CHADEMA kumburuza Dk. Magufuli kortini

CHADEMA kumburuza Dk. Magufuli kortini

Ukisoma comments za maccm,wanaonekana wamepanic sana na kuchanganyikiwa, hawaongei la maana zaidi ya kutukana na kejeli
 
nasikia ccm wataanza kuvaa fulana za chadema kwenye mikutano yao kuanzia wiki ijayo. nimepata hizo taarifa leo
 
Fight for Nembo Ukawa,go go go mkaikomboe nembo yenu....wanasiasa bna hivo vitu tunajua nivya kucheza namind za watu ili wawesambamba naww katka jambo flani....sasa vitu persona hivo...unashitaki kiivo....
 
KTK kifo, lazima URUSHE miguu na kujikakamua... CCM imekufa...!!
 
#hapakazitu imewashinda mnaanza kudandoa slogans za watu wengine kwakweli ccm imefilisika kwa kila kitu.
 
Sikia Ukawa Tuwaambie,nyie Pelekeni Kesi Sijui Madai Lakini Mjue Kesi Yenu Mahakimu Wataisikiliza Baada Ya Hon.John P Magufuli Kuapishwa Kuwa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania...!!

utawala wa kijuha namna hii hautufai kwa karne hii.

ndio maana tunasema ccm imeoza na haifai tena.
mabadiliko ni lazima
 
Yashitakiwe tu, kwani yamezoea kuiba hakuna namna nyingine ya kukaa na jambazi.
 
Ni baada ya Dk. Magufuli kutangaza kuwa nembo ya Movement for Change (M4C) ¡®kuipora¡¯ wakati akifanya mkutano wake wa kampeni mkoani Kigoma kwenye Uwanja wa Kawawa uliopo Ujiji.Katika mkutano huo Dk. Magufuli alisema ¡°hawa jamaa zangu wa CHADEMA wananipenda, hata ile nembo yao ya M4C ni Magufuli for Change-maana yake Magufuli kwa Mabadiliko.¡±CHADEMA wanaratajia kufungua kesi hiyo Septemba 21 mwaka huu na kwamba, madai hayo yatakwenda sambamba na madai ya kutumia kauli mbiu ya ¡®mabadiliko Lowassa¡¯ ambayo kaibadilisha na kuwa ¡®mabadiliko Magufuli¡¯.Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ngome Kawe, Mwanasheria wa CHADEMA, John Malya amesema ¡°CCM imekuwa ikivunja sheria za uchaguzi kila siku bila kuchukuliwa hatua yoyote na mamlaka husika, wanatumia nembo za CHADEMA ambazo zimesajiliwa na kujulikana.¡±Hata hivyo imeelezwa, baada ya Dk. Magufuli ¡®kuiba¡¯ alama hizo za CHADEMA; wafuasi wake, bodi ya wadhamini na watu wake wa kampeni walianza kusambaza mitandaoni nembo ya M4C huku wakidai ni nembo mpya ya CCM.Malya amesema mbali na hilo la kuiba nembo ya chama, wamekuwa na tabia ya ¡®kukopi¡¯ na ¡®kupesti¡¯ kila hatua inayo pigwa na CHADEMA na kuzitumia katika kampeni zao.Akivitaja baadhi ya vitu vinavyokopiwa na CCM amesema, Magufuli amesikika mara kadhaa akiwa anatumia sera na Ilani ya CHADEMA na UKAWA, pia amekuwa akiiba kauli mbiu za CHADEMA pindi anapokuwa katika kampeni zake.¡°Hii ni dalili za kushindwa kwa CCM hana sera wameishiwa na ndio maana wanafuata nyayo zetu kila tunapoenda na kila tunalofanya wanalifuatilia na kuaza kutukopi. Kwa mfano sisi tunatumia Lowassa mabadiliko mabadiliko Lowassa na wao wameshaiga kwa kutumia jina la Magufuli¡±.Aidha, Malya amesema CHADEMA inasikitushwa sana na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa kimya huku vitendo vya rushwa vinazidi kukithiri toka kwa CCM.Malya ametaja baadhi ya matukio yenye viashiria vya rushwa kuwa, Magufuli alionenekana akimpatia mtoto pesa taslimu elfu 30000 katika moja ya kampeni zake, huku Mgombea mwenza wa CCM Samia Suluhu Hassani naye mara kadhaa ameonekana akigawa pesa kwa wananchi wanaohudhulia katika kampeni zake.¡°Matukio yote hayo bado tume imekaa kimya japo kuwa tumeshapeleka barua za malalamiko na kutuahidi kulishughulikia kesho. Vivyo hivyo kwa Taasisi ya Kushuhulikia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) ambayo tulitegemea itakuwa ya kwanza kukemea hilo lakini ipo kimya na tumeshaandika barua ya malalmiko¡±.Amedai, pia CCM wamezidi kukiuka sheria za uchaguzi kwa kuyachana mabango ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa hadharani na kwamba, wanakiuka sheriaAmesema, matendo hayo yote yanayofanywa na CCM na kuwa wanakuika sheria za umiliki wa nembo za biashara ya mwaka 1986 na kanuni ya umiliki huo ya 2000 pamoja na taratibu zingine za umiliki.
kwan kuna umiliki halali wa hiyo nembo yeye katafsiri kama mnavosemaga Chama Cha Mafisadi(CCM)
 
