Magufuli ndio ameiba aleselema ...maana lowasa alianza kuitumia sheikh Amri abeid siku ya kutangaza nia
Hata lowasa anatumia aleselema ya magufuli
Ni aibu kwa baba kudesa kwa mwanae !! Loh ni aibu kubwa.
Kanywe sumu wewe acha kulalamikaMkuu kwani si hata huo udaktari wake ni wakudesa! hapo anajidhihirisha tu. Magufuli Mkuu wa kudesa!
mnatia aibu ccm, yan mgombea wenu amebakiza kupaka nywele zake rangi nyeupe, alaf pia ajiite LOWASA jr.
hyo n dalili tosha ya kuonyesha kushindwa
ndo nimewauliza mna any legal rights documents ya hilo nenoTatizo shule hamna ninyi uvccm
Ngoja tukusaidie kuna kitu kinaitwa ''PATENT RIGHT'' Haki vumbuzi(kiswahili kisicho rasmi sana)
Hii elimu pia iwasaidie laymen hawa Zacharia Lubazu idawa
Mnatia aibu CCM, yan mgombea wenu amebakiza kupaka nywele zake rangi nyeupe, alaf pia ajiite LOWASA jr.
hiyo ni dalili tosha ya kuonyesha kushindwa.