Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,675
Mtaishia kutukana baba zenu. Jibu swali usikwepe vinginevyo ahsante na kwa heri.
Swali gani ambalo sijajibu kwa mfano?
Mtaishia kutukana baba zenu. Jibu swali usikwepe vinginevyo ahsante na kwa heri.
MABEBERU WANAPANGA KUIGAWA TAIFA UPYA. ILA HAWATA WEZA KAMWE.Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza nafikiri kuna hàja ya uongozi Wa juu Wa CHADEMA kufafanua juu ya Sera ya utawala Wa majimbo.
Kila Mara viongozi Wa CCM wanapohutubia wanapotosha Sera ya majimbo, wanadai kuwa Ni ya kuwagawa watanzania. Kadiri ninavyokumbuka Sera ya majimbo ililetwa kwa Mara ya kwanza Na katiba pendekezwa ya jaji Jarioba. Lakini pia muundo huo wa uongozi upo pia Kenya.
Mimi nafikiri kuondoa upotoshaji huo, viongozi Wa CHADEMA wenye platform ya kuhutubia umma bora mfanye hivyo.