Elections 2010 CHADEMA kuitisha Maandamano Makubwa wiki ijayo

Kaka,

U mean unawashauri wafanye hivi ili kutia msisitizo wa kampeni ya kisaikolojia... Natumai utapanda ndege na familia yako mje mshiriki ladha ya siasa hizi....Vilevile angalia tu maandamano kama haya Dar yasije yakasadifisha jungu la kuwa chadema ni chama cha dini fulani ama kama wasemavyo hivi sasa hapa Dar, ni chama cha wakuja....chonde jamani na hizi desparate moves

Hiii Omar,
Na wewe umefikia huku? Yaani chadema ni chama cha dini fulani? Chadema ni chama cha wakuja?

Kisha unakaa unalalamika hapa kila siku kuwa wafuasi wa chadema wanaleta udini na ukabila JF?
 
Natumai CHADEMA mtaonyesha uzalendo kwa kutotumia siku hii ya Mwalimu kwa ajili ya siasa ama maslahi ya chama.

Kumbukeni kuwa miaka yote mmekuwa mstari wa mbele kupigania kuwa Mwalimu Nyerere ni zaidi ya maslahi ya watu fulani, kundi fulani ama vyama fulani na kuwa siku ama nafasi yake katika taifa letu isichakachuliwe na partisan politics.....

Chonde wandugu, Mwalimu ni nguzo pekee ya Utanzania ambayo hawa jamaa hawajaweza kuiangusha nanyi msiwe wamoja katika jitihada zao....

Siku ya Mwalimu Nyerere isigeuzwe wala kutumika kwa kampeni za kisiasa ama kivyama, ni siku ya Watanzania na Tanzania. Ni siku ya watanzania kujikumbusha misingi yetu na sio vijembe na propaganda za kimakundi. Ni siku ya kuwezesha some sense of sanity to rule over this insanity eroding our nation. Ni mujibu wa kila anayelilia UZALENDO kuilinda na kuitukuza kwa dhati na sio kwa kufanikisha maslahi yake binafsi ama kundi lake....Ni siku ambayo inahitaji UMAKINI na UWAJIBIKAJI wa Watanzania wote bila ya kujali mitizamo ama matamanio yao kisiasa ama kidini...

Tatizo wanaccm mnadhani kuwa mnammiliki Nyerere. Usiku mnampondea kuwa ni mkatoliki na mtu wa kuja (maneno yako Omar haya) na mchana mnavaa joho la ujamaa na kujitegemea. What a crap
 
Lazima nitakuja Dar es salaam au na huku Arusha tufanye maandamano kuunga mkono wa dar es salaam na mwanza tanga,musoma bunda kyela mbeya kote tuunge mkono maandamano ya kumuenzi baba wa taifa
 
Mpango wa maandamano naambiwa unaendelea na viongozi na mashabiki wengi wamehamasika... kuna mwiko utavunjwa.
 
Long Live Chadema,
Long live Dr. Slaa
Long Live Mwalimu Nyerere Legacy
Long Live Tanzania
 
Hiii Omar,
Na wewe umefikia huku? Yaani chadema ni chama cha dini fulani? Chadema ni chama cha wakuja?

Kisha unakaa unalalamika hapa kila siku kuwa wafuasi wa chadema wanaleta udini na ukabila JF?

Kwani Omar hujamshtukia tu?
Jamaa ni mdini na mkabila wa kupindukia. Unakumbuka ile issue ya Zitto hapa JF .... jamaa walianza kusema kuwa Zitto anashambuliwa na wamachame? Ndio zake hizo wala usimshangae.
 
Kwani Omar hujamshtukia tu?Jamaa ni mdini na mkabila wa kupindukia. Unakumbuka ile issue ya Zitto hapa JF .... jamaa walianza kusema kuwa Zitto anashambuliwa na wamachame? Ndio zake hizo wala usimshangae.

Moja: Kwani uwongo hakukuwa na syndicate ya wamachame kummaliza kisiasa Zitto then?? Na ikashindwa pale mmoja wao alipo rebel na kumuunga mkono Zitto?? Nakuashauri usikumbushe haya kwa faida yako na wenzio...

Pili: Kusema kuwa kuna syndicate ya ukabila ni kuwa mdini?? Yaani watu mfanye ukabila wenu lakini msiwe exposed? Interesting this is one thing umekuwa ukikumbushia kila siku....ukweli unauma ama kwa kuwa yanakuhusu haya

Tatu: Wewe na fashisti mwenzio SolmonDavid hamna any moral authority ya kuhoji udini ama kumsema mtu mdini kwani UDINI ndio kuonambali chenu maisha yote hapa.

Nne: Mjifunze kuelewa kiswahili cha kifalsafa: Ninachose hilo ndio jungu linalozunguka hivi sasa na nionavyo mimi katika mhemuko uliokuwepo maandamani hayo hapa Dar yatawaexpose CHADEMA katika hilo kama ambavyo maandamano ya CUF yalivyo....

Finaly; Ninyi wote hamna moral authority ya kuzungumzia udini kwani miaka yote hapa hicho ndicho mmekuwa mkidhihirisha kwa madaha, bila ya iabu wala woga....Hivi comrade wenu Ubungoubungo yuko wapi??? Naona Rev Masanilo yuko bussy
 
Mimi naona wataachwa waandamane tu kwa sababu kuandamana ni haki yao.Kinachotakiwa ni kuwa maandamano yawe ya amani.
 
Tatizo wanaccm mnadhani kuwa mnammiliki Nyerere. Usiku mnampondea kuwa ni mkatoliki na mtu wa kuja (maneno yako Omar haya) na mchana mnavaa joho la ujamaa na kujitegemea. What a crap

Kaka kama suala la spinning ya maneno ya watu, u know I am exceptional qualified.....

