CHADEMA kumjadili Kikwete

Mimi naishauri CHADEMA kuwa badala ya kumjadili Rais, wangejijadili wao wenyewe. Upepo ninouona kwao sio mzuri. Wana ushabiki, sio ufuasi, hilo ni tatizo kubwa. Wana washangiliaji hawana wapiga kura. Cha kusikitisha zaidi na zaidi ni ule mfano wa mkutano mkuu wa wilaya kuitishwa lakini wajumbe wasiwepo mpaka watafutwe kwa simu, narejea mkutano wa Kinondoni ambayo ina mbunge wa CHADEMA.

Ni mbunge yupi huyo wa chadema Kinondoni?Hoja haijengeki bila kupotosha?
 
kumbuka na kupora wake za watu na kuvunja ndoa za wenzio
CCM bana, viungo vyao wanavyotumia kwa kufikiri ni matumbo, kwato, matumbo na viuno! ndiyo maana ni lazima wachomekee kihivi! Nendeni kukomboa meno ya tembo yaliyokamatwa mkimtumia Katibu wenu Mkuu 'mpya' Kinana.
Kwa hakika kurejea 'wazee wa dili' kutaikomesha nchi; Benki wakae tayari kwa EPA nyingine na Tembo na Twiga wetu wataishia Hong Kong.
DEATH TO CCM
 
Back
Top Bottom