Change wanayoitaka watanzania ni kuitoa ccm madarakani, change ipi anayoitaka magufuli? Kwani kawa mpinzani?
Aendelee na porojo zake za kufufua viwanda ndani ya miaka mitano, anaweza akapata wajinga wachache wakamuamini. Kudesa kauli za ukawa atadhihirisha watu alivyo na upeo mdogo wa ubunifu, na kura zake zitazidi kupungua.

Mfumo hauwezi kujibadili wenyewe unabadilishwa na mfumo mwingine.
 
Ni baada ya Dk. Magufuli kutangaza kuwa nembo ya Movement for Change (M4C) ‘kuipora’ wakati akifanya mkutano wake wa kampeni mkoani Kigoma kwenye Uwanja wa Kawawa uliopo Ujiji.

Katika mkutano huo Dk. Magufuli alisema “hawa jamaa zangu wa CHADEMA wananipenda, hata ile nembo yao ya M4C ni Magufuli for Change-maana yake Magufuli kwa Mabadiliko.”

CHADEMA wanaratajia kufungua kesi hiyo Septemba 21 mwaka huu na kwamba, madai hayo yatakwenda sambamba na madai ya kutumia kauli mbiu ya ‘mabadiliko Lowassa’ ambayo kaibadilisha na kuwa ‘mabadiliko Magufuli’.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Ngome Kawe, Mwanasheria wa CHADEMA, John Malya amesema “CCM imekuwa ikivunja sheria za uchaguzi kila siku bila kuchukuliwa hatua yoyote na mamlaka husika, wanatumia nembo za CHADEMA ambazo zimesajiliwa na kujulikana.”

Hata hivyo imeelezwa, baada ya Dk. Magufuli ‘kuiba’ alama hizo za CHADEMA; wafuasi wake, bodi ya wadhamini na watu wake wa kampeni walianza kusambaza mitandaoni nembo ya M4C huku wakidai ni nembo mpya ya CCM.

Malya amesema mbali na hilo la kuiba nembo ya chama, wamekuwa na tabia ya ‘kukopi’ na ‘kupesti’ kila hatua inayo pigwa na CHADEMA na kuzitumia katika kampeni zao.

Akivitaja baadhi ya vitu vinavyokopiwa na CCM amesema, Magufuli amesikika mara kadhaa akiwa anatumia sera na Ilani ya CHADEMA na UKAWA, pia amekuwa akiiba kauli mbiu za CHADEMA pindi anapokuwa katika kampeni zake.