Mimi ni Muislamu ndio lakini moja ya kitu ninachomheshimu Mwalimu Nyerere ni kuwa while he was more catholic in faith and spirit than all of you here, he was Tanzanian foremost and a staunch humanist. Ukatoliki wake ulimjengea discipline ya kupenda watu na kuchukia maonevu lakini sio ninyi mnaotumia dini zenu kubagua, kufitinisha, kudharaulisha wengine na kutumia kama tool ya propaganda kisiasa..... no wonder hamthubutu kuja na majina yenu ya kweli hapa....
 
Moja: Kwani uwongo hakukuwa na syndicate ya wamachame kummaliza kisiasa Zitto then?? Na ikashindwa pale mmoja wao alipo rebel na kumuunga mkono Zitto?? Nakuashauri usikumbushe haya kwa faida yako na wenzio...

Kilichowaunganisha hao ni umachame wao au ni kazi yao?

Pili: Kusema kuwa kuna syndicate ya ukabila ni kuwa mdini?? Yaani watu mfanye ukabila wenu lakini msiwe exposed? Interesting this is one thing umekuwa ukikumbushia kila siku....ukweli unauma ama kwa kuwa yanakuhusu haya

Ohh sasa unakubaliana na wale wanaosema hapa kuwa JK ni mdini na anataka kuigeuza Tanzania iwe nchi ya kiislam?

Tatu: Wewe na fashisti mwenzio SolmonDavid hamna any moral authority ya kuhoji udini ama kumsema mtu mdini kwani UDINI ndio kuonambali chenu maisha yote hapa.

Ha ha hah ... kati yako na mimi nani fashist? Unataka sasa kuamua niseme nini hapa JF

Nne: Mjifunze kuelewa kiswahili cha kifalsafa: Ninachose hilo ndio jungu linalozunguka hivi sasa na nionavyo mimi katika mhemuko uliokuwepo maandamani hayo hapa Dar yatawaexpose CHADEMA katika hilo kama ambavyo maandamano ya CUF yalivyo....

Wengine wakisema haya wanakuwa wadini ila wewe ukisema unakuwa sio?

Finaly; Ninyi wote hamna moral authority ya kuzungumzia udini kwani miaka yote hapa hicho ndicho mmekuwa mkidhihirisha kwa madaha, bila ya iabu wala woga....Hivi comrade wenu Ubungoubungo yuko wapi??? Naona Rev Masanilo yuko bussy

First of all, Rev yuko banned...
Pili, hakuna tofauti yoyote ya ulichosema hapo juu na kile tunachokisema sisi. So next time nikiona unaleta unafiki wako hapa kuwa JF imejaa mambo ya kidini, nitakukumbusha hii post yako over and over and over again.
 
Utasikia jeshi la polisi litakuwa bize na ..................... so hatuna askali ebu hailisheni
 
Kaka kama suala la spinning ya maneno ya watu, u know I am exceptional qualified.....

Mimi ni Muislamu ndio lakini moja ya kitu ninachomheshimu Mwalimu Nyerere ni kuwa while he was more catholic in faith and spirit than all of you here, he was Tanzanian foremost and a staunch humanist. Ukatoliki wake ulimjengea discipline ya kupenda watu na kuchukia maonevu lakini sio ninyi mnaotumia dini zenu kubagua, kufitinisha, kudharaulisha wengine na kutumia kama tool ya propaganda kisiasa..... no wonder hamthubutu kuja na majina yenu ya kweli hapa....

Uongo tu huu ... nyie ndio manafiki wale mnaocheka na mwalimu mchana na usiku mnamuita mkatoliki na wa kuja.
 
Omarilyas said:
U mean unawashauri wafanye hivi ili kutia msisitizo wa kampeni ya kisaikolojia... Natumai utapanda ndege na familia yako mje mshiriki ladha ya siasa hizi....Vilevile angalia tu maandamano kama haya Dar yasije yakasadifisha jungu la kuwa chadema ni chama cha dini fulani ama kama wasemavyo hivi sasa hapa Dar, ni chama cha wakuja....chonde jamani na hizi desparate moves

Omarilyas,

..Dar-Es-Salaam sasa hivi siyo ile ya miaka ya 1950 wakati Tanu inaanzishwa.

..hii habari kuita watu "wakuja" ni hoja ya kibaguzi na kikabila ambayo imeanzishwa na baadhi ya watu ambao wanajiona wana hati miliki ya mji wa Dar-Es-Salaam.

..after all mji wa Dar, kila kukichwa, unajengwa na kushamiri, kutokana na juhudi, jasho, na ubunifu, wa watu wa kuja.

..baadhi yetu tutaanza kui-embrace hilo jina "wakuja" kama ambavyo Wamarekani weusi wameanza kuitana n.i.gg.er.

Ni njia muuuuruaa kabisa ya kumuenzi Mwalimu!!!

Haya maandamano ni muhimu na yatakuwa a very proper antidote ya mapigo ya ccm na shimbo ya wining through intimidation!
 
mzawa wa dar ni nani aliyebaki hapo, hao unaowaita wa kuja ndio waliozaliwa hapo mjini na ndio wapiga kura wa dar, Kimara imejaa wachaga, ukonga na la mboto wakurya ,wajaluo nk, ilala magomeni Wapemba, hao unaowaita wenye mji sasa wako vigwaza, chanika na maeneo kama hayo, sasa mwenyeji wa dar ni nani kama sio hao unaowaita wa kuja?
 
Back
Top Bottom