CHADEMA kumjadili Kikwete

Wanatafuta posho za vikao na kuponda starehe.Eti wana mjadili Kikwete wakati Slaa mmemshindwa maajabu kweli yapo Chadema
 
Hongera sana CDM, mpo makini sana, hakuna linalopita hivi hivi bila kujua hatma yake. Sio kama CCM na vikao vyao halali vya kujivua gamba kisha katikati wanaingia mitini na hoja ya mwanzo.
 
Mkuu Mingoi,
Hawa viongozi wa Chadema wanaangaika bure na kupoteza muda wao!

Wakiwa kwenye majukwaa wanasema hawamkubali rais, wengine wanamuita rais dhaifu halafu hao hao leo tena wanamjadili.

Sasa hapo dhaifu sijui ni nani.........

CDM walisema hawakubaliani na utaratibu uliotumika kumweka rais madarakani. Na ndio maana leo hii unauona mchakato wa katiba mpya kitu ambacho hakikuwa kwenye ilani ya mafisadi (ccm)
 
-Sasa kama ni mamluki si ndiyo mngefurahi zaidi? Tangu lini CCM wakawa na uchungu na mamluki wetu?Kama Dr.Slaa ni mamluki basi mamluki wa aina hii ndiyo wanaotufaa kuliko wanasiasa na wanaharakati wengine

kwani unajuaje hawajafurahi,au wewe kufurahi unatafsirije?
 
Hongera sana CDM, mpo makini sana, hakuna linalopita hivi hivi bila kujua hatma yake. Sio kama CCM na vikao vyao halali vya kujivua gamba kisha katikati wanaingia mitini na hoja ya mwanzo........

kama sio mbinu za kujipatia posho,mie nasubiri kuona manufaa watakayopata wananchi kwa hao jamaa kukaa hicho kikao cha kumjadili Rais.
 
X: Aithee thi tufanye namna ya kupata hela ya kurudi kuhesabiwa moshi kwenye x-mass baba!!

Y: Vipi tukiitisha mkutano wa haraka haraka tupate posho atiii!!

X: Wazo zuri meku, sasa agenda iwe ni ipi?

Y: Yeleeeewwwi, vipi tukisema tunamjadili mkw.er.e!!!

X: Basi fanya mambo babaaangu tuwahi kususio na mbege marangu.
 
CDM walisema hawakubaliani na utaratibu uliotumika kumweka rais madarakani. Na ndio maana leo hii unauona mchakato wa katiba mpya kitu ambacho hakikuwa kwenye ilani ya mafisadi (ccm)
Lema ametoa muelekeo mbadala wa kuingia msituni ni bora kamati kuu wakapitisha kwa kura zote.
 
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!

Es!

Wanaopaswa kujadili kadi ya Dr. Slaa sio CDM bali ni CCM kwa kuwa hoja hiyo iliibuliwa na Vuvuzera wa CCM; nawashangaa wana CDM walioidaka na kuishadadia.
 
X: Aithee thi tufanye namna ya kupata hela ya kurudi kuhesabiwa moshi kwenye x-mass baba!!

Y: Vipi tukiitisha mkutano wa haraka haraka tupate posho atiii!!

X: Wazo zuri meku, sasa agenda iwe ni ipi?

Y: Yeleeeewwwi, vipi tukisema tunamjadili mkw.er.e!!!

X: Basi fanya mambo babaaangu tuwahi kususio na mbege marangu.

Hhahhahaah umeni chekesha sana!
 
Chadema wanamjadili JK kwani wameishamkubali kama rais wao.

JK kuwepo nafasi ya Urais ni zao la CCM kubaka Democrasia, democrasia inatambua laiyestahili kukaa pale lazima awe zao la uchaguzi halali na mshindi.Hakuna tofauti na Mbakaji kutia ujauzito, halafu akiwajibishwa kulea mtoto adai katambulika kama mume.
 
CHADEMA wana masuala ya msingi sana ambayo rais alipaswa ayachukulie uzito,lakini hakufanya ivyo. Acheni kugeuza kila kitu kuwa ni siasa. Mi siamini yule kamanda wa polisi wa iringa yuko kazini hadi leo?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
CHADEMA wana masuala ya msingi sana ambayo rais alipaswa ayachukulie uzito,lakini hakufanya ivyo. Acheni kugeuza kila kitu kuwa ni siasa. Mi siamini yule kamanda wa polisi wa iringa yuko kazini hadi leo?

kwani wao nani mpaka rais afanye kila wanalotaka.kiufupi ni kwamba ALIWAPOTEZEA na hakuna kitu vile watafanya about it.
Na kamuhanda yupo na ataendelea kuwepo full stop.
 
Back
Top Bottom