Wanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa MajimboKama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa chadema kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji warioba. Lakini pia muundo huo Wa uongozi upo pia Kenya.
Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CDM wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo
Hili haliko CHADEMA tu bali hata kwenye rasimu ya katiba ya Warioba limo na Mzee Warioba ni CCM tena aliyewahi kushika nafasi kubwa serikalini.Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa chadema kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo. Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji warioba. Lakini pia muundo huo Wa uongozi upo pia Kenya.
Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CDM wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo
Hili ni jukwaa la great thinkers, haliendeshwi kwa mihemuko. Umeelezwa hapo juu kuwa Sera hiyo siyo ya CDM, imependekezwa Na Tume ya Warioba (mwana ccm damu damu)
Maelezo/ufafanuzi mazuri kama haya inafaa yatolewe mahali ambapo wapiga kura wengi yanaweza kuwafikia. Pia kuna Swala la CDM kuwa wanatumiwa Na mabeberu, wagombea wanapaswa kulitolea ufafanuzi mzuri. Nasema hizo hoja, ukitembea mitaani, wagombea Wa CCM wanazitumia sana kupotosha wapiga kura. Uongo ukirudiwa rudiwa bila kukanushwa, wengi wanachukulia kuwa Ni ukweliWanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa Majimbo
umeonekana sana Awamu hii ambapo mtu mmoja tu amekuwa anaamua kutumia fedha za walipakodi wa huku kutekeleza miradi isiyo kipaumbele ya kule. Uwanja wa Chato usingejengwa kama Serikali yao ya Jimbo ingewataka wananchi wa Chato wagharamie huo ujenzi huku wao wanashida kubwa ya maji ingawa Ziwa lipo karibu.
Chama cha Mbowe kina Sera. Hizo ni Sera za Lissu na kina Amsterdam ili wapate rasilimali zetu.Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo.
Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji Jarioba. Lakini pia muundo huo wa uongozi upo pia Kenya.
Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CHADEMA wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo.
Thibitisha usemayoChama cha Mbowe kina Sera. Hizo ni Sera za Lissu na kina Amsterdam ili wapate rasilimali zetu.
Mbaya zaidi hela ya serikali ameigeuza kuwa yake na kuanza kuwasimanga nazo watu au maeneo yasiyompenda na kuacha kumpigia kura.Wanaopotosha ni wa CCM kwa sababu Mwenyekiti wao haelewi kitu na anapotosha kila kitu lakini nchi kubwa kama Tanzania wananchi wenye akili wanaelewa maana ya Utawala wa Majimbo na umuhimu wake. CCM walivyo wajinga wanachukulia neno Majimbo kuwa na maana ya kugawa nchi vipandevipande matokeo yake kuwagawa Watanzania vipandevipande kumbe Majimbo ni jina tu CHADEMA wangeweza kutumia Mikoa kama ilivyo sasa, Province ilivyokuwa kabla ya Uhuru, County ilivyo Kenya hata State ilivyo USA, maana ikawa hiyohiyo. Hata siku moja CHADEMA hawajasema watagawa nchi katika Majimbo wao wanasema wataleta Utawala wa Majimbo wala siyo wa kwanza kupendekeza mfumo huu wa Utawala nchini mwetu. Mwalimu Nyerere alikuwa wa kwanza kuona umuhimu wa Utawala wa Majimbo kuleta maendeleo sawa nchi nzima bila kupendelea maeneo fulanifulani kwa sababu yoyote ile ikiwa ni pamoja na wanakotoka viongozi. Nyerere, Mwenyekiti wa CCM,aliita Madaraka Mikoani (Decentralization, wasio wa CCM wanaelewa maana yake) lakini, kama ilivyo sasa, Wanachama wenzake ambao pia walikuwa Serikalini hawakuuelewa mfumo huu wa Utawala kwa hiyo utekelezaji wake ulishindikana. Kosa kubwa kabisa lilikuwa la kwake mwenyewe Rais na Mwenyekiti kwa kutoa hata hayo Madaraka nusunusu na kubakiza mengine kwake bila kupeleka Mikoani Madaraka na Mamlaka yote muhimu ili waweze kuamua mambo yao wenyewe. Rais akawa anaajiri na kuteua wafanyakazi wote muhimu na bajeti za Mikoa za matumizi tu, mapato yalikusanywa na Serikali Kuu, zilitayarishwa Mikoani na kuletwa Serikalini, zikipita baada ya kupunguzwa zilipelekwa Bungeni kupunguzwa zaidi. Rasimu ya Waryoba ya Katiba Mpya, kwa kutambua hali ya nchi yetu na kujali matakwa ya Wananchi, nayo ilipendekeza mfumo huu wa Utawala kilichotokea ni haohao CCM kwa kutoelewa walipinga kwa nguvu zote ndo maana hata Katiba yenyewe hatunayo hadi leo. Utawala wa Majimbo wanaopendekeza CHADEMA na wengine ina maana Majimbo, ndani ya maeneo yao, yatakuwa na Serikali zao kamili zikiongozwa na Watumishi ambao watachaguliwa na kufukuzwa au kuteuliwa na kutenguliwa au kuajiriwa na kutumbuliwa hukohuko bila Serikali Kuu kuhusika na watakusanya mapato yao na kupanga matumizi hukohuko. Serikali Kuu itakuwa ndogo kwa saizi lakini itakuwa juu ya Serikali zote za Majimbo kwa Madaraka na Mamlaka na ndo itatambulika Kimataifa na itaongozwa na Rais atakayechaguliwa na wananchi wote wanaokubalika kisheria akisaidiwa katika utendaji kazi zake na Mawairi na Watendaji Wakuu wengine. Ile Mihimili miwili mingine ya Mahakama na Bunge nayo itakuwepo na itapatikana kwa taratibu zitakazopangwa na kukubalika. Inaposemwa kuwa kutakuwa na Mabunge ya Majimbo, CCM wanafikiri yatakuwa makubwa kama Bunge la Ndugai la ndiyoooo na kupiga meza lakini yatakuwa na Wabunge 20 au 30 kutegemea ukubwa wa Jimbo ambayo yatatuwa jumla Majimbo labda 10 au 15 tu. Umuhimu na kuhitajika kwa Utawala wa Majimbo
umeonekana sana Awamu hii ambapo mtu mmoja tu amekuwa anaamua kutumia fedha za walipakodi wa huku kutekeleza miradi isiyo kipaumbele ya kule. Uwanja wa Chato usingejengwa kama Serikali yao ya Jimbo ingewataka wananchi wa Chato wagharamie huo ujenzi huku wao wanashida kubwa ya maji ingawa Ziwa lipo karibu.
Tatizo mnajifanya hamuelewi linalozungumzwa au mnajitoa ufahamu. Serikali kuu hukusanya kodi ambayo inaweza na itatumika kuona maendeleo yanapatikana kwa wale ambao hawana rasilimali za kutosha. Wengi tunasahau Japan zaidi ya rasilimali watu (human capital) hawana kingine cha kupigia kelele.Mnajua mapato ya halmashauri kwa kila mkoa?mnajua mapato ya TRA kwa kila mkoa?
Yaani ikija hivyo DSM itakuwa kama Lagos au jburgs na maeneo mengine yatakuwa hoi balaa.
kwa ujumla mapato ya tanzania kwa asilimia karibu 40 yanategemea biashara za dsm na ikiruhusiwa hiyo ndio tunavunja umoja wetu.
Nimesema waulize wao kwani ndio waliolianzisha wakaishia kumkana mwenzao. Wakamtoa kafara.Kama huelewi kwa nini jambo lile lilishughulikiwa kama lilivyo shughulikiwa tutakusaidiaje?
Nimesema waulize wao kwani ndio waliolianzisha wakaishia kumkana mwenzao. Wakamtoa kafara.
Waliufyata waliomkana na kumtoa kafara mwenzao. Wangesimama kidete na kumtetea Makonda tungewaelewa.Waliufyata wao au nyie mnaomuwezesha Lissu aueneze kwa kuupigania?
Waliufyata waliomkana na kumtoa kafara mwenzao. Wangesimama kidete na kumtetea Makonda tungewaelewa.
Kwa hiyo mkuu unakataa serikali haikumkana Makonda?Utamtetea anaye mwaga petrol kwenye moto unaofuka. Akijidai eti ni maji yaliyo changwanywa na dawa ya kuuzima.
Kwa hiyo mkuu unakataa serikali haikumkana Makonda?
Mtaishia kutukana baba zenu. Jibu swali usikwepe vinginevyo ahsante na kwa heri.Bado hujatosheka, uende jandoni ukirudi unitafute kama utakuwa hujanielewa.