Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

Chadema bana kila siku wanalalamika hakuna haki mahakamani na amna imani na mahakimu na majaji sasa huyo Nape mtampeleka mahakama gani...
 
Maskini Nnauye Jr! Hasara yote hii nani atalipa?. Na kibaya zaidi naskia ile taarifa aliitoa bila baraka za Sekretarieti ya CCM! Kwa maana hiyo ni tamko lake, si tamko la CCM!

TUMBIRI (PhD - In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), Bcom(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd[/SUP] Overall Best Student in Form six National Exams).
tumbiri@jamiiforums.com

Pesonally , sikuipenda alichoongea na jinsi alivyoongea,nilimpatia huruma palepale....sijui hajui "..black cheque.." ya madaraka na space ya makosa kwa ajili ya ccm zimeisha na hivyo akipaswa awe amejiwekea mipaka.Ndio mateke ya chama kuwa na "Novice members" na wakongwe wazembe .Chama chote kinakuwa "NOVICE".Hii itachargiwa ccm kwani yeye alikuwamsemaji wa CCM sasa ni wao wajitenge naye halafu watafute wa kumweka katik kapu lilisilo na options.

Nape ni burden kwa CCM kama ilivyo kwa Mwigulu, damages walizozisababisha zimekaa vibaya, kuwafukuza ni kuaharibu chama "watu watashawishika kuwa kweli jamaa walikuwa vimeo.." na kubaki "CCM watajikuta katika wrong side katik maamuzi yote"
 
Hivi mnapokimbilia mahakamani kuwakana wafadhili wenu mna maana gani?au ni kuwapumbaza wadanganyika
 
Chadema bana kila siku wanalalamika hakuna haki mahakamani na amna imani na mahakimu na majaji sasa huyo Nape mtampeleka mahakama gani...

Kufuata sheria ni kugumu.....Si kweli kama Mtu ni tajiri basi hustahili mlipa deni lake, na si kweli kwamba hata kama mahakama hazitendi haki ,basi kesi zisipelekwe.zitapelekwa nyingi na ushahidi mzito kiasi cha kufanya mahakama ipate wkati mgumu kupindisha matokeo.Bondia anayeshindwa kwa knockout huwa ni vigumu kwa majaji kupindisha ushindi...mara nyingi ushidni wa point unaruhusu upendeleo kwa majaji.Na hivyo kuwafanya watazamaji kugawanyika kutokana na jinsi walivyoona.So CDM wanakwenda kwa KO
 
Nape, Nape.

Ndugu yangu uko peke yako mpiganaja na epukana na mambo ya okonko wa Things fall apart "Chinua Achebe"

Nape kuwa mpole, maana Mukama naye anakutazama kwa jicho la husuda maana umemfunika bosi wako.

Usishindane na Akina Dr Slaa, Zito, freeman na team yake, ccm imewahujumu vyakutosha watanzania huku mtaan hueleweki kwa wenye inchi yao (Unawaudhi sana watanzania)


Hao jamaa wa chadema kwa sasa wanakubalika na wana nguvu za ziada ndani ya serikali na hata nje ya inchi achana nao hao watakupasua kichwa bure, kura mshahara wako kwa amani kama anavo kula na kuhamisha bila kusaza Raisi wako na mkuu wa chama chako.

Ukiendelea kujifanya mambo ya tembo unayaweza mwisho wako sio mzuri huko tuendako 2015 maana kama unafaham historia vizuri hakuna marefu yasio kuwa na incha, Lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho


Nape wasikufanye vuvuzela lao wao wakila kila kitu na wewe kubaki kama yule alisayaf wa Iraq kufuta madhambi yao.


Hakuchi, hakuchi mwishowe .... CDM wanakuja juu, Jiran zao NCCR wako jirani, Naamin hata CUF wakijipanga vizuri watanzania tutawashika bega watainuka na hivyo ubunge kugawanwa na kuhitimisha monopoly ya ccm kiutawla, utajificha wapi?


Nape shilikiana na watanzania wenzako kudai haki zao. Tunapoteza watanzania wengi mahospiatalini, wanakufa hakuna dawa wala vifaa tiba, viongozi wako hawalioni hilo wanaongezea matatizo kwa kutibuana na madaktari ni vibaya kweli! kwa sisi maskini kwa sabab hatuna hela za kupitia angani kufuata tiba India tunateketea nape. Angalia watoto wetu wanavotaabika kupata elimu duni kwenye shule za kata, hakuna vifaa vya kufundishia, maabala wala waalimu, Tazama tena ww na chama chako mmewatibuwa walimu sijui watoto wetu watafundishwaje ikiwa mwalimu analipwa ujira kwa mwezi ambao ni fedha inayoitwa sitingi alawansi pale mjengoni kwa mbunge mmoja kwa siku moja - Usawa upo wapi nape?