“Hii ni dalili za kushindwa kwa CCM hana sera wameishiwa na ndio maana wanafuata nyayo zetu kila tunapoenda na kila tunalofanya wanalifuatilia na kuaza kutukopi. Kwa mfano sisi tunatumia Lowassa mabadiliko mabadiliko Lowassa na wao wameshaiga kwa kutumia jina la Magufuli”.
Aidha, Malya amesema CHADEMA inasikitushwa sana na kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuwa kimya huku vitendo vya rushwa vinazidi kukithiri toka kwa CCM.

Malya ametaja baadhi ya matukio yenye viashiria vya rushwa kuwa, Magufuli alionenekana akimpatia mtoto pesa taslimu elfu 30000 katika moja ya kampeni zake, huku Mgombea mwenza wa CCM Samia Suluhu Hassani naye mara kadhaa ameonekana akigawa pesa kwa wananchi wanaohudhulia katika kampeni zake.

“Matukio yote hayo bado tume imekaa kimya japo kuwa tumeshapeleka barua za malalamiko na kutuahidi kulishughulikia kesho. Vivyo hivyo kwa Taasisi ya Kushuhulikia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) ambayo tulitegemea itakuwa ya kwanza kukemea hilo lakini ipo kimya na tumeshaandika barua ya malalmiko”.

Amedai, pia CCM wamezidi kukiuka sheria za uchaguzi kwa kuyachana mabango ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa hadharani na kwamba, wanakiuka sheria

Amesema, matendo hayo yote yanayofanywa na CCM na kuwa wanakuika sheria za umiliki wa nembo za biashara ya mwaka 1986 na kanuni ya umiliki huo ya 2000 pamoja na taratibu zingine za umiliki.

Labda huyo mwanasheria wenu anatafutwa kutajwa tu!
M4C ndio nembo ya nini? Labda kingukuwa kichaga, lkn hayo ni maneno ya kiingereza ambayo si malya wala Mbowe walioyatunga!
Malya amesahau kuwa mfumo mzima wa uendeshaji chadema ni copy paste ya ccm with minor adjustment! Wataanza wao kufungwa kwa kuiga mfumo mzima wa uendeshaji chama!
 
Aibu kubwa kwa ccm, VIVA CHADEMA IVA UKAWA. Ushindi upo wazi kabisa, Ikulu ni ya wapinzani bila chenga. EWE MWENYENZI MUNGU UTULINDE DHIDI YA ILA ZA YULE MUOVU SHETANI, UILINDE AMANI YETU IWE AMANI YENYE MAFANIKIO NA YA KUDUMU.
AMINA.
 
Siku anaapishwa mh edward ngoyai lowassa kuwa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania baada ya

uchaguzi mkuu october 2015 ndipo utakapoamini kwamba ccm haina mkataba wa kuitawala tanzania.

Lowassa anasubiri tuu kuapishwa. Kubali au ukatae wewe apo!
 
WATAFUNGWA WAO; NA WAJE MAHAKAMANI


  1. M4C - Chrome Plated Cap-O-Matic Space Pen - Fisher Space Pen Co.
    M4C - Chrome Plated Cap-O-Matic Space Pen Style: Cap Activation Finish: Chrome Plated Length: 5.375" Cartridge: Fisher PR4 Black ink Medium point. Packaging: Gift Pack Box. The M4C in its case.
Kwa hiyo sasa mmeanza kugombaniana kutumia neno M4C?!, na nyie CCM mnataka muwe mnasema, MABADILIIKOOO, MAGUFULII, MAGUFULIII, MABADILIKOOO, teh teh teh!! Basi muwe mnasema na peeopleeesssss!
 
hivi, mtu anaepora maneno(kauli mbiu) uadilifu wake upo wapi!
hapa bado hajawa raisi, je akiwa si atapora mpaka.............
 
Back
Top Bottom