano? Ruzuku hawana, ela za ufisadi ni zipi sasa?

Mwacheni jamaa apige kazi

Huyo selasini ni agent wenu ameenda kuleta vurugu tu pale, alitumwa nccr kamtoa mbatia now anaenda chadema amtoe heche
 
hapo ndiko penyewe gentleman 🤣
 
Kwa nini wamemtimua? Nakumbuka Msigwa alipotoa shutma zake kuhusu ubadhirifu katika CDM ya Mbowe, Lissu alisema shutma zake zijibiwe. Na Msigwa hakufukuzwa kwenye chama. Sasa kwa nini badala ya kufuata ushauri wa Lissu na kujibu shutma za Mchome CDM wanamfukuza? Hawaoni kuwa kwa kufanya hivyo wanampa credibility ambayo pengine hastahili?

Amandla...
 
Hana ubavu wa kuleta migogoro ndani ya cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…