Nape Kuitetea ccm lazima ufumbe macho nakuweka ufahamu pembeni, ona walivotuchomekea udini, sasa hivi watanzania tunatazamana kwa macho ya imani zetu kwa nini nape? Serikali ya Baba wa taifa, ya mzee mwinyi na ya mzee wa kiwira coal mine 'Che nkapa' hazikuwa na jinamizi na dudu udini lakini leo ni balaa, nchini kwetu limeingia kichwa kichwa nakama hatuja muomba mungu tunaelekea shimoni.

Nape kwani we huoni wenzio wanavo chukua vyao mapema, tena wanalindana

Chenge na vijisenti vya Rada

Mkapa na kiwira coal mine

Richimond Mzee wa kaya na manywele

Wenzio nape wamekula EPA, DEEP GREEN BANK, Kagoda, Kale kauwanja ka songwe mbeya mpaka leo kamedumaa nk

Mbona hawapelekani mahakamani? Nape je wale wakujivua magamba nao watajivua lini?


TAFAKALI CHUKUA HATUA MKUU NAPE waache cdm waache, nccr, waache cuf wawaelimishe watanzania kuzijuwa na kuzidai haki zao. Acha kubwabwaja na iheshimu demikrasia ya uwepo wa vyama vingi.

Inshallah mungu akipenda wapinzani wakachukuwa inchi hata ww kule kijijini kwenu ndugu zako watafaidi matunda.
 
Kufuata sheria ni kugumu.....Si kweli kama Mtu ni tajiri basi hustahili mlipa deni lake, na si kweli kwamba hata kama mahakama hazitendi haki ,basi kesi zisipelekwe.zitapelekwa nyingi na ushahidi mzito kiasi cha kufanya mahakama ipate wkati mgumu kupindisha matokeo.Bondia anayeshindwa kwa knockout huwa ni vigumu kwa majaji kupindisha ushindi...mara nyingi ushidni wa point unaruhusu upendeleo kwa majaji.Na hivyo kuwafanya watazamaji kugawanyika kutokana na jinsi walivyoona.So CDM wanakwenda kwa KO

Wewe na Dr Slaa nani mwenye Chadema? Dr Slaa kaishasema hawezi kukubali kuhojiwa na Polisi wala kufungua kesi mahakamani wao kama Chadema hawana imani na polisi wala mahakama...Tundu Lissu naye akamalizia kwa kusema Majaji hawana uwezo huo ndio msimamo wa Chadema.
 
Wewe na Dr Slaa nani mwenye Chadema? Dr Slaa kaishasema hawezi kukubali kuhojiwa na Polisi wala kufungua kesi mahakamani wao kama Chadema hawana imani na polisi wala mahakama...Tundu Lissu naye akamalizia kwa kusema Majaji hawana uwezo huo ndio msimamo wa Chadema.
Rungu si silaha nzuri sana, ila sungusungu wentu na migambo huwa wanaitumia...na mara nyingi inasaidia hadi pale wezi wakiwa na silaha kali aka za moto.

Acha kupotoka, nani kakuambia ni suala la mwenye chama hili?Na slaa ana share ngapi?Hili ni suala la kuwa na dynamic decision making approaches, hapo ndipo wana ccm hawawezi figure out kwa vile huwa hawan autaratibu wa kufanya kitu sahihi kwa muda sahihi.
 
ulimi usipoutumia vizuri unaweza kukuweka katika wakati mgumu.Nape kazi kwako
 
Chadema bana kila siku wanalalamika hakuna haki mahakamani na amna imani na mahakimu na majaji sasa huyo Nape mtampeleka mahakama gani...

ritz watampeleka mahakama hizo hizo mbovu ndizo tulizonazo kwa ajili ya kumbukumbu...kumbuka hata ukiwa darasa
la pili ukipewa swali bora jibu kuliko kuliacha kwani mwalimu hata kuelewa kwamba una jua au hujui.
kwani jery rowling alifanya makosa lini?
 
ukweli husimama peke yake. kama Nape alisema kweli basi tunatarajia aanike wazi majina ya hao wafadhili wa nje kwa rehani ya nchi yetu
 
Tantawi una maradhi ya udini, kichwa Chaco kimejaa mkaa badala ya urongo. Subiri huyo nyanja mwenzio atiwe adabu, Ngoja wamtantawishe kunguru mwenzio.

udini umekujaje hapa mkuu au umekurupuka toka usingizini ukakimbilia jf.jibu hoja acha kuruka ruka kijana.
 
Back
Top Bottom