Shida yenu nyingine ni kudhani wanawake ni dhaifu sana; kudhani hivyo ni udhaifu wa kumuona mama yako ni dhaifu pamoja na yooote aliyoyafanya kwako kabla ya mimba, wakati wa mimba na baada ya kuzaliwa. Mfano, Hii katiba ni ya mwaka 1977; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli waliitumia hivihivi ilivyo kwenye chaguzi zote. Na chadema ilikuwepo miaka yoooote hiyo, na Lissu na Heche walikwenda bungeni kwa katiba hiyohiyo na Tume hiyohiyo. Lakini kwasababu safari hii Rais ni Samia (mwanamke) hatakiwi kuitumia kabisa la sivyo atakiona kama asipoibadilisha. Hakiyanani mnakosea sana na mnasababisha Rais asione umuhimu wa kuibadilisha.
Nimekuuliza,mwenyekiti yuko ndani tungejikita kwenye kumtoa badala ya kuongeza la kugomea kutia saini kwenye maadili. Huku unapampu maji yaende kule umeziba mabomba, akili matope.
unadhani mwenyekiti akikusikia atakufanya nini? wewe ulale nyumbani kwako na mkeo yeye alale kusiko. Kweli akili za kuambia changanya na zako. Dunia yote sasa inahangaika na Ukraine, Gaza, Sudans, DRC na ushuru wa Trump, sio Tanzania na chadema. Poor timing.Nimekuuliza,
Nini kinakuuma mkt akikaa ndani?
Expecting results from what you knowmwenyekiti yuko ndani tungejikita kwenye kumtoa badala ya kuongeza la kugomea kutia saini kwenye maadili. Huku unapampu maji yaende kule umeziba mabomba, akili matope.
passport unayo kama wao?
By crossing our fingerslet's wait and see!! Wanadhani Mama ni mama kama bibi zetu.
Hujanijibu,unadhani mwenyekiti akikusikia atakufanya nini? wewe ulale nyumbani kwako na mkeo yeye alale kusiko. Kweli akili za kuambia changanya na zako. Dunia yote sasa inahangaika na Ukraine, Gaza, Sudans, DRC na ushuru wa Trump, sio Tanzania na chadema. Poor timing.
Unaruhusiwa kwenda kugombea wewe badala yaoSasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Cdm hawataki mabadiliko kwa ajili yao binafsi, bali wanataka mabadiliko ya kweli ya mfumo wa uchaguzi. Kama mabadiliko yakitokea yanatosha maana cdm wamekubali kupoteza pambano ili washinde vita. Walikubali kushiriki juzi uchaguzi wa 2024, walipata nini hadi uone uamuzi wao wa sasa ni wa kutofikiri vizuri?Sasa hivi inaonekana kama vile chadema inatumia nguvu kubwa ya ziada kupambana na matokeo ya kugomea kusaini maadili ya uchaguzi mbali na nguvu inayotumika kwenye No reforms No election.
Kama chadema wangesaini maadili ya uchaguzi kisha wakaendelea na harakati yao ya No reforms No election wangepoteza nini? Itakuwaje kama Reforms zikafanywa halafu chadema wakazuiliwa kushiriki uchaguzi au kuzuiliwa kufanya kampeni za uchaguzi kutokana na kutosaini maadili/kanuni za kufanya mikutano ya kampeni itakuweje hapo?
Chadema hakuna watu wanaofikiria kwa makini? Kama Ukijamba kwa hasira unaweza kujinyea bila sababu za msingi.
Unaweza kuruhusiwa kushiriki uchaguzi lakini ukazuiwa kufanya kampeni za uchaguzi, si balaa hilo la kujitakia?
Nikikutana na mitazamo ya hivi ndio huwa najua watu wamefikia mwisho wa kufikiri. Siku zote soka lilikuwa linachezwa na mshindi anapatikana. Mbona wameleta VAR ili mshindi apatikane kwa haki zaidi? Ni wapi huko cdm pamoja na kushiriki waliwahi kuona katiba hii inafaa bila kutaka mabadiliko? Yaani hapa umemtaja huyo mwanamke ukidhani tutazama tatizo la haki kwenye chaguzi zetu ni dhidi ya jinsia ya rais aliyepo.Shida yenu nyingine ni kudhani wanawake ni dhaifu sana; kudhani hivyo ni udhaifu wa kumuona mama yako ni dhaifu pamoja na yooote aliyoyafanya kwako kabla ya mimba, wakati wa mimba na baada ya kuzaliwa. Mfano, Hii katiba ni ya mwaka 1977; Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli waliitumia hivihivi ilivyo kwenye chaguzi zote. Na chadema ilikuwepo miaka yoooote hiyo, na Lissu na Heche walikwenda bungeni kwa katiba hiyohiyo na Tume hiyohiyo. Lakini kwasababu safari hii Rais ni Samia (mwanamke) hatakiwi kuitumia kabisa la sivyo atakiona kama asipoibadilisha. Hakiyanani mnakosea sana na mnasababisha Rais asione umuhimu wa kuibadilisha.
Katiba ni katiba hata kama ni mbaya. Tulikuwa tunakaribia kupata katiba mpya yenye afadhali kubwa kuliko hii lakini UKAWA ukatukosesha fursa hiyo kwa upuuzi wao wa kutaka lazima tuwe na serikali 3 au muungano wa mkataba. Kama wapinzani (ukawa) wangekuwa wangeacha katiba mpya ipite na kisha kufanya marekebisho wakishafika Ikulu.No reform no election
Busara ingekuwa kususia uchaguzi na sio kusitisha uchaguzi, maana kuna vyama vinaona kuwa chaguzi ziko sawa na kuna watu hawana vyama kabisa. Kwanini Lissu anataka kutunyima haki yetu kwa kuzuia uchaguzi, who is he?Cdm hawataki mabadiliko kwa ajili yao binafsi, bali wanataka mabadiliko ya kweli ya mfumo wa uchaguzi. Kama mabadiliko yakitokea yanatosha maana cdm wamekubali kupoteza pambano ili washinde vita. Walikubali kushiriki juzi uchaguzi wa 2024, walipata nini hadi uone uamuzi wao wa sasa ni wa kutofikiri vizuri?