CHADEMA kumjadili Kikwete

CHADEMA kumjadili Kikwete

Kujadili mambo ambayo huwezi kuyatolea maamuzi ni kupoteza muda; serikali ipo chini ya chama makini CCM; chama tawala ndicho chenye uwezo wa kuijadili serikali kuona inatekeleza vipi sera zake; wengine ni kumpigia mbuzi gitaa.

Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Things fall apart..Soon and very soon we will see people running hither and tither! Where is my pop corn mwanzo wa ngoma ni lele....When some of us talk you should be informed that its not a joke.....We see the end before the beggining..Msije sema hamkujua...
 
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!

Es!
Hawana sera mkuu, watajadili hewa zote na matatizo yao watayaweka kiporo.
CCM iendelee kuwaangushia kisago na mamluki waliomo CDM ambao ni wengi kibao!
 
ukweli kuhusu mauaji anaujua dr slaa na tunaomba afikishe mahakamani vithibitisho vya kuhusika kwa viongoz waliohusika
 
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!

Es!

Kumbe zogo mlilolianzisha la Dr. Slaa lilikuwa na lengo la kuwapotosha watu wasijadili mauaji, utekaji nyara na wizi uliokithiri kwa umma wa watanzania? Poleni sana, kwani umma ukishaamua hauzuiliki nawashauri mkajipange upya. The peoples power will always prevail. A luta continua!
 
Mimi naishauri CHADEMA kuwa badala ya kumjadili Rais, wangejijadili wao wenyewe. Upepo ninouona kwao sio mzuri. Wana ushabiki, sio ufuasi, hilo ni tatizo kubwa. Wana washangiliaji hawana wapiga kura. Cha kusikitisha zaidi na zaidi ni ule mfano wa mkutano mkuu wa wilaya kuitishwa lakini wajumbe wasiwepo mpaka watafutwe kwa simu, narejea mkutano wa Kinondoni ambayo ina mbunge wa CHADEMA.
 
Ni kichesho unajadili jambo ambayo uwezi kulitolea maamuzi.
 
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!

Es!

Heshima yako unaiporomosha kwa kasi, umekuwa mtu wa kutibua tibua mambo hata yasihusu. Hapa suala la Slaa na kadi ya CCM linahusika vipi?
 
Vikao vingine ni vya kula posho Raisi anatekeleza majukumu yake kikatiba; hao Chadema watathmini M4C zao; ni upuuzi mtupu Raisi wa jamhuri ya Muungano ashurutishwe kutekeleza majukumu yake na kikundi cha wahuni wachache hivi wanajua nini maana ya Raisi JMT? Raisi Kikwete hakujiweka madarakani tulimchagua kwa kishindo na anatufanyia kazi kwa uwezo wake wote bila kutubagua.
Chama
Mongavyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mkuu naona umelewa gongo za Mongavyeru ambazo ni Kali sana
 
Things fall apart..Soon and very soon we will see people running hither and tither! Where is my pop corn mwanzo wa ngoma ni lele....When some of us talk you should be informed that its not a joke.....We see the end before the beggining..Msije sema hamkujua...

This is just a continuation of the movie; be prepared for 2015

Chama
Mongavyeru
 
  • Thanks
Reactions: Ame
eti wamjadili kikwete! kama nani? kwani wao si wanae rais wao slaa? kichekesho.

CDM hawajawahi kumkataa JK ila waliukataa mfumo ulioweka madarakani. Kwa mujibu wa kitaba yeu tume ya uchanguzi ikishatangaza matokeo ya uraisi hayahojiwi popote pale na kufanya hivyo ni uhaini. Muda mwingine msiwe mnaleta umbea wa mtaani bila kuwanukuu vizuri....katiba mpya itaingiza kipengele cha matokeo kuhojiwa mahakamani ili kuondoa hilo la tume au usalama wa taifa kulazimisha matokeo kwa matakwa yao.Ikumbukwe pia kuwa ccm katika vikao vyao wamelikubali hili.....

sikiliza tamko rasmi la chama (na Dk slaa) hapa siyo unaleta ubabaishaji tu

http://www.youtube.com/watch?v=QWvwrZhwGuM
 
Masuala ya kadi mbili mbili tumeyamaliza?mbona tunarukia ya watu?
 
Wajadili kadi ya Slaa?Mkuu hicho siyo kikao cha kujadili upuuzi

Hujakosea sana kwenye compliment,ni kiboko ya wanaohujumu CHADEMA
Ben Saanane mkuu wewe si Masalia? au siku hizi Mshumbusi kashakukubali? Maana ZZK ni mshkaji wako ila ni adui yao kwa kupenda kusimamia ukweli....
 
Last edited by a moderator:
Kumbe zogo mlilolianzisha la Dr. Slaa lilikuwa na lengo la kuwapotosha watu wasijadili mauaji, utekaji nyara na wizi uliokithiri kwa umma wa watanzania? Poleni sana, kwani umma ukishaamua hauzuiliki nawashauri mkajipange upya. The peoples power will always prevail. A luta continua!
luhala mkuu inaonesha umekaririshwa vibaya hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom